Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukupe pambano naye?Ni kweli ila kiukweli Joshua hamna kitu kabisa
Kama mwakinyoooAJ atashinda kwa point
Kapiga vikombe vingi vya kichwa kuzidi mpinzani wake?Antony anashinda kwa point...
Joshua atashinda kwa janja ya kumpapasa jamaa kichwani, ila huyu mbuzi katoriki ninoma ana ngumi za hatari, bila ya kurukaruka joshua angakalishwa
Yaaah leo hakuna Radha ya ndondi kabisa yaaanAntony anashinda kwa point...
Haswa jamaa ni nyoko haogopi unaona round ya mwisho anamwita joshua asogeeNa pongezi kwa makocha wa Joshua naamini walimtahadharisha kukaa karibu na huyo mbuzi katoliki, bila hivyo tulikuwa dakika hizi tunaongea mengine na misonyo juu
Ni kweli ila kiukweli Joshua hamna kitu kabisa
Mi nilijua mapema leo hakuna ngumi za maanaYaaah leo hakuna Radha ya ndondi kabisa yaaan
Watu hawaangalii hayo eti..Joshua kampiga jamaa ngumi nyingi sana za kichwa kuliko Ruiz..Joshua amecheza kwa nidhamu na tahadhari sana leo..Alijua KO haitawezekana...Akawa anadonoa tuKapiga vikombe vingi vya kichwa kuzidi mpinzani wake?
Labda kwa majaji wa mwakinyoUkute ikawa draw