Antonio Nugaz, ni saa ngapi unaenda kukinukisha Yanga SC baada ya kukereka na dharau uliyoonyeshwa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali.

Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC.

GSM hasa kupitia Injinia Hersi Said je, huu Mpambano wa Majibizano baina ya hawa Wawili akina Nugaz na Manara mnaumaliza vipi? Na bahati mbaya ni kwamba hawa Wawili wanapenda Ufalme ndani ya Yanga SC yenu.

Haya Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vyenye Wanafiki wengi na wana Yanga SC kutoka EFM Maulid Kitenge, Wasafi FM Yusuph Mkule, Clouds FM Yahaya Njenge na East Africa Radio Goza Chuma hili mnajifanya hamjalipata wakati Mimi Mfukunyuaji Mwandamizi wa Taarifa zilizofichwa, ngumu na za Hatari Mightier nimezipata?

Antonio Nugaz unakinusha Saa ngapi?
 
GSM ilimpa onyo kali Nugaz kwa kumtukana manara kwamba ni msukule ,na hata siku ya Wananchi wakamtoa kwenye list ya viongozi wa Yanga ndo maana hakuonekana ,na inasemekana GSM wanakaa chini punde kumjadili
Nilipokuja na huu Uzi kama Kawaida kuna Wapuuzi / Wapumbavu kama akina liwaya walidhani nimekurupuka nao tu wakati Mightier ni Bingwa na Mbobezi wa kuingia kulikofichika na nikayapata yote ya Siri.

Hongera nawe kwa Kuweka huu Uwazi.
 
Kwa kuzingatia umuhimu wa teamwork kwenye taasisi yoyote ni dhahiri Antonio alizingua sana. Hawa wasemaji naamini ni wataalam wa PR hivyo wazingatie professionalism.
 
Acha weee [emoji706][emoji706][emoji706]
 
drdejohn
Kwahiyo katika Threads za Watu wote hapa JamiiForums umeona uje uweke hili Tangazo lako Kwangu Mimi Mightier pekee?

Hamna shida nakuombea kwa Mwenyezi Mungu Watu wengi wanaopitia Threads zangu hapa JamiiForums wakuone na wakupe Ajira kulingana na Taaluma yako.
 
Kwa kuzingatia umuhimu wa teamwork kwenye taasisi yoyote ni dhahiri Antonio alizingua sana. Hawa wasemaji naamini ni wataalam wa PR hivyo wazingatie professionalism.
Afisa uhamasishaji.
Msemaji wa Club.
Afisa habari wa Club.

Hivi vyeo viko utopolo tu
 
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali.

Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC.

GSM hasa kupitia Injinia Hersi Said je, huu Mpambano wa Majibizano baina ya hawa Wawili akina Nugaz na Manara mnaumaliza vipi? Na bahati mbaya ni kwamba hawa Wawili wanapenda Ufalme ndani ya Yanga SC yenu.

Haya Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vyenye Wanafiki wengi na wana Yanga SC kutoka EFM Maulid Kitenge, Wasafi FM Yusuph Mkule, Clouds FM Yahaya Njenge na East Africa Radio Goza Chuma hili mnajifanya hamjalipata wakati Mimi Mfukunyuaji Mwandamizi wa Taarifa zilizofichwa, ngumu na za Hatari Mightier nimezipata?

Antonio Nugaz unakinusha Saa ngapi?
Alikupatia Dela a.k.a kijora hakika alipatia 100%
 
Back
Top Bottom