Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

Baada ya kusema ukweli kuhusu awamu iliyopita jinsi ilivyonyanyasa watu wakiwemo wana-CCM wenyewe, hali hio imewachukiza sana wana CCM ambao walikua wanufaika wa unyanyasaji huo hali iliyopelekea Dr Diallo kuikana kauli yake muda mfupi uliopia.

Message sent and delivered.
 
Baada ya kusema ukweli kuhusu awamu iliyopita jinsi ilivyonyanyasa watu wakiwemo wana-CCM wenyewe, hali hio imewachukiza sana wana CCM ambao walikua wanufaika wa unyanyasaji huo hali iliyopelekea Dr Diallo kuikana kauli yake muda mfupi uliopia.

Uzuri ujumbe umefika...haina ku rewind!!!
 
Ukifuatilia Interview Nzima utaona Diallo alimaanisha alichokisema. Wengi wameangalia hiyo kauli ya Mirembe.
Collectiv agenda ni awamu iliyopita. Jaribu kurudia hiyo Interview halafu hiyo Kauli ya mirembe iwekwe kwenye FUTURE TENSE kama itamake sense!!
 
Ujumbe wake umefika na hajakosea na hana sababu yoyote ya kuomba radhi. Tulimpa kichaa rungu... Tusifanye hivyo tena.
 
Cdm mmebaki kuwa wacheza Ngoma za ccm tu kwa sasa, hakuna operation haki, maandamano Wala wabunge wa covid 19, kila sehemu mnaangukia pua.
Mchukueni sasa huyo Dialo wenu
Naiona chadema imekuwa nyepesi sana kwa siasa za kuhamishwa kutoka kwenye malengo ya msingi kwenda kwenye matukio.
 
Reactions: mmh
Cdm mmebaki kuwa wacheza Ngoma za ccm tu kwa sasa, hakuna operation haki, maandamano Wala wabunge wa covid 19, kila sehemu mnaangukia pua.
Mchukueni sasa huyo Dialo wenu
Waliolalamikia kauli ya Diallo ni CDM? Pambaneni na hali yenu.
 
Hata wewe mleta mada nakujua siku zote huku jf wewe ni chizi.
 
Mzee mpumbavu huyu duuh. Alikua anaongea kwa madaha sana jana leo nn kimempata? Wahehe wanasemaga "Igogola Fivi" yaani anazeeka vibaya.

Mkongwe huyu, aliyajua haya..

Ameshsfanya DAMAGE na anajua hakuna atakayeamini kuli ya pili... Hii inaitwa Fujo isiyoumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…