Tunatawaliwa na genge baya sana, polepole mambo yanaanza kuvujaAlitakiwa abakie na kauli ile ile,alivyokuja kuomba radhi kiana ndio kahara na kajipaka mavi kabisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ametoa msisitizo kuwa jiwe ana file Mirembe!Alitakiwa abakie na kauli ile ile,alivyokuja kuomba radhi kiana ndio kahara na kajipaka mavi kabisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mbona Marais waliopita ni wengi mmejuaje mwenye faili pale Dodoma ni JPM?kujaribu kumchafua jpm kwa namna yeyote ile ni uchaguzi wa mtu mjinga tu.
jpm ana bond na taifa hili,nawasihi wapumbavu wachache wanaodhani wanaweza kifanikiwa.
Huyo anatakiwa afukuzwe uwanachama, full stopMwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe...
Mbona Marais waliopita ni wengi mmejuaje mwenye faili pale Dodoma ni JPM?
Kwakuua watu sawa
Ameomba radhi au amesema hamjamuelewa? Umesikiliza vizuri lakini? Au una akili ya kiutopolo?kwanini ameomba radhi?
kwama hana kosa angekaa kimya
Kichaa alikuwa ameambukiza kichaa chake watu wengi tu!
Mnajidanganya sana. Huo ubavu hamna.Amekutana na nguvu ya walinda legacy na baado lazima aachie uenyekiti wa ccm mwanza