Antony Mtaka kiongozi Shupavu, Mzalendo na Mwenye Maono

Uzalendo wake ni upi? Kama anakwamishwa si aachie ngazi ili kulinda uzalendo wake? Hakuba kitu hapo, jamaaa nacheza na akili za vilaza kama wewe hapo, Hii bongo ukiweza kucheza na akili za vilaza basi umewini
Leta hoja Mzee Acha kubisha kama hauna kichwa.
 
Ukilaza unakusumbua
 
Dodoma majambazi wa Aridhi Jiji ndiyo wamemfitini akaondolewa
Maana watumishi was Jiji wamedhulumu wananchi ardhi mpaka zenye miliki zilizo pimwa kisheria na hati Nkuhungu broad acre
Natamani apewe Tu Hata TAMISEMI patawaka moto
 
Dodoma majambazi wa Aridhi Jiji ndiyo wamemfitini akaondolewa
Maana watumishi was Jiji wamedhulumu wananchi ardhi mpaka zenye miliki zilizo pimwa kisheria na hati Nkuhungu broad acre
Njoo na data ,wafikili Dodoma wahifaham peke yako, mafisadi wamejimilokisha aridhi wamsingizia Mtaka, na WENDA kaondolewa na hujuma za mafisadi Ili yasiumbuliwe, mijitu inamiloki maheka ya kufa mtu,unamsema Mtaka, huna akili
 
Mbona mfumo wa huyo magufuli Kama ulikuwa sawa kwa nn haukumuweka nafasi za juu.magufuli alimuweka huko shimiyu mama kamleta dodoma ukiona hivyo Ana matatizo yake
 
ACHA CHUKI BINAFSI WEWE NDIO UNAONEKANA MROPOKAJI SASA KIGWANGALA ANAINGIAJE KWENYE UTENDAJI WA MTAKA?ACHA ROHO YA HUSUDA MZEE ASILIMIA ZOTE KWENYE COMMENT WAMESIFIA UTENDAJI WAKE BORA UNGEKAA KIMYA TU MKUU
 
Anawavua nguo wanaona aibu kwani viuno vรฝao vimejaa hirizi za aibu
 
Thanks mkuu Kwa kuliona hili mapema
 
Mtaka anastahili pongezi.
Viongozi wengi wa siku hizi wana tabia ya kujikomba kwa kujitoa ufahamu, jambo ambalo yeye hana.
Wengine huweka akili za kawaida pembeni ili kujipendekeza kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ