Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #21
Dawa ni kumpuuza tu na kuanza kujichukulia tahadhari wenyewe.Farao ni mbishi na muoga sana, ila Covid imefunua ujinga wake. Yaani kwa sasa hadi raia aliozoea kuwadanganya kwa blah blah zake wamemshtukia mapema.
Such is the circle of life!
Kwanza walio wengi tayari walishatangulia pre-COVID-19.
Ambao bado wako hai, umri wao ushaenda sana....70+. Ni senior citizens ambao wako kwenye makundi yaliyo na hatari ya kuukwaa na kufa.
Si busara kwa wao kutokuzingatia tahadhari za kujikinga.
Hii ndo inaita blaming the victim, hawa wachumi wanaondoka wiki hii na yule mwingine aliye mahututi Idodomya unadhani hawakuchukua tahadhari za kujikinga?Ambao bado wako hai, umri wao ushaenda sana....70+. Ni senior citizens ambao wako kwenye makundi yaliyo na hatari ya kuukwaa na kufa.
Si busara kwa wao kutokuzingatia tahadhari za kujikinga.
Sasa sisi ni taifa bora?Acha hizo bana, wahenga wa kitasha walinena kuwa kipimo cha taifa bora ni kutunza wazee wake!
Circle of life is a formula that applies more or less when there is no pandemic, folks are over-dying!
Bando halitoshi wameongea kitu gani kigeni?.Bofya tena uangalie tokea mwanzo.
Sasa sisi ni taifa bora?
How is that blaming the victim?Hii ndo inaita blaming the victim, hawa wachumi wanaondoka wiki hii na yule mwingine aliye mahututi Idodomya unadhani hawakuchukua tahadhari za kujikinga?
TLS nao washapatoze malawyer wasiopungua 25, inabidi dola iwe more proactive sasa kulinda humanpower yake, tutarudi 1961 tulipokuwa Taifa lenye wataalam wachache!
Wewe unaliona ni zima?Kumbe ni bovu?
Ngurumo ni anti-government usitarajie mchango chanya au ushauri wowote productive kutoka kwakeBando halitoshi wameongea kitu gani kigeni?.
👉🏾Muhtasari tafadhali.
Kasema yupo ukimbizini huko Sweden...Ngurumo ni anti-government usitarajie mchango chanya au ushauri wowote productive kutoka kwake
Ni captain wa kundi la kulaumu/kulalamika
Ngurumo ni anti-government usitarajie mchango chanya au ushauri wowote productive kutoka kwakeBando halitoshi wameongea kitu gani kigeni?.
👉🏾Muhtasari tafadhali.
Safi kabisa hajasema serikali inamzuia kuvaa barakoa?Kasema yupo ukimbizini huko Sweden...
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.
Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.
Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?
Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Wanahangaika na TZ yanini wakati wameshakimbia nchi?Farao ni mbishi na muoga sana, ila Covid imefunua ujinga wake. Yaani kwa sasa hadi raia aliozoea kuwadanganya kwa blah blah zake wamemshtukia mapema.
Hahahaaa.Ngurumo ni anti-government usitarajie mchango chanya au ushauri wowote productive kutoka kwake
Ni captain wa kundi la kulaumu/kulalamika
Safi kabisa hajasema serikali inamzuia kuvaa barakoa?
Blaming the victim ni kuchukulia kuwa kuchukua tahadhari na kujikinga ni jukumu lao wenyewe hao senior citizens - ni jukumu la wote, dola inayombwelambwela na ninyi madogo mnaojirusha kidimbwi kisha mnarudi na uviko-19 aina ya sauzi nyumbani kuwaambukiza wazee wetu.How is that blaming the victim?
Aren’t senior citizens among the most vulnerable groups to succumb to C-19?
Asije kutekwa na wasiojulikana siku akiamua kurudi Tanzania kwa matembezi. Watambinya mbupu hadi atie akili 🤣Dr. Minja naona kaamua liwalo na liwe.