Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

Au naye anataka kusema account yake imevamiwa na tv yake
 
Yaan wasema kweli huko hawatakiwi kbs aisee 😂😂😂😂
 
.
 
Kilicho muhimu ni kwamba Diallo ameuelezea utawala wa awamu iliyopita katika uhalisia wake.

Tatizo la afya ya akili ya marehemu ni dhahiri, na wengi walikuwa wanajua. Juu ya yeye kutibiwa Mirembe na Ujerumani, inafahamika. Lakini kwaajili ya heshima ya mgonjwa, miiko ya kitabibu inasema ugonjwa ni siri ya mgonjwa. Hata hivyo illikuwa siyo sahihi mtu mnayefahamu ana tatizo linaloweza kuleta madhara makubwa kwa Taifa na wananchi, mkampa nafasi ya uongozi wa juu kabisa.
 

Nimecheka kwa nguvu jinsi we kilaza unavyojaribu kumtetea yule dhalimu, dhidi ya ukweli ambao uko tayari kwenye jamii. Ni hivi Diallo amesema ukweli, hivyo aombe msamaha, mumfute uanachama lakini ukweli aliosema haufutiki.

Mimi sio tu kugombea nafasi yoyote ya siasa, sijawahi hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, zaidi ya kuwa shabiki wa cdm sasa nagombea kivipi? Narudia tena, Diallo kaweka wazi ukweli wa yule muovu, kama mmechukia sageni sumu mnywe fullstop.
 
Chadema walishamaliza ushujaa.... Sasa ni washangiliaji wa game za chama tawala
Unapomwongelea marehemu, huwaongelei wanaCCM pekee bali unaongelea madhira waliyoyapata watanzania wote.
 
Mh. Dialo alionekana kuwa kiongozi muhimu ktk chama lakini kipindi alichofanya kwenye televishen yake mwenyewe kimemshusha sana.
Kama ni kiongozi imara haikumpasa kuomba radhi bali alitakiwa kusimamia yale aliyoyaongea.
Lakini umeiona hiyo radhi? Yaani ni burudani tupu mwanzo mwisho
 
Diallo ni tapeli sehemu kubwa ya maisha yake.
Kuanzia jina lake, elimu yake, kutolipa kodi, alichomsababishia mume wa mtangazaji wake, ulipaji mishahara
na jinsi alivyomfanya mwenye kampuni ya Sahara na kuifanya yake!

Kuhangaika kote si sababu ya serikali bali ni uhuni na udhurumaji mkubwa aliomfanyia Mzungu na kumfurusha nchini kwa muda mfupi.

Kwa ujumla si mwaminifu sehemu yoyote.
 
Ujumbe wa Dr. Diallo umenyooka kama rula. Ni nadra sana kwa wana CCM kuziishi ahadi zao za nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko kama alivyofanya Dr. Diallo. Tumpongeze kwa hili.

Mimi naamini CHADEMA sio wapuuzi.
 
Hivi ni doctor wa kitu gani huyu shujaa wetu mpya aliyeuzungumza ukweli wa lile sanamu la Chato kuwa na valid certificate ya uwendawazimu
 
Bro huyo hajiiti daktati ni phd holder halali kutoka university ya newcastle

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Katishwa na watu wasiojulikana AKA Team magufuli kwamba aikane kauli yake au atapotezwa.

 
Mzee atakuwa ametishwa kidogo akaamua afute kauli 😃😃

Anyways, Muungwana akivuliwa nguo Huchutama.

Kulikuwa hakuna ulazima wa kuyasema yale aliyoyasema wakati mlengwa hakusikii tena labda iwe ni funzo kwa Mfumo kufanya maandalizi na upekuzi wa kina ikiwemo kulinda image zao kwa viongozi ambao wanadhani wanaweza kupewa mamlaka makubwa ya kuongoza Nchi siku za mbeleni ili kutorudia makosa yaliyokwisha tendeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…