mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 904
InshaalahKupona Inshallah,maana Wapemba (sio wote),wamejaaliwa sayansi ya maajabu na manyau nyau kwa kiwango cha kutisha.
InshaalahKupona Inshallah,maana Wapemba (sio wote),wamejaaliwa sayansi ya maajabu na manyau nyau kwa kiwango cha kutisha.
Hauna unachojua wewe. Hali ya mambo nchini ni "Unprecedented" na hili linajulikana even beyond the borders hivyo acha ushabik lumumba.This is phishing...... huyu Ngurumo ni mtego. Serikali ina mkono mrefu. Mnaojifanya kunaswa na mtego wa hizi stori za Ngurumo na mwisho wa siku mnampa taarifa za siri mtaishia shimo la hewa. Hawa jamaa walishakunywa maji ya bendera anachofanya ni chambo tu ili uingie kingi. Wenye kuelewa mmenipata
Unashangaa?! Ina maana anahariri habari za waandishi bila mipaka?Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
c) Idara ya Usalama wa Taifa haijui haya au imenyosha mikono, inafuata maagizo, na imeamua kuacha hatima ya usalama wa nchi hii mikononi mwa watu wawili?
Tujuzu basi ilikuwa vipi?,MkuuHuyo Ngurumo ameandika "Makonda aongoza kikao hatari cha maangamizi". Lakini kikao chenyewe eti ni cha ulinzi na usalama wa raia na mali zao, hatari na uangamizi wake ni nini?.
Kikao cha ulinzi na usalama kina wajumbe wengi na waalikwa wengi tu wakiwemo viongozi wa dini na wengineo.
Suala la kwamba Musiba alialikwa kwenye kikao hicho hilo ni la Ngurumo ktk kuongeza chumvi.
Acheni kupotosha wananchi jamani ni dhambi kufanya hivyo.
Musiba ni nani katika kikao cha ulinzi na usalama cha mkoa? Tuanzia hapo!Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Hajui alichoongea.Da,hoja siyo mamlaka ya uendeshaji kikao.Bali hoja ni kitu gani kilichojadiliwa.Ni vema kujadili alichoongea ngurumo kama kina ukweli au la!
Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Musiba anatuletea habari na vielelezo (evidence) Sasa hii ya kwako ni kama katiba kwamba tuikubali duuuu
c) Idara ya Usalama wa Taifa haijui haya au imenyosha mikono, inafuata maagizo, na imeamua kuacha hatima ya usalama wa nchi hii mikononi mwa watu wawili?
Twende tukanywe sodauzushi mtupu
Ukweli wa alichokiandika anaujua yeye. Ila asipotishe watanzania.Tujuzu basi ilikuwa vipi?,Mkuu
Wazungu siyo wajinga kiasi hicho na wanajua yanayoendelea hapa nchini kwani wana access kubwa kuliko wewe. Usimtishe!Ngurumo hawajui wazungu siku wakihakiki na kuona vitu anavyosema uongo watamrudisha Tanzania hata na drip kama kalazwa hospitalini yeye aendelee tu kutunga vitu
Hakuna alie Salama wakimaliza upinzani kitu ambacho ni ndoto za kuukimbiza upepo watakuja kwako, tia maji tu wakinyolewa,azoea kuvuruga hata akibaki mwenyewe atajivuruga tu,kuvuruga ni nature.Upinzani mna hali ngumu.
Alah! Zawadi ya ukweli ni risasi nyingi eeh! Mbona mmejawa na roho za kikatili kuliko shetani? Kwani mkimjibu kwa njia aliyoitumia hatopata majibu? Ccm kumbukeni hamna hati miliki ya maisha ya wengine kwani uhai wake siyo mali yenu!Na mimi nimemwelewa vyema....
Kwa sbb kama anathubutu kusema hadharani mambo mazito na makubwa kama haya, hakika angekuwa kule Nyaishozi kwake Muleba, si tu risasi 40 za SMG "za wasiojulikana" zingetapanya na kuuchana chana mwili wake na ubongo bali hata 1000 kabisa !!
Mungu kakataa asiapishwe na asikanyage kwenye jengo lile! Majibu ya Mungu hayamsubiri yeyote kaburini bali hapahapa tena ukiwa unapumua ili wengine tujifunze!Wapiga kura wa Kinondon walioibiwa kura zao walipiga magoti na kumlilia Mungu