Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Na pongezi kwa makocha wa Joshua naamini walimtahadharisha kukaa karibu na huyo mbuzi katoliki, bila hivyo tulikuwa dakika hizi tunaongea mengine na misonyo juu
Haswa jamaa ni nyoko haogopi unaona round ya mwisho anamwita joshua asogee
 
Nimempa ushindi Joshua wa 3-0. Lkn bado kashindwa kulipa kisasi cha kulambishwa sakafu kwenye pambano la kwanza.

Vv
 
Back
Top Bottom