Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo
"Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije kanisani mikono mitupu waje wenye hela tu "
"Watumishi wa Mungu, wajane na mayatima wanategemea sadaka yako Mungu ameeleza hivyo. Kwahiyo kama wewe ni lofa hauna sadaka usiende kanisani" - amesema mchungaji Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako
Source: Swahili World page on Facebook