Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Kilichompeleka ng'ambo ndio hicho anachokifanya mkuu. Inavyoelekea ana back up kubwa nyuma yake

' Logically ' tu Mkuu kwa yule aliyebobea hasa katika masuala ya ' Ujasusi / Unjagu ' hawezi kukubaliana hata mara moja na maelezo ya Ansbert Ngurumo hasa haya aliyoyatoa kwani yana ' weak arguments ' mbele ya IQ za Great Thinkers. Kuna sababu kadhaa ila itoshe tu kusema kwamba yapo mengine ambayo ' Kimantiki ' tu alikuwa ana ' Hoja ' nayo na hata Sisi Wadau tulikuwa tumeyaona ila kwa hili la sasa linalomuhusisha moja kwa moja RC Makonda sijui na Watendaji wengi nitakuwa wa mwisho kabisa katika kuliamini. Kikubwa tu atusaidie katika kutatua ' changamoto ' hasa za mambo ya msingi na kamwe asitake sasa kutaka kutumia mwanya wa Yeye kukimbia Tanzania na kuwa huko aliko sasa ili tu ajitengenezee jina, akubalike upesi, aaminike na kisha aanze kutumika na ' Maadui ' wa Tanzania katika ' kuichafua ' nchi. Bado nina imani nae ila ajitahidi sana aachane na kutunga mambo huku akitafuta ' public sympathy ' kwani haitomsaidia kivile na sana sana inaweza kumhatarishia zaidi ' ustawi ' wake hata huko huko aliko sasa. Awe makini!
 
Mange Kimambi, Cyprian Musiba, Ansbert Ngurumo...

Yule jamaa aliyekuwaga msemaji wa Yanga zamani sijui ni nani vile... List naona inazidi kukua tu...
Ongeza na Evarist Chahali
 
Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Kikao sio shida ila lengo la kikao[emoji196] [emoji200] [emoji379] [emoji61]
 
This is phishing...... huyu Ngurumo ni mtego. Serikali ina mkono mrefu. Mnaojifanya kunaswa na mtego wa hizi stori za Ngurumo na mwisho wa siku mnampa taarifa za siri mtaishia shimo la hewa. Hawa jamaa walishakunywa maji ya bendera anachofanya ni chambo tu ili uingie kingi. Wenye kuelewa mmenipata
 
Habari za kufikirika hizi
Watu wasifanye vikao vya kawaida,watakua wanamjadili Mbowe
Chadema acheni kujitisha
 
modeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Usikimbilie kumwambia Moderator afute huu uzi,Wache watanzania waamue wenyewe kama haya yaliyoandikwa na Ngurumo ni kweli au uongo wewe sio msemaji wa watanzania wote,....

tusubiri 26/4
 
Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Vipi hali ya m'bunge wetu inarndeleaje..
Ataapishwa mjengoni kwelii[emoji844] [emoji196] [emoji37] [emoji13] [emoji200]
 
Hatar sana! Hii ndio Bongo! Watu wanarepot mkwa mkuu wa usalama na watu wanarepot ughaibuni! Mwisho wa siku unabak uchi! Kama kweli ndio hali iko hivyo!! Tz bado sana
 
Musiba ni mjumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa wa Dar? We have some very hopeless people with hopeless minds. No doubt you are among them.
Huyo Ngurumo ameandika "Makonda aongoza kikao hatari cha maangamizi". Lakini kikao chenyewe eti ni cha ulinzi na usalama wa raia na mali zao, hatari na uangamizi wake ni nini?.

Kikao cha ulinzi na usalama kina wajumbe wengi na waalikwa wengi tu wakiwemo viongozi wa dini na wengineo.

Suala la kwamba Musiba alialikwa kwenye kikao hicho hilo ni la Ngurumo ktk kuongeza chumvi.

Acheni kupotosha wananchi jamani ni dhambi kufanya hivyo.
 
Katika dhambi mbaya nchi hii ni kutia wananchi hofu
 
nyie Bavicha mbona mnataka kuharibu amani ya nchi yetu. Bora nyote mkahama nchi
 
Mods tafadhali msiunge hii thread na nyingine. Hata kama ikija order kutoka juu.
Naona mnakiuka hadi kanuni zenu.
Mnatunyima Uhuru wa kujadiliana hoja mpya
Hii ilishafutwa na wapambe wa bashite bora huyu kidogo ameiachia itiririke kachoka kubiruzwa
 
Aaah wapi......this is just a guessing
Kuna baadhi ya mambo ni ya kufikirika unaweza kuyaweka kwenye maandishi yakaonekana ni ukweli kutokana na wakati tuliopo
Mfano
kama ambavyo wengi wetu tunajaribu kumhusisha MBOWE na UPOTEVU wa SAANANE...
Au kuwahusisha CHADEMA NA BAADHI YA MAUAJI

Wakati uovu huu unapangwa rasmi, Rais Magufuli alikuwa kanisani kwenye ibada ya Ijumaa Kuu, “anasali.” Je, naye alibusu msalaba? Kama ndiyo, busu lake lina tofauti gani na busu la Yuda kwa Bwana Yesu – busu la usaliti kwa Watanzania alioapa kuwalinda?
WHAT IF IKITHIBITIKA HUU MUDA PIA MAKONDA ALIKUWA KANISANI?
Me naomba tufatilie ni wapi jana MAKONDA ALISALI...hili tuthibutishe hiki


Kumbe na wewe nae unaongea ya kufikirika,eti "What if"....

Unazidi kua part ya tatizo!
 
modeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
Ni kweli, hivi moderstors wakiombwa kuthibitidha habari hiyo nao watadai uhuru wao wa kutoa taarifa umeingiliwa?
 
nyie Bavicha mbona mnataka kuharibu amani ya nchi yetu. Bora nyote mkahama nchi
Acha Ufala wewe ni chanzo cha kila kitu? CCM wamezuia mikutano ya siasa, wakakandamiza Demokrasia, wanawabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela chadema na sasa wanamtumia Msiba kutengeneza Uzushi na Propaganda za kishamba shamba na kijinga jinga toka kolomije na chato, kati ya chadema na CCM ni nani anaharibu Aman ya Tanzania? Yaani CCM mnafanya Udikteta kisha mnataka kuwasingizia chadema ambao wanajihami.
 
Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...

Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Acha kujifanya unajua kila kitu
 
Back
Top Bottom