chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
sisi wengine tunaking'amuzi cha azam sijui chanel gani tutaicheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shkran mkuusaa nne usiku kwa saa za afrika mashariki na kati
saa nne tuu jombaa.pambano linapigiwa wembley yaaani km unacheki FA mechi tu mzeiyaMuda itakuwa saa ngap mkuu
Mkuu sasa hiyo Skysport BOX office ipo kwny king'amuzi kipi? Na umesema DSTV hawaoneshi....natumia DSTVsaa nne usiku kwa saa za afrika mashariki na kati
Sio kwa huyo Klitchko mkuu.Kama kawa AJ anamla mtu KO
Ndio anafanya zoezi sana ila huyu Mnaigeria aliezaliwa England ni nouma sanakumbe vradimil nae chadema duuuh kumbe chama kubwa ila jamaa anapiga matiz mazito sana uyo
hamjui huyo mrusiSio kwa huyo Klitchko mkuu.
Saa saba usikusaa nne usiku kwa saa za afrika mashariki na kati
Super sport 6Dah Sijui nani ataonyesha huu mtanange
baaasi nimelikosa hiliSuper sport 6
Kwa nini mkuu?baaasi nimelikosa hili
Mpwa nimelipia elfu 19 za kitbongo tuKwa nini mkuu?