Antony Mtaka kiongozi Shupavu, Mzalendo na Mwenye Maono

Uzalendo wake ni upi? Kama anakwamishwa si aachie ngazi ili kulinda uzalendo wake? Hakuba kitu hapo, jamaaa nacheza na akili za vilaza kama wewe hapo, Hii bongo ukiweza kucheza na akili za vilaza basi umewini
Leta hoja Mzee Acha kubisha kama hauna kichwa.
 
rais kama anaakili aondoe hizi takataka zinazolipa wapiga debe mitandaoni ili zibaki madarakani.

MTAKA HANA KITU ZAIDI YA KUBWATUKA. DODOMA KAJENGA SOKO LA MACHINGA LA KIPUMBAVU KUWAHI KUTOKEA.

apumzishwe akili mpya zinatakiwa. mtaka anakasumba za magufuli za kutumia nyundo badala ya akili.

Hafai.
Ukilaza unakusumbua
 
Dodoma majambazi wa Aridhi Jiji ndiyo wamemfitini akaondolewa
Maana watumishi was Jiji wamedhulumu wananchi ardhi mpaka zenye miliki zilizo pimwa kisheria na hati Nkuhungu broad acre
Natamani apewe Tu Hata TAMISEMI patawaka moto
 
Dodoma majambazi wa Aridhi Jiji ndiyo wamemfitini akaondolewa
Maana watumishi was Jiji wamedhulumu wananchi ardhi mpaka zenye miliki zilizo pimwa kisheria na hati Nkuhungu broad acre
Njoo na data ,wafikili Dodoma wahifaham peke yako, mafisadi wamejimilokisha aridhi wamsingizia Mtaka, na WENDA kaondolewa na hujuma za mafisadi Ili yasiumbuliwe, mijitu inamiloki maheka ya kufa mtu,unamsema Mtaka, huna akili
 
Huyu bwana ni moja ya watanzania wachache wenye weledi na uzalendo wa hali ya juu. Kwa Kariba yake ukuu wa mkoa ni nafsi ndogo Sana. Alipaswa awepo kwenye ngazi za juu za maamuzi ya Nchi.

Tatizo linakuja tu ni Nchi aliyopo na mfumo wa sasa wa ubadhilifu mwingi amabao Kwa ufupi hawezi kuingia.

Enzi za magufuli siyo tu kwamba alikuwa anasifiwa bure Hapana, aliyoyatenda simiyu hawatamsahau alikuwa mkombozi wao.

CCM wanajitahidi Sana kumnyamazisha hata DODOMA hakutolewa kwenda njombe Kwa bahati mbaya, maana mitazamo Yake Hakuna kiongozi yeyote anayemfikia hata raisi mwenyewe.

CCM Wanaamini kumwacha aendelee kuhuburi anayoyaamini ni kama anakuwa anawadharirisha viongozi wake.

Ndo hivyo ni binadamu na anaijua CCM vizuri ukiwa jeuri kupindukia unazikwa hii imepelekea watu wengi wenye weledi kukaa kimya wakihofia maisha yao, magufuli tu Ndo alijitoa mhanga.

Mbunge wa sengerema CCM Hamisi Tabasamu alishasema wazalendo Nchi hii ni wakutafuta Kwa tochi, na ukiwa mzalendo utafuatiliwa kwelikweli, Lakini Hata Humphrey polepole kwenye mahojiano na Dar 24 jambo hili alilitamka.

Huyu bwana atabaki kuwa mzalendo pengine utatokea mfumo huko mbele ambao utampa mamlaka ya juu zadi ili aweze kulivusha Taifa kwenda hatua nyingine.

Naamini hata hii Leo ukimuliza MTAKA suluhisho la uhaba wa maji na kukatikakatika Kwa umeme majibu atakayokupa yanaweza kuwa dhihaka kwa watawala.

Lakini hamna namna, Ngoja tuendelee na vilanza wetu ila ipo siku mawe yataongea.
Mbona mfumo wa huyo magufuli Kama ulikuwa sawa kwa nn haukumuweka nafasi za juu.magufuli alimuweka huko shimiyu mama kamleta dodoma ukiona hivyo Ana matatizo yake
 
Mtaka anaingia kwa KIGWANGALA mara elfu tisini.

Mtaka kwanza sio msomi...ni mropokaji anaeunganisha matukio na coincidences kujifanya anavitu.

Seriously....namkubali KIGWANGALA 100 times kuliko mtaka japo Kigangala nae zama zimempita hata ubunge hafai kuendelea 2025 ila ananafuu
ACHA CHUKI BINAFSI WEWE NDIO UNAONEKANA MROPOKAJI SASA KIGWANGALA ANAINGIAJE KWENYE UTENDAJI WA MTAKA?ACHA ROHO YA HUSUDA MZEE ASILIMIA ZOTE KWENYE COMMENT WAMESIFIA UTENDAJI WAKE BORA UNGEKAA KIMYA TU MKUU
 
Anawavua nguo wanaona aibu kwani viuno výao vimejaa hirizi za aibu
 
Naunga mkono hoja, hili ni jembe la ukweli

Hii sii haki! maana unamaanisha hata mamlaka ya uteuzi ni kila..

Mtaka amebainika ni "A Leader of Changes" ni tranformational leader, popote alipo anabadili kama alivyoibadili Simiyu, anapelekwa mikoa yenye fursa zinazohitaji leaders of change, hivyo mkoa wa Njombe sasa hivi atau transform.

P

Thanks mkuu Kwa kuliona hili mapema
 
Huyu bwana ni moja ya watanzania wachache wenye weledi na uzalendo wa hali ya juu. Kwa Kariba yake ukuu wa mkoa ni nafsi ndogo Sana. Alipaswa awepo kwenye ngazi za juu za maamuzi ya Nchi.

Tatizo linakuja tu ni Nchi aliyopo na mfumo wa sasa wa ubadhilifu mwingi amabao Kwa ufupi hawezi kuingia.

Enzi za magufuli siyo tu kwamba alikuwa anasifiwa bure Hapana, aliyoyatenda simiyu hawatamsahau alikuwa mkombozi wao.

CCM wanajitahidi Sana kumnyamazisha hata DODOMA hakutolewa kwenda njombe Kwa bahati mbaya, maana mitazamo Yake Hakuna kiongozi yeyote anayemfikia hata raisi mwenyewe.

CCM Wanaamini kumwacha aendelee kuhuburi anayoyaamini ni kama anakuwa anawadharirisha viongozi wake.

Ndo hivyo ni binadamu na anaijua CCM vizuri ukiwa jeuri kupindukia unazikwa hii imepelekea watu wengi wenye weledi kukaa kimya wakihofia maisha yao, magufuli tu Ndo alijitoa mhanga.

Mbunge wa sengerema CCM Hamisi Tabasamu alishasema wazalendo Nchi hii ni wakutafuta Kwa tochi, na ukiwa mzalendo utafuatiliwa kwelikweli, Lakini Hata Humphrey polepole kwenye mahojiano na Dar 24 jambo hili alilitamka.

Huyu bwana atabaki kuwa mzalendo pengine utatokea mfumo huko mbele ambao utampa mamlaka ya juu zadi ili aweze kulivusha Taifa kwenda hatua nyingine.

Naamini hata hii Leo ukimuliza MTAKA suluhisho la uhaba wa maji na kukatikakatika Kwa umeme majibu atakayokupa yanaweza kuwa dhihaka kwa watawala.

Lakini hamna namna, Ngoja tuendelee na vilanza wetu ila ipo siku mawe yataongea.
Mtaka anastahili pongezi.
Viongozi wengi wa siku hizi wana tabia ya kujikomba kwa kujitoa ufahamu, jambo ambalo yeye hana.
Wengine huweka akili za kawaida pembeni ili kujipendekeza kipumbavu.
 
Back
Top Bottom