Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

Upuuzi kama huu aliwahi tungiwa Mzalendo yeyote aliyejaribu kukinusuru chama.

OK hadithi tamu ila haimzidi Nyerere mwandishi wa CDM
 
Mramba anahangaika na threads za Mbowe kila siku. Ameamua awe hamnazo alimradi airidhishe nafsi yake japo hakuna anachofanikiwa.
 
"...Bitter X".....move on man! Umeshaamia ccm lakini mawazo yote yapo kwa X wako.
 
Hapana ! Ni mbaya sana kwa nchi na upinzani....sijui kwa nini mh. Mbowe anajifanya kutoona athari ya kung'ang'ania madaraka....
Gazeti kubwa limejaa utetezi kwa Mbowe,najua unafaidika na uharamia wa Mbowe,sasa tulipowaambia kunatatizo ndani ya chama chenu ,mlijifanya viziwi,sasa habari zinatoka mwishoni kabisa chama kimekwisha kufa,hopeless
 
Msajili wa vyama aingilie kati ibadilike katiba wenyeviti wawe wanateuliwa
 
Kwani ndani ya CHADEMA mwenye maamuzi ya mwisho ni nani ? Honestly speaking? Madaraka si tu kuongoza nchi, hata kuongoza chama tena kikubwa kama CHADEMA.
Hata ANC iliendeshwa na kiongozi mmoja kwa muda mrefu kufikia malengo yao ya ukombozi wa nchi. Sioni ajabu hapo. Lakini kama ni udikteta tayari upo serikalini.
 
kinachoendelea ndani ya chadema kinasikitisha sana. Mbowe alitakiwa awe ameshajiuzulu siku nyingi ili upinzani upone.
Mbowe ajihuzuru kwa lipi?acha siasa za utapiamlo.labda m/kit ccm ajihuzuru kwa haya yanayoendelea hapa
 
Mbowe aendelee tu ,.kelele za chura azisababishi tembo kukosa kunywa maji
 
Gazeti kubwa limejaa utetezi kwa Mbowe,najua unafaidika na uharamia wa Mbowe,sasa tulipowaambia kunatatizo ndani ya chama chenu ,mlijifanya viziwi,sasa habari zinatoka mwishoni kabisa chama kimekwisha kufa,hopeless
Chadema ikifa si ndio furaha kwetu ccm? Sasa shida iko wapi? muacheni Mbowe aiuwe Chadema.
 
MC Babu Ayubu ananikumbusha mbali sana, kuiga sauti ya Miraji, Yeyeye na Babu Chacha Makongo. Huu ni ushahidi wa kitoto kabisa.
 
Salary Slip yupo kweli, habari hii nilitarajia yeye ailete huku JF, maana ndio bingwa wa kuchukua habari twita
 
Bwana Mdogo Mramba, wewe umeamua kuritadi, kwa nini kwa sasa usi concentrate na kueneza mazuri ya huko uliko? Mbona unakuwa kama mwanamke ailiyeachika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…