Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Ngurumo alichobakiza ni kusajiliwa MODERN TAARAB,

Maana kwa uongo huu na propaganda za miaka ya 1940s anazileta Leo

Yaani ngurumo ana taarifa za kiinterejensia ambazo hata kipilimba na Magufuli hana

Hawa wana siasa sijui huwa wanatuoanaje Watanzania?
 
Musiba anatuhumu, ngurumo anatuhumu. Mambo wanayoongea yamekaa kimachafuko machafuko tu. Haijalishi nani mkweli nani muongo, Ila Kwa sababu hali inaachwa hivi na haidhibitiwi wala kusuluhishwa na vyombo husika naamini Kuna kitu tunakitafuta kwa nguvu sana tu. Tunahamu ya kuonja kitu ambacho hatujui kama ndimi zetu zitahimili ladha yake au la. Huu udhaifu unaoonekana unatakiwa udhibitiwe.
 
Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...

Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Shikamoo Pascal Mayalla
 
Ansbert Ngurumo unaweza ukawa na ' Hoja ' kwa mambo mengine yanayoendelea na kama ujuavyo Mimi GENTAMYCINE huwa nasimama katikati na nachukia pia ' Unafiki ' hivyo naomba niseme Kwako kwamba hakuna hata chembe moja ya ukweli juu ya hiki ulichokiandika hapa na kuna hatari zaidi ya Wewe sasa kutoaminika tena na tuliokuwa tunaanza kukuamini kama nawe utaanza ' Kupika ' hizi so called ' classified information ' zako ili tu kutaka kuwateka Watu waanze kukuamini hata Mimi GENTAMYCINE sasa nitaanza Kukudharau na Kukupuuza kwa Kiwango kikubwa tu.

Ushauri wangu mzuri tu Kwako ni kwamba kwakuwa sasa uko huko ' Ng'ambo ' hebu jaribu kutumia ' Kipaji ' chako cha Uandishi wa Habari na Uhariri ili uweze kupata Ajira ambayo itakuwezesha kuendesha maisha yako na hatimaye uachane na kuwa ' tegemezi ' kwa hao wanakukarimu hapo na pia Pesa / Hela zingine uweze kutuma Kwenu ( namaanisha huku Tanzania ) ziweze kuwasaidia Ndugu zako ambao naamini wanahitaji mno msaada wako.

Ni kweli yapo mambo ambayo yanaudhi kwa sasa Tanzania ila ' Mwenzetu ' sasa umezidisha katika Kutudanganya.

Kila la Kheri Kaka.
 
Nchi itaingizwa matatizoni na watu wanaojiita wanaharakati,kwani wengi wao wamekuwa ropo ropo,mpaka unajiuliza ni wao au kuna watu nyuma wanawachochea.
 
Mange Kimambi, Cyprian Musiba, Ansbert Ngurumo...

Yule jamaa aliyekuwaga msemaji wa Yanga zamani sijui ni nani vile... List naona inazidi kukua tu...
 
Tuendelee kupuuzia, na hili nalo ni la kupuuzwa!!
 
Ansbert Ngurumo unaweza ukawa na ' Hoja ' kwa mambo mengine yanayoendelea na kama ujuavyo Mimi GENTAMYCINE huwa nasimama katikati na nachukia pia ' Unafiki ' hivyo naomba niseme Kwako kwamba hakuna hata chembe moja ya ukweli juu ya hiki ulichokiandika hapa na kuna hatari zaidi ya Wewe sasa kutoaminika tena na tuliokuwa tunaanza kukuamini kama nawe utaanza ' Kupika ' hizi so called ' classified information ' zako ili tu kutaka kuwateka Watu waanze kukuamini hata Mimi GENTAMYCINE sasa nitaanza Kukudharau na Kukupuuza kwa Kiwango kikubwa tu.

Ushauri wangu mzuri tu Kwako ni kwamba kwakuwa sasa uko huko ' Ng'ambo ' hebu jaribu kutumia ' Kipaji ' chako cha Uandishi wa Habari na Uhariri ili uweze kupata Ajira ambayo itakuwezesha kuendesha maisha yako na hatimaye uachane na kuwa ' tegemezi ' kwa hao wanakukarimu hapo na pia Pesa / Hela zingine uweze kutuma Kwenu ( namaanisha huku Tanzania ) ziweze kuwasaidia Ndugu zako ambao naamini wanahitaji mno msaada wako.

Ni kweli yapo mambo ambayo yanaudhi kwa sasa Tanzania ila ' Mwenzetu ' sasa umezidisha katika Kutudanganya.

Kila la Kheri Kaka.
Kilichompeleka ng'ambo ndio hicho anachokifanya mkuu. Inavyoelekea ana back up kubwa nyuma yake
 
K
Inamaana amezipata hizi taarifa akiwa huko ugaibuni? Kama ni hivyo sasa nihatari,nani amemfikishia taarifa za kikao hicho? Kwa kifupi kuna uvujaji mwingi sana wa taarifa kama ni hivyo,haiwezekani mtu yuko ugaibuni akaqeza kudukua siri za vikao hapa kwetuu
Kama ni za kweli we inakuuma nini hata zikivuja?
 
Kwa alichokisema musiba jana mbele ya waandishi wa habari na akatamba hadharani kuwa watu wauawe halafu akashangiliwa na viongozi wa serikali naamini hiki anachokisema ngurumo ni sahihi kwa 100%. Sidhani kama angesema kiongozi yeyote wa upinzani jana kama leo hii angekuwa hajatiwa mbaroni. Tunaichezea sana amani ya nchi hii kwa kudhani wapinzani sio watanzania na hawana haki ya kusema
 
Back
Top Bottom