Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

Huyu Mzee atamtukana hata mwenyekiti wa sasa.

Hafai kubakia na wadhifa wake.
 
Dr. Diallo alikosea ila ndo alipatia.

SUKAH
 
... Mahakama ya mafisadi si ipo? Mnasubiri ni kumfungulia mashtaka? Ufisadi wake umeonekana leo? Mwenyekiti wa CCM mkoa tena mkoa muhimu kiuchumi ujue. Mna ndimi elfu enyi wanafiki.
Hahahaaa

Tumegusa mfupa

Naona chadema hoja zimeisha
 
Unapomwongelea marehemu, huwaongelei wanaCCM pekee bali unaongelea madhira waliyoyapata watanzania wote.
Vita mmejaribu na mwendo wa kisiasa mmeumaluza

Mmebaki matusi tu
 
Alitakiwa abakie na kauli ile ile, alivyokuja kuomba radhi kiana ndio kahara na kajipaka mavi kabisa
 
UVCCM tulimuonya, angeshupaza shingo tungeruka naye, sindano moja tu paaah💉 🤣🐒
 
kujaribu kumchafua jpm kwa namna yeyote ile ni uchaguzi wa mtu mjinga tu.

jpm ana bond na taifa hili,nawasihi wapumbavu wachache wanaodhani wanaweza kifanikiwa.
Bond ipi ya kuuwa watu? Tuambieni Ben Rabiu Saanane alipo na Nani alimpiga Lissu risasi tutamsamehe huyo iddi amini wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…