Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Imeisha hiyo.Uzuri ujumbe umefika...haina ku rewind!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hiyo.Uzuri ujumbe umefika...haina ku rewind!!!
Wataua wangapi
Halifichiki pembe lang’ombe hiyo ndio asiliyake..💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽😂 neno likisha chomoka halirudishiki mdomooni pinda mugongo pinda mugongo pinda muugongo🕺
Tv ya kwake,studio yake,camera yake,mtangazaji wake kwa nini asingee kwa madahaMzee mpumbavu huyu duuh. Alikua anaongea kwa madaha sana jana leo nn kimempata? Wahehe wanasemaga "Igogola Fivi" yaani anazeeka vibaya.
Nijaribu kusema kitu ambacho hakipo??Jaribu uone!
Siasa na ukweli ni incompatible!
Hata aliyekuwa mwenyekiti wake anayemsema kichaa alikuwa na tabia ya kuchomekea au kutafuta kisa na kuja kukitengua baada ya wiki nenda.Sisi tunashika neno la kwanza tu
Sasa bwashee kwani alisema uongo?Ajiuzulu uenyekiti wa mkoa!
Hapo hajaomba radhi bali amesisitiza!
Jinga kabisa ww....!Apewe adhabu kwa kuongea ukweli? Nchi ilitekwa na kichaa kwa muda wa miaka 5+
“mimi nadhani tuwe waangalifu sana hasa wana CCM, tumeanza kuingiliwa sana.”
“Unakuta ni kiongozi wa chama anatoa tamko na kunituhumu kama vile nimefanya kosa, bila hata kuniuliza. Lazima tuwe waangalifu sana wana CCM,” amesema Dk. Diallo.
Dk. Diallo amesema, ametafasiriwa vibaya na baadhi ya watu huku akiwataka wanachama wa chama hicho tawala nchini Tanzania kuwa makini kwani wapo wasiowatakia mema wanatumia mwanya huo kuwachonganisha.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Kenani Kihongosi alisema, viongozi walioaminiwa na “chama chetu, na wanakaa katika vikao vya maamuzi, tunawaomba wawe na nidhamu na chama hiki.”
Jeshi? Litafanya nini wakati huyo kichaa ndio alikuwa amiri jeshi mkuu?Kipindi inatekwa , jeshi lenu lilikuwa wapi ?
Ujumbe wa Dr. Diallo umenyooka kama rula. Ni nadra sana kwa wana CCM kuziishi ahadi zao za nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko kama alivyofanya Dr. Diallo. Tumpongeze kwa hili.Muhimu ujumbe wake umeshafika, tumeutafakari tumeuona haukuwa na tatizo.
Amekazia msimamo🤣🤣Wee mtoa hoja hii radhi gani aliyoiomba?mie sioni radhi hapa alichokifanya ni kuweka record straight
Kwa kweli kama radhi ndio inaombwa hivi, basi shughuli ipo!Ajiuzulu uenyekiti wa mkoa!
Hapo hajaomba radhi bali amesisitiza!