Nafikili pia mawaziri wanaoteuliwa, ni vyema pamoja na majukum kupewa mpango kazi wa kila mwaka ,wapi anatakiwa kuifikisha wizara na ndo kiwe kipimo Cha yeye kuendelea kuwa waziri , hapa patakua hakuna Cha kujipendekeza ili kubaki Kama waziri bali upigaji wa kazi tu,
Sasa unakuta waziri anacheza na mdundo , mwisho unakuta miaka mitano imetimia kila kitu kagusagusa ,na hakuna kilichokamilika for 100%, akiamishwa wizara anaekuja nae anaanza kugusa gusa,
Wanatakiwa kupewa mpango kazi wa kila mwaka na ndo uwe kipimo Cha kuendelea Kama waziri vinginevyo ni kufukuzwa na kupewa burn ya kutokua waziri katika wizara nyingine,
Mfano unakuta Mradi flani upo chini wizara flani, haukamiliki ,pesa zimepelekwa na kutafunwa, au umetekelezwa chini ya kiwango, wizara ipo waziri yupo unajiuliza mpaka ubongo unafika mwisho wa kufikilia, au waziri anafanya hovyo kwenye wizara flani then anapelekwa Wizara flani, unajiuliza kweli hakuna watu wanaweza kuteuliwa Hata nje ya bunge na kujaza nafasi za mawaziri mizigo , NAFASI ZILE ZA RAIS si zipo? Na wenda zipo ili Rais azitumie ziba mapungufu ya namna hii, Sasa utashangaa