MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali.
Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila ukiwa nao unaogopa Kuwapasua au hata Kuachana tu na Yanga SC.
GSM hasa kupitia Injinia Hersi Said je, huu Mpambano wa Majibizano baina ya hawa Wawili akina Nugaz na Manara mnaumaliza vipi? Na bahati mbaya ni kwamba hawa Wawili wanapenda Ufalme ndani ya Yanga SC yenu.
Haya Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vyenye Wanafiki wengi na wana Yanga SC kutoka EFM Maulid Kitenge, Wasafi FM Yusuph Mkule, Clouds FM Yahaya Njenge na East Africa Radio Goza Chuma hili mnajifanya hamjalipata wakati Mimi Mfukunyuaji Mwandamizi wa Taarifa zilizofichwa, ngumu na za Hatari Mightier nimezipata?
Antonio Nugaz unakinusha Saa ngapi?