Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Nimeangalia highlights za KO zote 18 za Joshua yupo vizuri sana huyo jamaa. Anapiga ngumi hadi mwenyewe unaomba poo
 
Hili pambano litakuwa burudani ya nguvu sana. Tatizo ni kupata source yenye uhakika na isiyo na chenga kuliona hilo pambano.
 
Hili pambano litakuwa burudani ya nguvu sana. Tatizo ni kupata source yenye uhakika na isiyo na chenga kuliona hilo pambano.

Kwa watu wanaotumia TV cable kama Milan etc wataina ila hii mi tv kama star,ch 10 ,Azam yenyewe inajua futbal tu
 
Hili pambano si jpesi kama unavyodhan klitschko ni mmoja wa mabondia wenye hard chins. Anthony hajakumbana na watu wenye roho kama ya evander holyfield au huyu klitschko. Pambano ni gumu sabab jamaa ana uvumilivu wa maumivu kwa kiasi kikubwa sana. Wakat anthony joshua ana uoga kias wa kuharibiwa uso. Klitschko ni mgumu kuanguka pia.

Na ukichukulia na uzoefu wake wa kupigana mapambano zaid ya 60 usimchukulie rahisi hata kidogo.hili ni pambano kubwa la kimataifa

Mkuu umeongea kishabiki...Klitschko mkono wake wa kulia hautumii mara nyingi.....ila akiutumia ujue una balaa zito. Joshua kwa mara ya kwanza anaenda kukutana na mpinzani mzoefu na mvumilivu.

Joshua atapoteza pambano hili raundi za jua kuzama.

Amini maneno yangu.
 
Wamekuwa kwa kipindi kadhaa sasa hawaonesh mapambano ya Masumbwi na sijaona matangazo ila kuna mtu kasema Sup sport 6 itaonesha. Sina uhakika. Nimeangalia pia TV 1 WANADAI WATAONESHA INGAWA MUDA WALIOTAJA NDO NASHINDWA ELEWA WANASEMA SAA 2 USIKU.

DSTV hawaoneshi kabisa mkuu?
 
Wamekuwa kwa kipindi kadhaa sasa hawaonesh mapambano ya Masumbwi na sijaona matangazo ila kuna mtu kasema Sup sport 6 itaonesha. Sina uhakika. Nimeangalia pia TV 1 WANADAI WATAONESHA INGAWA MUDA WALIOTAJA NDO NASHINDWA ELEWA WANASEMA SAA 2 USIKU.
Sawa mkuu
 
Inamaana gani kuwa na mang'amuzi alafu huna uhakika wa kutizama mtanange mkali ka huu....

Ujinga...

Najisogeza Pub mapeema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…