Nashangaa sana nchi hii, hivi vijana tuna laana ya nani? Huyo Kisanduku watu mnakutana nae mitaani na mnashindwa kumkamata kweli? tukio la Nape pekee linatosha kumtia nguvuni kama wananchi na kumuwasilisha kwa waliodai hawamtambui.Tunashindwa vipi kuweka ulinzi kituoni mpaka atakapo pelekwa mahakamani?Mnamuona mitaani mnamuacha anaget away na matendo ya kihuni namna hiyo.Ina maana hapo dar hakuna mwenye balls kama Kitenge aliyemzuia kufanya upumbavu wake hadharani? hivi hamjui kwamba mnao uwezo wakufanya Citizen's Arrest?Ukiwa Tanzania ujue Heri Kisanduku makapero atakuja na Nissan nyeupe kukupiga Risasi ni bora kukosoa ukiwa mbali kabsa.
Dodoma to Dar inachukua miezi mingapi kwa sasa?Kwanza waandishi wawili wa chadema wanatofautiana MalisaGj anasema Syprian Musiba alikuwa Dodoma huku Gurumo anasema alihudhuria kikao cha ulinzi na Usalama Dar es salaam hapo ndiyo ujue chadema ina mtambo wa kupika gongo
Kwa huo upeo wako uliokufanya uandike haya uliyo andika hapa. Je unaamini "nguvu ya sanduku la kura" inaonekana kuheshimiwa katika Taifa hili?FIKIRI KWANZA
Uongozi wa nchi hubadilishwa kwa kura za wananchi na si kwa kupandikiza chuki.
BAK, nina uhakika huna mahali pa kukimbilia amani ikitoweka na hutokumbuka ulisema kuna genge la wauaji.
He attends in his capacity as a "Boot Licker and Praise Singer". That's it.Huo "Msiba" unahudhuriaje hicho kikao?
Kwa position ipi aliyonayo ili ahudhurie?
MBM,hii ni a.k.a yake...ni kama vile msanii anavyoweza jiita Nigga G,nk!Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Kuna watu wanapaswa kunyang'anywa hata vyeti vyao!Ebu saidia kurekebisha maelezo yake. Wapi amekosea?
Mfano, mimi nitasema kwamba msiba ni shetahi mwehu. Huwezi kutangaza kumuua mtu hadharani kwa kuwa eti anatoa hoja dhidi ya mabosi wako bila kuzichambua zile hoja na kuzikanusha kwa hoja.
Pili msiba ni mpumbavu kwa kutamka kwa hasira kwamba chadema ndio wanafanya utekaji na mauaji hapa nchini wakati kuna serikali inayotumia kodi za taifa ikitegemewa kusimamia usalama na usitawi wa wananchi na taifa zima. Halafu serikali hiyo yenyeshamana, ikashindwa kufanya upepelezi na kuwachukulia hatua hao waharifu. Halafu inaposhindwa bado haitaki kukubali kuruhusu wachunguzi wa nje waje wachunguze kwa msaada kwa kuwa inashindwa kuwabaini waharifu. Halafu kimburu, unaibuka kuwasingizia watu bila kutumia hata makamasi, basi uonekane kuwa kichwani uk vizuri. Msiba kichwa chake kimejaa upumbavu na uuaji.
Msiba yuko chini ya kiwango cha bure. Ni ovyo zaidi kuliko bure.
Sasa huyu naye mekosea wapi labda?
Mwandishi JKulangwa wa Mwananchi, gazeti la leo, kaandika yanayogusa hayo unayoyatetea kuwa ndio uahandishi!!! Nanukuu:unajua kanunu ya uwandishi au unapepesa macho tu?
Wewe sasa tueleze your side of the story, kuponda tu kihivyo bila kutuambia wewe unavyoelewa ni yale yale. It makes no sense at all and we can't spot the difference.Ansbert Ngurumo unaweza ukawa na ' Hoja ' kwa mambo mengine yanayoendelea na kama ujuavyo Mimi GENTAMYCINE huwa nasimama katikati na nachukia pia ' Unafiki ' hivyo naomba niseme Kwako kwamba hakuna hata chembe moja ya ukweli juu ya hiki ulichokiandika hapa na kuna hatari zaidi ya Wewe sasa kutoaminika tena na tuliokuwa tunaanza kukuamini kama nawe utaanza ' Kupika ' hizi so called ' classified information ' zako ili tu kutaka kuwateka Watu waanze kukuamini hata Mimi GENTAMYCINE sasa nitaanza Kukudharau na Kukupuuza kwa Kiwango kikubwa tu.
Ushauri wangu mzuri tu Kwako ni kwamba kwakuwa sasa uko huko ' Ng'ambo ' hebu jaribu kutumia ' Kipaji ' chako cha Uandishi wa Habari na Uhariri ili uweze kupata Ajira ambayo itakuwezesha kuendesha maisha yako na hatimaye uachane na kuwa ' tegemezi ' kwa hao wanakukarimu hapo na pia Pesa / Hela zingine uweze kutuma Kwenu ( namaanisha huku Tanzania ) ziweze kuwasaidia Ndugu zako ambao naamini wanahitaji mno msaada wako.
Ni kweli yapo mambo ambayo yanaudhi kwa sasa Tanzania ila ' Mwenzetu ' sasa umezidisha katika Kutudanganya.
Kila la Kheri Kaka.
Huyu jamaa ni kama yul Lacoste wa Zimbambwe.Wanajamvi ,wakuu,wanasiasa, wakosoaji wa mfumo dikiteta wa Magu,mabibi na mabwana,taarifa na nawaomba mzingatie.
Yule chinjachinja mkuu alipewa ubalozi na Jakaya kule Canada anarudi,rudi yake si ya kawaida ila anarudi kwa shughuli maalum ,so hali itakuwa mbaya zaidi kwa wapenda demokrasia na freedom of speech.
Ni dhahiri sasa tunahitaji kuamua kwa dhati kuwa wapambanaji au kukaa pembeni na kusubiri kudra ya Mwenyenzi Mungu maana sasa hii ni vita between the Beauty and the Beast. Tunahitaji viongozi wa kuwaongoza watanzania bila woga maana watanzania wako tayari,viongozi wa style ya akina zitto leo moto kesho balidi hawafahi,joka kuu linaingia wakati wowote kitengoni na ameandaliwa special task.
Kupata taarifa ni lazma wawe wanaripot kwakwe. P mara nyngne unawaza kwa kutumia mahaga mzee wanguDuh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P