Ngurumo usijidanganye NA wala usitake kujitukuza. Unachofanya ni kujenga faili lako la kutaka kupewa sifa za mkimbizi wa kisiasa, ili update malisho ya bure. Sidhani kama utafanikiwa.
Unataka kutuambia Watanzania tuwajinga, polisi wetu wote ni wazembe, intelijensia yetu inayochuga nchi nzima ni wazembe, NA watu kama wewe NA Lema mnawashinda akili.
Tafadhali usilitukane taifa lako ulilolikimbia, wewe inajulikana umetumwa kwenda ulaya kama mkimbizi na uwe kama mtu wao nje ya nchi NA utumike kuichafua nchi yako. Hao waliokutuma wanajua Mange haaminiki kesho anaweza geuka NA akawa shubiri, wewe ni plan B ya upinzani.
You are forcing for asylum, but u will never get it. NA ukikatiliwa utailamu Tanzania