Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
acheni utoto nyie hivi hamkuonq wakati nugaz ana muita manara msukule?
Ni swala la muda tu mbona,Jangwani patatifuka,tutakuja kufukua huu uzi na mtaukimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni utoto nyie hivi hamkuonq wakati nugaz ana muita manara msukule?
Fantastic sana. Hoja iko hapo hapo. Infact kuna YANGA iko kivyake na GSM kivyake vile vile katika angle ya biashara yao. Wamemchukua MANARA ili ku-push jezi zao. Hata trick ya kusajili wachezaji kibao sana kwa mikataba ya miezi 12 ni mbinu ya kupaisha mauzo ya jezi.
Ni rahisi, WANAKUAMBIA KWA USAJIRI huu TUTACHUKUA KILA KOMBE. Unaenda kununua jezi, mission inakuwa done [emoji736] kwa msimu huo
Aisee nitaanza kukufwatilia Kwa karibu sana!!!...Naona habari zako ni pureMnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali.
Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC.
GSM hasa kupitia Injinia Hersi Said je, huu Mpambano wa Majibizano baina ya hawa Wawili akina Nugaz na Manara mnaumaliza vipi? Na bahati mbaya ni kwamba hawa Wawili wanapenda Ufalme ndani ya Yanga SC yenu.
Haya Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vyenye Wanafiki wengi na wana Yanga SC kutoka EFM Maulid Kitenge, Wasafi FM Yusuph Mkule, Clouds FM Yahaya Njenge na East Africa Radio Goza Chuma hili mnajifanya hamjalipata wakati Mimi Mfukunyuaji Mwandamizi wa Taarifa zilizofichwa, ngumu na za Hatari Mightier nimezipata?
Antonio Nugaz unakinusha Saa ngapi?
Kamwaga anaachia ngazi,wanaopigiwa chapuo ni Mwijaku na Kumbuka,pia na Nugaz akiwemo sio mbaya jamaa yuko makini sana ni mwanasimba yule kule Yanga ni mambo ya kazi tu kama alivyo Manara.Kaka watu naona wanajali matumbo yao tu sasa...
Kama Manara yule kaenda Yanga, basi haitashangaza bwana kulia lia Nugaz kuungana na Kamwaga...