Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Yote haya ni njaa Kali tu.hakuna uwandishi wa habari wala nini,ni njaa tuu.
Njaa ipo kwa Msiba ambaye kajitoa fahamu zote na kutengeneza Uzushi Propaganda za kishamba toka kolomije na chato, Njaa ya msiba ni kichocheo cha kudai Uhuru sasa kwani watanzania wanaenda kuchoka na Propaganda za CCM na wapambe wao wajinga wajinga kama msiba, Uhuru toka kwa wakoloni wasukuma wawili ndugu Maliyamungu idd Amin na Mtukufu malaika toka lazima udaiwe kwa nguvu kubwa pasipo kuchoka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwisho wa siku mnaaibika kweupeee
Omba tu usijifungue mapema ujauzito wako[emoji13] [emoji85] [emoji196]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ugonjwa wako huo wa lugha chafu usipotibiwa itakuja siku mwanao atakwambia maneno hayo hayo. Kama wewe ni mtu mzima jitathmini.
 
Mimi nina ushahidi kuwa musiba ana ugonjwa wa akili uliosababisha aachishwe africa media group na hàta vyombo vingine vya habari kumkataa, i
Musiba anatuletea habari na vielelezo (evidence) Sasa hii ya kwako ni kama katiba kwamba tuikubali duuuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Upinzani wana hali ngumu au WATANZANIA TUNA HALI NGUMU?

Watanzania kivipi Mana hapa ni Umbeya tu. Huku kwetu magari ya Dawa ndo yanapita. Ndege hizo. Reli hiyo. Jana tu nimeingiza gari hata kadi ya chama cha siasa sijawahi shika. Hali ngumu ipi. Majungu. Unadhani MBOWE anakupenda wewe. Wanasiasa wachumia matumbo tu. Wote. Heri upate Hata hao wanaotuletea vireli na vindege na umeme na Dawa.
 
Hawa watu wamejaa uovu wa kutisha dhidi ya Watanzania. Sasa sababu za dhalimu Bashite kukingiwa kifua na Mkuu wa kitengo cha watu wasiojulikana nje nje na huyu ndiye mratibu wa shambulizi kali la kutaka kumuua Lissu the Great.

Mwenyezi Mungu inusuru nchi yetu na hili genge la wauaji.

FIKIRI KWANZA

Uongozi wa nchi hubadilishwa kwa kura za wananchi na si kwa kupandikiza chuki.

BAK, nina uhakika huna mahali pa kukimbilia amani ikitoweka na hutokumbuka ulisema kuna genge la wauaji.
 
Huyu ngurumo anaanza kwa kasi sana kuwa "very reliable" source kama Dada wa Taifa (Mange). Kuna mambo hapo majuzi aliyasema mwanzo kabisa yakaja kutokea vile vile kama alivyo sema. Sasa ni kitu gani kitakacho nifanya nisiamini anacho andika. Someone somewhere needs to change something - otherwises we are all doomed!
 
Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Da,hoja siyo mamlaka ya uendeshaji kikao.Bali hoja ni kitu gani kilichojadiliwa.Ni vema kujadili alichoongea ngurumo kama kina ukweli au la!
 
Inamaana amezipata hizi taarifa akiwa huko ugaibuni? Kama ni hivyo sasa nihatari,nani amemfikishia taarifa za kikao hicho? Kwa kifupi kuna uvujaji mwingi sana wa taarifa kama ni hivyo,haiwezekani mtu yuko ugaibuni akaqeza kudukua siri za vikao hapa kwetuu
Ukiona hivyo,ujue kuna watu miongoni mwao hawafurahii yanayoendelea.Baadhi ya viongozi wazito kabisa wanaweza kuhusika.Na mambo haya yakishakuwa hivi hatari inaongezeka zaidi kutokana na kutokuaminiana.
Sioni sababu ya nchi kufikia kote huku bila sababu yoyote ya msingi.Maana kadri unavyopanga kuondoa watu,ndivyo wanavyoibuka wengi zaidi.Unaweza kujikuta unakalia kufanya kazi moja tu ya kupambambana na kivuli chako maisha yote.
 
Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Da,hoja siyo mamlaka ya uendeshaji kikao.Bali hoja ni kitu gani kilichojadiliwa.Ni vema kujadili alichoongea ngurumo kama kina ukweli au la!
 
Alikuwa Wakwanza kutujuza maazimio ya Kikao kilichoketi (Ukumbi wa BOT) na kuazimia Viongozi wakuu wa CHADEMA wakamatwe wapelekwe mahakamani na kunyimwa dhamana.

Ikatokea exactly sawa na vile alivyoeleza kabla.


Hivyo anafaa kuaminika!

My point - crystal clear!
 
Wanajamvi ,wakuu,wanasiasa, wakosoaji wa mfumo dikiteta wa Magu,mabibi na mabwana,taarifa na nawaomba mzingatie.
Yule chinjachinja mkuu aliyepewa ubalozi na Jakaya kule Canada anarudi,rudi yake si ya kawaida ila anarudi kwa shughuli maalum ,so hali itakuwa mbaya zaidi kwa wapenda demokrasia na freedom of speech.
Ni dhahiri sasa tunahitaji kuamua kwa dhati kuwa wapambanaji au kukaa pembeni na kusubiri kudra ya Mwenyenzi Mungu maana sasa hii ni vita between the Beauty and the Beast. Tunahitaji viongozi wa kuwaongoza watanzania bila woga maana watanzania wako tayari,viongozi wa style ya akina zitto leo moto kesho balidi hawafai,joka kuu linaingia wakati wowote kitengoni na ameandaliwa special task na kazi ni moja tu Ng'oa kucha,kata vidole,toboa macho,ua ili kutimiza haja yao ya kuzima demokrasia na kufunga watu midomo.
 
Ugonjwa wako huo wa lugha chafu usipotibiwa itakuja siku mwanao atakwambia maneno hayo hayo. Kama wewe ni mtu mzima jitathmini.
Ni kutokana na akili zenyu mbofumbofu[emoji196] [emoji61] [emoji379] [emoji83]
 
Back
Top Bottom