Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

sisi wengine tunaking'amuzi cha azam sijui chanel gani tutaicheki
 
kumbe vradimil nae chadema duuuh kumbe chama kubwa ila jamaa anapiga matiz mazito sana uyo
 
kumbe vradimil nae chadema duuuh kumbe chama kubwa ila jamaa anapiga matiz mazito sana uyo
Ndio anafanya zoezi sana ila huyu Mnaigeria aliezaliwa England ni nouma sana
df01bb7ead1b560d0f9910f016ab3346.jpg
 
TV1 wanasema wataonesha...
ila wanasema saa mbili usiku...sasa sijajua kama hiyo time ni yenyewe...!!!
0fbb1b04d8c72ff294647ea403240ffa.jpg
 
Kila mtu anaongea muda wake , mara saa nne, mara saa tano, mara saa saba tuamini lipi?Maana huyu mnigeria wa uingereza ni hatari katika dunia ya sasa atamrarua huyo vladmir mapema kabisa.

1. Yeye ana uwezo wa kutumia mikono yote miwili kwa kasi na nguvu ya ajabu wakati KLITCHKO anatumia zaidi mkono wa kushoto

2. Yeye ana nguvu za mikono na kila kombora analorusha ni nusu ya kifo hata ukikinga kwa mikono utaumia hadi kuuacha uso wakati KLITCHKO ni wale wapiganaji wanaoyegemea point

3. Upiganaji wake ni ule wa kufuata adui kwa kumshambulia tofauti na mwenzake anayejihami na kushambulia kwa kuvizia

4. Ni mtaalamu saana wa kupiga mapigo ya combination kitendo ambacho akikubahatisha moja ujua kwa sekunde moja zitafuatia zaidi ya ngumi thelathini hapo hapo pona yako ni kujidondosha

5. Ni mtaalamu kweli kweli wa kupiga ngumi ya dharau " UPPERCUT" na kikuwasha kwenye kidevu lazima udondoke chini

6. POLE SANA CLITHKO kwa kipigo utakachokipata usiku huu ambao huku madongo kuinama hatujajua muda kamili wala TV gani itaonyesha maana TV za bongo hazijui chochochote kinachoendelea duniani kwenye michezo zaidi ya MPIRA WA MIGUU.
 
Back
Top Bottom