Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo

"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije kanisani mikono mitupu waje wenye hela tu "

"Watumishi wa Mungu, wajane na mayatima wanategemea sadaka yako Mungu ameeleza hivyo. Kwahiyo kama wewe ni lofa hauna sadaka usiende kanisani" - amesema mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako

Source: Swahili World page on Facebook
 
Attachments

  • 1720806150429.jpg
    1720806150429.jpg
    237.6 KB · Views: 5
Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo

"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije kanisani mikono mitupu waje wenye hela tu "

"Watumishi wa Mungu, wajane na mayatima wanategemea sadaka yako Mungu ameeleza hivyo. Kwahiyo kama wewe ni lofa hauna sadaka usiende kanisani" - amesema mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako

Source: Swahili World page on Facebook
Hivi kuna watu bado wanapoteza muda wao kumsikiliza huyu jamaa kweli?
 
Kwa hiyo Lazaro ambaye alikuwa Masikini lakini akawa anatenda mema alikuwa Lofa?.

Gidioni aliyekuwa kapuku ila Mungu akaamua kutumika naye na kumuita shujaa naye alikuwa Lofa?.

Kizazi hiki wanaojiita watumishi wa Mungu ni matajiri wa kutupwa huku wafuasi wao wakiishia kubaki masikini.

Wao wanahimiza kutoa tu ulicho nacho na si vinginevyo. Tajiri kwao ni mhimu maana anawaachia chochote kitu.

Wakiwa na shida na gari wanachangiwa ili wanunue, ila wewe ukiwa na shida na gari wanaishia kukulaghai eti pokea gari kutoka sijui wapi, badala ya kukuambia ufanye kazi upate gari.

Ukiona anayejiita mtumishi wa Mungu anahimiza zaidi kutoa fedha, kuuza maji, mchanga, mafuta vitambaa n.k, kaa naye mbali.

Mungu anahitaji tupate wokovu, tuache dhambi, tutende yaliyo mema, tusaidie wahitaji kama wagonjwa, wafungwa, wajane na yatima. Hii ndiyo ibada iliyo njema kwa Mungu.

MARKO 12:41-44
41 Kisha Yesu akaketi karibu na sehemu ya kutolea sadaka Hekaluni akawaangalia watu walivyokuwa wakiweka sadaka zao kwenye chombo cha sadaka. Matajiri wengi waliweka humo kiasi kikubwa cha fedha. 42 Lakini mjane mmoja fukara, alikuja akaweka sarafu mbili zenye thamani ya senti kumi.

43 Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia, “Ninawaambia hakika, huyu mjane ametoa zaidi kuliko wote! 44 Wengine wote wametoa kutokana na ziada ya mali zao; lakini huyu mama ingawa ni fukara, ameweka kila kitu alichokuwa nacho, hata na kile alicho hitaji kwa ajili ya riziki yake.”

Kwa Mungu hatuendi kisa wewe ni masikini au tajiri wa mwilini bali kwa neema ya Mungu na yule aliye tajiri wa rohoni.

Anyway za kuambiwa changanya na zako
 
Ila wachungaji bwana
Kweli umasikini ni laana
Nikaona niendelee kusoma kumbe jamaa anaendeleza biashara yake na kuwakataa masikini kisa wanatoa buku 😄
Mwingine huko anauza viwanja mbinguni kwa $100
Anasema miaka ya nyuma alienda huko na akaongea na mungu wake eti aanze tu kuuza haina shida 😄 🤣

Na kuna wapumbavu au waumini kama wanavyojiita wamekubali kununua viwanja sio kimoja

Screenshot_20240711_180715_Instagram~2.png
 
Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo

"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije kanisani mikono mitupu waje wenye hela tu "

"Watumishi wa Mungu, wajane na mayatima wanategemea sadaka yako Mungu ameeleza hivyo. Kwahiyo kama wewe ni lofa hauna sadaka usiende kanisani" - amesema mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako

Source: Swahili World page on Facebook
HUYUUUUUU NATI ZAKE ZILIKATIKA MAPEMA AKACHELEWA KUWA NA UMAARUFU SASA KAMWONA MWENZIE WA BUZA HADI LOCK INAMALIZIKA ANATAKA KUTENGENEZA JINA
 
Kwa hiyo Lazaro ambaye alikuwa Masikini lakini akawa anatenda mema alikuwa Lofa?.

Gidioni aliyekuwa kapuku ila Mungu akaamua kutumika naye na kumuita shujaa naye alikuwa Lofa?.

Kizazi hiki wanaojiita watumishi wa Mungu ni matajiri wa kutupwa huku wafuasi wao wakiishia kubaki masikini.

Wao wanahimiza kutoa tu ulicho nacho na si vinginevyo. Tajiri kwao ni mhimu maana anawaachia chochote kitu.

Wakiwa na shida na gari wanachangiwa ili wanunue, ila wewe ukiwa na shida na gari wanaishia kukulaghai eti pokea gari kutoka sijui wapi, badala ya kukuambia ufanye kazi upate gari.

Ukiona anayejiita mtumishi wa Mungu anahimiza zaidi kutoa fedha, kuuza maji, mchanga, mafuta vitambaa n.k, kaa naye mbali.

Mungu anahitaji tupate wokovu, tuache dhambi, tutende yaliyo mema, tusaidie wahitaji kama wagonjwa, wafungwa, wajane na yatima. Hii ndiyo ibada iliyo njema kwa Mungu.

MARKO 12:41-44
41 Kisha Yesu akaketi karibu na sehemu ya kutolea sadaka Hekaluni akawaangalia watu walivyokuwa wakiweka sadaka zao kwenye chombo cha sadaka. Matajiri wengi waliweka humo kiasi kikubwa cha fedha. 42 Lakini mjane mmoja fukara, alikuja akaweka sarafu mbili zenye thamani ya senti kumi.

43 Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia, “Ninawaambia hakika, huyu mjane ametoa zaidi kuliko wote! 44 Wengine wote wametoa kutokana na ziada ya mali zao; lakini huyu mama ingawa ni fukara, ameweka kila kitu alichokuwa nacho, hata na kile alicho hitaji kwa ajili ya riziki yake.”

Kwa Mungu hatuendi kisa wewe ni masikini au tajiri wa mwilini bali kwa neema ya Mungu na yule aliye tajiri wa rohoni.

Anyway za kuambiwa changanya na zako

Hizo Sarafu 2 zinatosha kuendesha shughuli za Kanisa Leo hii?

Unaelewa Nini unapoambiwa utoe sadaka na hasa fungu la 10?

Unajua gharama za kueneza injili? Au unakariri maandiko?
 
Mungu wetu hapendi umasikini huo ndiyo ukweli

Masikini anawaza shida zake na muda Mwingi anautumia kulalamika badala ya kumtumikia Mungu wake
 
Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo

"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije kanisani mikono mitupu waje wenye hela tu "

"Watumishi wa Mungu, wajane na mayatima wanategemea sadaka yako Mungu ameeleza hivyo. Kwahiyo kama wewe ni lofa hauna sadaka usiende kanisani" - amesema mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako

Source: Swahili World page on Facebook
Sasa mkuu mwenye nacho huongezewa na asiye kuwa nacho hunyang’anywa.. wewe hutaki mwenye nacho aongezewe na mbingu?
 
Hakuna historia ya Mtume au Nabii au Mfalme yeyote aliyekuwa masikini, wote Mwenyezi Mungu aliwajaslia uwezo wa kiuchumi uliowafanya wamudu maisha Yao vizuri huku wakimtumikia vema muumba wao
 
Jibu hoja Mkuu
Hoja gani ya kujibu hapo? Biblia siyo encyclopedia kwamba kila neno linapata maelezo yake ya kujitosheleza, ni kwa ajili ya kujenga imani yako kwa Mungu na kupata 'inspiration' ya kuweza kuishi maisha yenye heri. Kwenye Biblia dhana ya umaskini na utajiri ni tofauti na ya material possession. Mfano, tajiri wa mali kwenye Biblia anaweza kuwa maskini na maskini ya mali anaweza kuwa tajiri wa kuishi maisha ya heri. Siku moja Yesu alikuwa hekaluni akiangalia watu wanavyotoa sadaka na wengine walikuwa wakitoa sadaka kubwa sana, tena kwa kunionyesha. Lakini Yesu didn't give a damn! Badala yake alimsifia mama mmoja aliyetoa fedha kidogo sana kuliko wote na akasema "huyu ndiye aliyetoa sadaka ya kweli." Kwa hiyo, before God what counts siyo mali uliyonayo, bali moto wako - jinsi unavyotumia mali yako kuwasaidia wengine au kuwadhalilisha/kuwanyonya/kuwatweza/kuwaibia etc.
Jibu hoja Mkuu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo

"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije kanisani mikono mitupu waje wenye hela tu "

"Watumishi wa Mungu, wajane na mayatima wanategemea sadaka yako Mungu ameeleza hivyo. Kwahiyo kama wewe ni lofa hauna sadaka usiende kanisani" - amesema mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako

Source: Swahili World page on Facebook

Huyo jamaa ni controversial sana.
 
Back
Top Bottom