Antony Mtaka kiongozi Shupavu, Mzalendo na Mwenye Maono

Huyu mwendazake aliamini katika watu kama Msiba , Makonda, Sabaya sio wale watu makini
Magufuli ndio alimpandisha na kumteua mkuu wa mkoa kutoka mkuu wa wilaya. Na kumbuka mtaka alikataliwa kwenye vetting ya ukuu wa mkoa, Ila Magufuli akasema anamuamini anaenda nae.

Hivyo kufika hapo ni nguvu ya Magufuli.

Hata hivyo mimi sioni jipya kwa huyu mtaka zaidi anachonikera ni kulipa watu kumsifia mtandaoni. Ni mlipaji mzuri sana wa yule kijana wa chadema wanayemsifia anajua kuandika kule Insta
 
WeweNjoo na data ,wafikili Dodoma wahifaham peke yako, mafisadi wamejimilokisha aridhi wamsingizia Mtaka, na WENDA kaondolewa na hujuma za mafisadi Ili yasiumbuliwe, mijitu inamiloki maheka ya kufa mtu,unamsema Mtaka, huna akili
WeweNjoo lofa umeelewa nilicho andika au imedandia treni kwa mbele
 
Ndio maana anatajwa sana kwenye Mbio za Urais 2025 rejea maelezo ya RC CHALAMILA
 
Hakika mkuu mtaka alikuja Mtera kutatua tatizo la mradi wa Maji ambalo msingi wa tatizo hilo ni wizi na aliahidi kuja baada ya miezi 3 kabla hajaja kahamishiwa mkoa mwingine. Wa njombe tunafahamu ni hujuma tu.
Hata hayati Magufuli alisema hujuma ni kubwa kuhusu kufunguliwa maji ili umeme ukosekane!!
 
Naona ndani ya CCM kamati za Fitina na majungu ndani ya CCM tayari zimeanza kazi kumlenga Mtaka kujiita kumsifia au kuponda lakini lengo kubwa ni Kampaka matope apige chini kuwa ana ambitions za uraisi !

In short kila mkuu wa mkoa afanye kazi aliyopewa kwenye mkoa wake au uteuzi
Albert Chalamila shut up fanya kazi yako ya ukuu wa mkoa wa Kagera funga domo lako kuparamia wengine

Hupimwi kwa kupanua domo
Utendaji unapimwa kwa kazi aliyopewa kwa matokeo ya kazi kwenye cheo chako
 
Lukuvi, Majaliwa, Luhanga Mpina, Stergoma Tax, Mwinyi,
 
Mnatuchosha na nyie na upuuzi wenu wa Mtaka kila siku..

Tunataka tuone Vitendo sio mdomo mdomo.
Watu wameshapiga hela kuanzisha nyuzi.
Siasa za kishamba sana walifanyaga chadema miaka flani kuwa wanalipa vijana wenye upeo wa punga zeze ili waje waanzishe nyuzi za sifa.

Mtaka is useless. Kama alishindwa akiwa dodoma katupwa njombe sasa mnamtafutia uhamisho kwa nguvu...akomae hukohuko apambane na akina Rose Mayemba wa BAWACHA
 
Unaongea wewe Kama nani, mbona asilimia kubwa ya mawaziri level zao ni za ukurugenzi achana na u DC, watu wanapewa vyeo KWa thanks ,mnakuja na maneno gani hapa,
Naongea kama Cannibal OX kutoka Suguti
 
Tutamkosa wana njombe, acheni kumsifia kuliko mno.
 
Semeni aliyotenda mpaka mkanwaga misifa
 
Ikimpendeza Mr born Town, naomba tuletewe Anthony Mtaka awe RC wa Dar.
 
Unaongea wewe Kama nani, mbona asilimia kubwa ya mawaziri level zao ni za ukurugenzi achana na u DC, watu wanapewa vyeo KWa thanks ,mnakuja na maneno gani hapa,
Kwa hiyo unamaanisha ktk Viongozi woote ni yeye peke yake hajapewa kama shukran? Kujipendekeza au kushawishi au kuomba au undugu?

Tulia Tu, kama umetumwa au ni chawa wake kamwambia yote usichague mazuri tu na mabaya unayaruka kama kinyesi, utakuwa CHAWA MNAFIKI.
 
Kwa hiyo unamaanisha peke yake hajapewa kama shukran? Kujipendekeza au kushawishi au kuomba au undugu?

Tulia Tu, kama umetumwa au ni chawa wake kamwambia vyote usichague mazuri utakuwa CHAWA MNAFIKI.
Nakupa pole Sana Mimi ni mtu huru, na mwenye fikra huru siwezi KUWA mtumwa wa mtu au chawa wa mtu, ukitenda mazuri utaungwa mkono tu
 
Nakupa pole Sana Mimi ni mtu huru, na mwenye fikra huru siwezi KUWA mtumwa wa mtu au chawa wa mtu, ukitenda mazuri utaungwa mkono tu
Asante, ila uwe unakumbuka MTAKA ni Kiongozi wa kawaida mnoooo, usidanganywe na MEDIA.
 
Mimi binafsi nilisikitika sana Mtaka kupelekwa Dodoma na nilifurahi sana alivyotolewa dodoma kwa sababu dodoma na dar es salaam, wakuu wa mikoa ni protocol officers tu, kazi yao kubwa ni kuwapokea viongozi. Kwa dodoma kila rais, waziri mkuu au makamu wa rais akitua pale airport lazima mkuu wa mkoa awepo kumpokea.

Kwa mkuu wa mkoa mtendaji mzuri kama Mtaka kuweka Dodoma, it was a slap on his face, ukizingatia wakazi wa dodoma ni wavivu tu na hali ya hewa ni mbaya inafanya mtu uwe na akili za kizembezembe tu.
Hata yeye ukimuuliza nina uhakika atakiri hivyo.
 
Ni sawa lakini ukiwa na Wakubwa karibu haichukui muda kujua tabia zako za hovyo, huko machakani mpaka wajue atakuwa ameshawaagiza CHAWA wake wamsafishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…