Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Paskal mayala anajipendekeza kwa Maliyamungu idd Amin Bashite si unajua anaogopa lile Nissan nyeupe la Heri Kisanduku makapero na akina Jerry muro.
Mimi ombi langu pekee ilikuwa ni ajenge hoja na sio kubeza maandiko ya watu pasipo kujua vyanzo vyao vya taarifa.Mnaweza kukaa watu kumi katika kikao na wawili kati yenu wasiridhishe na agenda za kikao na maamuzi yaliyofikiwa katika kikao hicho, kwakuwa wanajua hoja zao zisingepokelewa, kitu pekee ni kuvujisha taarifa kwa mtu wanayeamini atatunza siri ya mtoa taarifa...hiyo ni njia pekee ya kuprotest maazimio yaliyofikiwa katika kikao husika.Huo ni mtazamo wa kutumia akili ndogo sana. Majibu ya Pascal kwa andiko la Ngurumo ni sawa na kusema "ni wapumbavu tu kama ilivyokuwa viongozi wa CHADEMA, ndio wanaweza kutamka kuna ulazima wa kufanyika uchunguzi huru dhidi ya tukio la Lissu,kwani muathiriwa wa tukio hana imani na vyombo vya ndani, wakati miaka yote vimekuwa vikifanya kazi za kiuchunguzi kwa ueledi mkubwa na kutoa ripoti zisizoacha mashaka". Ukiandika statement kama hiyo bila ya kujadili na kupinga hoja za CHADEMA kwa hoja zenye mashiko, kila mwenye akili lazima atatafakari kwa makini na kujiuliza maswali juu ya malengo yako.
 
Duh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...

Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Mnafki katika ubora wako!
 
Musiba amejibu maneno makali ya uchochezi na uasi ya viongozi wa CHADEMA. Kwa kuwa baadhi yao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, tuache haki itendeke.
Mwisho wa siku mnaaibika kweupeee
Omba tu usijifungue mapema ujauzito wako[emoji13] [emoji85] [emoji196]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni vema ukangojea na kuona yaliyosemwa yatatokea??? Cdhani kama huu ni wakat wa kumpinga kwakuwa tayari alituambia kuhusiana na maazimio ya kikao cha BOT na kweli yakatimia.. Let's wait and see my brother
Kwa yaliyotokea juzi kuhusu Mbowe na wenzake, na kwa jinsi Polisi na Serikali wanavyomkalia kimya Musiba na kijarida cha Jamvi la Habaro, naona kuwa Ngurumo ni wa kuaminiwa.

Vv
 
Inamaana amezipata hizi taarifa akiwa huko ugaibuni? Kama ni hivyo sasa nihatari,nani amemfikishia taarifa za kikao hicho? Kwa kifupi kuna uvujaji mwingi sana wa taarifa kama ni hivyo,haiwezekani mtu yuko ugaibuni akaqeza kudukua siri za vikao hapa kwetuu
Kama allegations hizi ni kweli; na kama aliyevujisha anatumia simu inayojulikana, atajulikana na kupotezwa bila hata sisi wengine kujua. Polisi, ambao wanatuhumiwa kushiriki kwenye kikao hicho cha kupanga maovu, wanapaswa kuufanyia kazi waraka huu wa huyu "MBM"!

What an irony!
 
[HASHTAG]#pascal mayala[/HASHTAG] na [HASHTAG]#msha jr[/HASHTAG] nachelea kusema kuyatambua haya nguvu za giza zinahusika, hainiingii akilini huyu anayajuaje haya wakati waliopo kwnye hivyo vikao ni waaminifu wa serikali ambao kuingia na kukubaliwa humo lazima upite kwenye chujio la moto

nimewaita nyie maana ni wataalamu wa mabo ya giza
 
Mimi ombi langu pekee ilikuwa ni ajenge hoja na sio kubeza maandiko ya watu pasipo kujua vyanzo vyao vya taarifa.Mnaweza kukaa watu kumi katika kikao na wawili kati yenu wasiridhishe na agenda za kikao na maamuzi yaliyofikiwa katika kikao hicho, kwakuwa wanajua hoja zao zisingepokelewa, kitu pekee ni kuvujisha taarifa kwa mtu wanayeamini atatunza siri ya mtoa taarifa...hiyo ni njia pekee ya kuprotest maazimio yaliyofikiwa katika kikao husika.Huo ni mtazamo wa kutumia akili ndogo sana. Majibu ya Pascal kwa andiko la Ngurumo ni sawa na kusema "ni wapumbavu tu kama ilivyokuwa viongozi wa CHADEMA, ndio wanaweza kutamka kuna ulazima wa kufanyika uchunguzi huru dhidi ya tukio la Lissu,kwani muathiriwa wa tukio hana imani na vyombo vya ndani, wakati miaka yote vimekuwa vikifanya kazi za kiuchunguzi kwa ueledi mkubwa na kutoa ripoti zisizoacha mashaka". Ukiandika statement kama hiyo bila ya kujadili na kupinga hoja za CHADEMA kwa hoja zenye mashiko, kila mwenye akili lazima atatafakari kwa makini na kujiuliza maswali juu ya malengo yako.
Tatizo kubwa kwenye kikundi cha Naibu Rais Maliyamungu Idd Amin Bashite kaweka watu wajinga wajinga wasiojielewa akina Le, mutuz, Lipumba, Jerry muro, msiba na Heri Kisanduku makapero ni watu walevi wazurulaji club na bar ni rahisi kutoa siri zake pindi wakilewa na pindi wakiwa na michepuko, hata siri nyingi za vikao na maazimio yao huvujishwa mitaani na hao hao wajinga wajinga.
 
Wazungu sio waswahili Ngurumo awe makini wale sio wapenda udaku watamtimua Finland.Akiendekeza habari za udaku alizokuwa akitunga akiwa Tanzania kule hawatamvumilia Hivi habari aliyoleta haina kweli Na wafinland wake wajue hivyo.
Mnapenda mpigiwe makofi kila wakati
Wakati mwengine mnabadili na style hata mkishikishwa ukuta mkubali tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Aaah wapi......this is just a guessing
Kuna baadhi ya mambo ni ya kufikirika unaweza kuyaweka kwenye maandishi yakaonekana ni ukweli kutokana na wakati tuliopo
Mfano
kama ambavyo wengi wetu tunajaribu kumhusisha MBOWE na UPOTEVU wa SAANANE...
Au kuwahusisha CHADEMA NA BAADHI YA MAUAJI

Wakati uovu huu unapangwa rasmi, Rais Magufuli alikuwa kanisani kwenye ibada ya Ijumaa Kuu, “anasali.” Je, naye alibusu msalaba? Kama ndiyo, busu lake lina tofauti gani na busu la Yuda kwa Bwana Yesu – busu la usaliti kwa Watanzania alioapa kuwalinda?
WHAT IF IKITHIBITIKA HUU MUDA PIA MAKONDA ALIKUWA KANISANI?
Me naomba tufatilie ni wapi jana MAKONDA ALISALI...hili tuthibutishe hiki
Ndiyo maana umewekewa muda na tarehe. Kama unaona haijaingia akilini Fanya utafiti. Lakini ujue hari tuliyonayo watanzania kwa sasa ndiyo hiyo.

Kwa uelewa wangu nadhan JPM akiangushwa, Bashite hatakuwa salama. That's why ni lazima afanye kila analoweza ili kunusuru hari hiyo, though time will tell.
 
Tutaaminije kama haya uliyosema ni ya kweli na yamezungumzwa kwenye kikaooo????.
Isije ikawa unatudanganya tu hapa upate umaarufu.
 
Kama allegations hizi ni kweli; na kama aliyevujisha anatumia simu inayojulikana, atajulikana na kupotezwa bila hata sisi wengine kujua. Polisi, ambao wanatuhumiwa kushiriki kwenye kikao hicho cha kupanga maovu, wanapaswa kuufanyia kazi waraka huu wa huyu "MBM"!

What an irony!
Siri nyingi huvujishwa na huyo huyo msiba, pia le mutuz na Jerry muro wakilewa huropoka hovyo hovyo kila kitu kwa kifupi kikundi chake Maliyamungu Bashite ndiyo sehemu nzuri ya kuchimbua siri zote za uhalifu dhidi ya chadema
 
Hahahaha, hahahahahaaaa hiyo mwandishi wa habari MBM ulifundishwa chuo gani? Kuna Journalists San Frontiers, sasa hiyo, Ngurumo kweli
 
Back
Top Bottom