Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 738
Wale jamaa wamechemka kwa kifupi walikuwa hawana uhakika na wakawaongopea watu na bado hawajatoa ufafanuz wowote naomba TCRA waliangalie hiloo...mpaka sasa naona kimya...sijajua kama ntaona mtanange huu ... na walisisitiza kwenye page yao kuwa watarusha saa mbili usiku
Huu ugomvi Tv1aupo au haupo?halafu nimeisaka hiyo channel ya sky sports box office mobodro haipo wapu naweza kuistream jamani
Azam gani wamesema...nimeona hapa azam wanasema saa 6 ucku
Walisema sa 2 alafu kumbe hawana uhakikaMkuu hii kitu tv1 wataifanya saa ngapi.
Pamoja mkuu.Walisema sa 2 alafu kumbe hawana uhakika
Walisema sa 2 alafu kumbe hawana uhakika
TV 1 WANAONYESHAjamani online tunalipataje hili
Muda itakuwa saa ngap mkuu
23:00pmSaa saba usiku