Antonio Nugaz, ni saa ngapi unaenda kukinukisha Yanga SC baada ya kukereka na dharau uliyoonyeshwa?

Kaliwa kichwa kabla ya kukinukisha...

Labda atahamia kwa Mudi...
 
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali.

Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC.

GSM hasa kupitia Injinia Hersi Said je, huu Mpambano wa Majibizano baina ya hawa Wawili akina Nugaz na Manara mnaumaliza vipi? Na bahati mbaya ni kwamba hawa Wawili wanapenda Ufalme ndani ya Yanga SC yenu.

Haya Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vyenye Wanafiki wengi na wana Yanga SC kutoka EFM Maulid Kitenge, Wasafi FM Yusuph Mkule, Clouds FM Yahaya Njenge na East Africa Radio Goza Chuma hili mnajifanya hamjalipata wakati Mimi Mfukunyuaji Mwandamizi wa Taarifa zilizofichwa, ngumu na za Hatari Mightier nimezipata?

Antonio Nugaz unakinusha Saa ngapi?

Naona Antonio wamemtimua sababu ya Manara.Ukisikia Utopolo ndiyo huu sasa,unamwacha Nugaz sababu ya Manara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa?! Hii inaonyesha manala ana jambo kubwa sana na Yanga tena nyeti na kwa muda mrefu. Pole Nugas Mungu akutunze.
 
Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC
Ohoooooo!
Kumbe?? 😱 😱
 
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali.

Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC.

GSM hasa kupitia Injinia Hersi Said je, huu Mpambano wa Majibizano baina ya hawa Wawili akina Nugaz na Manara mnaumaliza vipi? Na bahati mbaya ni kwamba hawa Wawili wanapenda Ufalme ndani ya Yanga SC yenu.

Haya Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vyenye Wanafiki wengi na wana Yanga SC kutoka EFM Maulid Kitenge, Wasafi FM Yusuph Mkule, Clouds FM Yahaya Njenge na East Africa Radio Goza Chuma hili mnajifanya hamjalipata wakati Mimi Mfukunyuaji Mwandamizi wa Taarifa zilizofichwa, ngumu na za Hatari Mightier nimezipata?

Antonio Nugaz unakinusha Saa ngapi?
Genta lini umeanza kuishabikia Yanga SC?!! 😲

#DaimaMbeleNyumaMwisho
#1935ForEver
 
Unatema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa?! Hii inaonyesha manala ana jambo kubwa sana na Yanga tena nyeti na kwa muda mrefu. Pole Nugas Mungu akutunze.

Ndiyo imenishangaza sana,hapa inazidi ku prove CEO wa Simba na Team yake nzima walikuwa sahihi kabisa,ni vile tu hawataki kuongea,hawa wana ushahidi wa Wazi ambao ukiwekwa hadharani itakuwa aibu kubwa kwa Manara na GSM.

Unaikumbuka kauli ya Hans Pope kuhusu zawadi za Harusi ya Manara kutoka GSM?
 
Hakika GSM na Manala wana lao la ndani na ziada, sio kwa zawadi zile za harusi.

Unaikumbuka kauli ya Hans Pope kuhusu zawadi za Harusi za Manara kutoka GSM
 
Hakika GSM na Manala wana lao la ndani na ziada, sio kwa zawadi zile za harusi.

Kingine ilikuwa inashangaza,Manara kapokelewa tu tayari keshajipa Jukumu la usemaji,viongozi wao wakiulizwa wanabaki kujiuma uma kuwa atapangiwa kazi nyingine, kwamba Msolla na team yake nzima hawana walijualo,hii ilikuwa ni project ya Ghalib kupitia chawa wake Hersi.Hapa Manara kaenda Yanga kupush mauzo ya Jersey za GSM,inaonekana Nugaz ni kama alifail.By the time Yanga wanakuja kustuka itakuwa too late.
 
Ndiyo imenishangaza sana,hapa inazidi ku prove CEO wa Simba na Team yake nzima walikuwa sahihi kabisa,ni vile tu hawataki kuongea,hawa wana ushahidi wa Wazi ambao ukiwekwa hadharani itakuwa aibu kubwa kwa Manara na GSM.

Unaikumbuka kauli ya Hans Pope kuhusu zawadi za Harusi ya Manara kutoka GSM?
acheni utoto nyie hivi hamkuonq wakati nugaz ana muita manara msukule?
 
Lakini umefikiria nini GSM kuwa na Nugaz na Manara ambao wote Utendaji wao unafanana? Kipo kitu hapo.
 
Kingine ilikuwa inashangaza,Manara kapokelewa tu tayari keshajipa Jukumu la usemaji,viongozi wao wakiulizwa wanabaki kujiuma uma kuwa atapangiwa kazi nyingine, kwamba Msolla na team yake nzima hawana walijualo,hii ilikuwa ni project ya Ghalib kupitia chawa wake Hersi.Hapa Manara kaenda Yanga kupush mauzo ya Jersey za GSM,inaonekana Nugaz ni kama alifail.By the time Yanga wanakuja kustuka itakuwa too late.
Fantastic sana. Hoja iko hapo hapo. Infact kuna YANGA iko kivyake na GSM kivyake vile vile katika angle ya biashara yao. Wamemchukua MANARA ili ku-push jezi zao. Hata trick ya kusajili wachezaji kibao sana kwa mikataba ya miezi 12 ni mbinu ya kupaisha mauzo ya jezi.

Ni rahisi, WANAKUAMBIA KWA USAJIRI huu TUTACHUKUA KILA KOMBE. Unaenda kununua jezi, mission inakuwa done [emoji736] kwa msimu huo
 
Haa wapi,mudy f.c aina izo mambo za kubeba wafanyakazi kwa mihemko.
Simba ni level nyingine.

Kaka watu naona wanajali matumbo yao tu sasa...

Kama Manara yule kaenda Yanga, basi haitashangaza bwana kulia lia Nugaz kuungana na Kamwaga...
 
Back
Top Bottom