Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Watu wanajitahidi kuvutia upande wao yaani kunakoelekea hawa waliokimbia nchi wanataka kuharibu kabisa

Tujadili ugumu wa maisha na usalama wa nchi kwa sasa
 
Ukiwa Tanzania ujue Heri Kisanduku makapero atakuja na Nissan nyeupe kukupiga Risasi ni bora kukosoa ukiwa mbali kabsa.
Nashangaa sana nchi hii, hivi vijana tuna laana ya nani? Huyo Kisanduku watu mnakutana nae mitaani na mnashindwa kumkamata kweli? tukio la Nape pekee linatosha kumtia nguvuni kama wananchi na kumuwasilisha kwa waliodai hawamtambui.Tunashindwa vipi kuweka ulinzi kituoni mpaka atakapo pelekwa mahakamani?Mnamuona mitaani mnamuacha anaget away na matendo ya kihuni namna hiyo.Ina maana hapo dar hakuna mwenye balls kama Kitenge aliyemzuia kufanya upumbavu wake hadharani? hivi hamjui kwamba mnao uwezo wakufanya Citizen's Arrest?
 
Maskini Ngurumo. Tunajua kuishi Ulaya si jambo rahisi, hata nyakati nyingine inabidi utunge uongo ili to prove your relevance. Lakini uongo huo basi usiwe kama huu, uwe na cha kutafuna. Yaani hivi vitu vigogo vidogo vya mitaani ulivyookoteza na kuandika ndio tuseme 'serious intel'! Pole; you are really done. Hapa hakuna kitu, ni uswahili tu wa kawaida. Kwa sisi tunaokufahamu, si muda mefu utashindwa na kisha kurejea nyumbani ukiwa umefunika uso wako kwa viganja vyako kwa aibu, kama nyani (rejea Shabaan Robert katika Kitabu chake cha Adili na Nduguze).
 
Kwanza waandishi wawili wa chadema wanatofautiana MalisaGj anasema Syprian Musiba alikuwa Dodoma huku Gurumo anasema alihudhuria kikao cha ulinzi na Usalama Dar es salaam hapo ndiyo ujue chadema ina mtambo wa kupika gongo
 
kwa hali iliyofikia wapinzani mkirudi nyuma mmekwisha.. serikali imeamua kuondoa haki kwa wanaostahili haki.
 
Kwanza waandishi wawili wa chadema wanatofautiana MalisaGj anasema Syprian Musiba alikuwa Dodoma huku Gurumo anasema alihudhuria kikao cha ulinzi na Usalama Dar es salaam hapo ndiyo ujue chadema ina mtambo wa kupika gongo
Dodoma to Dar inachukua miezi mingapi kwa sasa?
 
FIKIRI KWANZA

Uongozi wa nchi hubadilishwa kwa kura za wananchi na si kwa kupandikiza chuki.

BAK, nina uhakika huna mahali pa kukimbilia amani ikitoweka na hutokumbuka ulisema kuna genge la wauaji.
Kwa huo upeo wako uliokufanya uandike haya uliyo andika hapa. Je unaamini "nguvu ya sanduku la kura" inaonekana kuheshimiwa katika Taifa hili?
 
MBM,hii ni a.k.a yake...ni kama vile msanii anavyoweza jiita Nigga G,nk!
I only care the message and the content,his a.k.a has nothing to do with me
Nilichogundua kutoka kwake ni kuwa 'hata ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama hakuna anayefurahishwa na mambo mabaya yanayotendwa ndyo maana wanaamua kuvujisha newz'
 
Kuna watu wanapaswa kunyang'anywa hata vyeti vyao!
 
Hataishi milele wala hatatawala milele atawafanya hivyo wa Leo anaijua kesho yake kisasi kitaposimama nani atapona.hisia zinapozidi mioyo huota kutu
 
unajua kanunu ya uwandishi au unapepesa macho tu?
Mwandishi JKulangwa wa Mwananchi, gazeti la leo, kaandika yanayogusa hayo unayoyatetea kuwa ndio uahandishi!!! Nanukuu:
Unapoteleza juu ya ganda la ndizi na kudondoka akilini mwako kitakachokuja kwa haraka ni kujiuliza nani amekula ndizi na kutupa ganda kiholela. Ukweli ni kwamba kama ungekuwa makini unapotembea kwa kutazama chini ungeliona ganda hilo na kulikwepa.

Fumbo mfumbie mjinga.
 
Anyways...wengine kuna nyuzi tunaamua kuwa msomaji na kunyuti tu. Muda utaongea
 
Wewe sasa tueleze your side of the story, kuponda tu kihivyo bila kutuambia wewe unavyoelewa ni yale yale. It makes no sense at all and we can't spot the difference.
 
Huyu jamaa ni kama yul Lacoste wa Zimbambwe.
 
Kupata taarifa ni lazma wawe wanaripot kwakwe. P mara nyngne unawaza kwa kutumia mahaga mzee wangu
 
We jamaa ni muongo sana. Nimeamini kweli unatumiwa kuvuruga wananchi. Hii ni subversion
 
Maaskofu wakitoa waraka wanakejeliwa,Hao jamaa wanajitengenezea historia mbaya na anguko lao ni kubwa
 
Maaskofu wakitoa waraka wanakejeliwa,Hao jamaa wanajitengenezea historia mbaya na anguko lao ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…