Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Wewe na musiba akili zenu zinafanana ushandani wa kucoment mambo ya kijinga jinga....
Shikamoo Pascal MayallaDuh!.
Ngurumo, Ngurumo, Ngurumo...
Hii ya Ngurumo kali!, yaani wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wanaripoti kwa Ngurumo!...
bora umekimbia! maana...
Hata hivyo, kwenye tasnia ya media, hakuna kitu kama MBM, kilichopo ni waandishi wasio ma mipaka, Journalists San Frontiers
P
Wewe nae bure, kwani ulikuwa kikaoni?Huyu naye hana tofauti na Musiba! Bure kabisa!
Nimeiona hiyo!Jamaa kaishiwa. Jana kauleta huu udaku, leo tena vile vile. Si ajabu akaurudia tena kesho na kesho kutwa.
Kilichompeleka ng'ambo ndio hicho anachokifanya mkuu. Inavyoelekea ana back up kubwa nyuma yakeAnsbert Ngurumo unaweza ukawa na ' Hoja ' kwa mambo mengine yanayoendelea na kama ujuavyo Mimi GENTAMYCINE huwa nasimama katikati na nachukia pia ' Unafiki ' hivyo naomba niseme Kwako kwamba hakuna hata chembe moja ya ukweli juu ya hiki ulichokiandika hapa na kuna hatari zaidi ya Wewe sasa kutoaminika tena na tuliokuwa tunaanza kukuamini kama nawe utaanza ' Kupika ' hizi so called ' classified information ' zako ili tu kutaka kuwateka Watu waanze kukuamini hata Mimi GENTAMYCINE sasa nitaanza Kukudharau na Kukupuuza kwa Kiwango kikubwa tu.
Ushauri wangu mzuri tu Kwako ni kwamba kwakuwa sasa uko huko ' Ng'ambo ' hebu jaribu kutumia ' Kipaji ' chako cha Uandishi wa Habari na Uhariri ili uweze kupata Ajira ambayo itakuwezesha kuendesha maisha yako na hatimaye uachane na kuwa ' tegemezi ' kwa hao wanakukarimu hapo na pia Pesa / Hela zingine uweze kutuma Kwenu ( namaanisha huku Tanzania ) ziweze kuwasaidia Ndugu zako ambao naamini wanahitaji mno msaada wako.
Ni kweli yapo mambo ambayo yanaudhi kwa sasa Tanzania ila ' Mwenzetu ' sasa umezidisha katika Kutudanganya.
Kila la Kheri Kaka.
Kama ni za kweli we inakuuma nini hata zikivuja?Inamaana amezipata hizi taarifa akiwa huko ugaibuni? Kama ni hivyo sasa nihatari,nani amemfikishia taarifa za kikao hicho? Kwa kifupi kuna uvujaji mwingi sana wa taarifa kama ni hivyo,haiwezekani mtu yuko ugaibuni akaqeza kudukua siri za vikao hapa kwetuu
Teh teh mtoto wa Kipemba aliapa yule akidhulumiwa hakuna rangi ataacha kuonaTuliambiwa jamani Mtulia anavaa always kama sisi dada zake, HAYA sasa mambo hadharani.