Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
SahauJiandaeni kwenda kubeba maiti ya klitshko leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahauJiandaeni kwenda kubeba maiti ya klitshko leo
Ni mrusi au mzaliwa wa Ukraine?hamjui huyo mrusi
Hili pambano litakuwa burudani ya nguvu sana. Tatizo ni kupata source yenye uhakika na isiyo na chenga kuliona hilo pambano.
Kila mtu anaongea muda wake , mara saa nne, mara saa tano, mara saa saba tuamini lipi?Maana huyu mnigeria wa uingereza ni hatari katika dunia ya sasa atamrarua huyo vladmir mapema kabisa.
1. Yeye ana uwezo wa kutumia mikono yote miwili kwa kasi na nguvu ya ajabu wakati KLITCHKO anatumia zaidi mkono wa kushoto
2. Yeye ana nguvu za mikono na kila kombora analorusha ni nusu ya kifo hata ukikinga kwa mikono utaumia hadi kuuacha uso wakati KLITCHKO ni wale wapiganaji wanaoyegemea point
3. Upiganaji wake ni ule wa kufuata adui kwa kumshambulia tofauti na mwenzake anayejihami na kushambulia kwa kuvizia
4. Ni mtaalamu saana wa kupiga mapigo ya combination kitendo ambacho akikubahatisha moja ujua kwa sekunde moja zitafuatia zaidi ya ngumi thelathini hapo hapo pona yako ni kujidondosha
5. Ni mtaalamu kweli kweli wa kupiga ngumi ya dharau " UPPERCUT" na kikuwasha kwenye kidevu lazima udondoke chini
6. POLE SANA CLITHKO kwa kipigo utakachokipata usiku huu ambao huku madongo kuinama hatujajua muda kamili wala TV gani itaonyesha maana TV za bongo hazijui chochochote kinachoendelea duniani kwenye michezo zaidi ya MPIRA WA MIGUU.
Ni mrusi au mzaliwa wa Ukraine?
Man ulikuaga bubu nini? ukaombewa kwa kakobe.joshua kazi anayo huyo kichiko ni hatari cna mrusi miaja 27 kwa 41 ngoja tuone
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Man ulikuaga bubu nini? ukaombewa kwa kakobe.
DSTV hawaoneshi kabisa mkuu?Alizaliwa kazakhstan ila ana uraia wa Ukrain mika 41 iliyopita. So ni m ukrain sijajua kwa nini mtu flan kasema ni mrusi.
Mkuu umeongea kishabiki...Klitschko mkono wake wa kulia hautumii mara nyingi.....ila akiutumia ujue una balaa zito. Joshua kwa mara ya kwanza anaenda kukutana na mpinzani mzoefu na mvumilivu.Kila mtu anaongea muda wake , mara saa nne, mara saa tano, mara saa saba tuamini lipi?Maana huyu mnigeria wa uingereza ni hatari katika dunia ya sasa atamrarua huyo vladmir mapema kabisa.
1. Yeye ana uwezo wa kutumia mikono yote miwili kwa kasi na nguvu ya ajabu wakati KLITCHKO anatumia zaidi mkono wa kushoto
2. Yeye ana nguvu za mikono na kila kombora analorusha ni nusu ya kifo hata ukikinga kwa mikono utaumia hadi kuuacha uso wakati KLITCHKO ni wale wapiganaji wanaoyegemea point
3. Upiganaji wake ni ule wa kufuata adui kwa kumshambulia tofauti na mwenzake anayejihami na kushambulia kwa kuvizia
4. Ni mtaalamu saana wa kupiga mapigo ya combination kitendo ambacho akikubahatisha moja ujua kwa sekunde moja zitafuatia zaidi ya ngumi thelathini hapo hapo pona yako ni kujidondosha
5. Ni mtaalamu kweli kweli wa kupiga ngumi ya dharau " UPPERCUT" na kikuwasha kwenye kidevu lazima udondoke chini
6. POLE SANA CLITHKO kwa kipigo utakachokipata usiku huu ambao huku madongo kuinama hatujajua muda kamili wala TV gani itaonyesha maana TV za bongo hazijui chochochote kinachoendelea duniani kwenye michezo zaidi ya MPIRA WA MIGUU.
DSTV hawaoneshi kabisa mkuu?
Sawa mkuuWamekuwa kwa kipindi kadhaa sasa hawaonesh mapambano ya Masumbwi na sijaona matangazo ila kuna mtu kasema Sup sport 6 itaonesha. Sina uhakika. Nimeangalia pia TV 1 WANADAI WATAONESHA INGAWA MUDA WALIOTAJA NDO NASHINDWA ELEWA WANASEMA SAA 2 USIKU.