4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sio kweli, ni kati ya viongozi wanaotumia akili kubwa , uyu bwana anauwezo wa kufuatilia Jambo limeanzishwa mikononi mwake mpaka kuona matokeo yake, hii ni sifa wanayo viongozi wachache na ndo maana taifa limelala,Asante, ila uwe unakumbuka MTAKA ni Kiongozi wa kawaida sana usidanganywe na MEDIA.
lakini kwa rank aliyejuu ya RC ni PM, Makamu wa rais, Spika wa bunge, Jaji mkuu na Rais mwenyewe. RC yuko rank sawa na waziri. waziri hawezi kuwadabisha rcNi sawa lakini ukiwa na Wakubwa karibu haichukui muda kujua tabia zako za hovyo, huko machakani mpaka wajue atakuwa ameshawaagiza CHAWA wake wamsafishe.
Naongelea Wakubwa Waliomteua, wanaoweza kumhamisha au hata kumtengua. Haukunielewa sbb sikuongelea eti cheo cha RC kinalingana na cheo cha viongozi gani serikalinilakini kwa rank aliyejuu ya RC ni PM, Makamu wa rais, Spika wa bunge, Jaji mkuu na Rais mwenyewe. RC yuko rank sawa na waziri. waziri hawezi kuwadabisha rc
Acha uzwazwa, kwahiyo wewe hutumii akili? Mbona unalazimisha visivyolazimishika??Sio kweli, ni kati ya viongozi wanaotumia akili kubwa , uyu bwana anauwezo wa kufuatilia Jambo limeanzishwa mikononi mwake mpaka kuona matokeo yake, hii ni sifa wanayo viongozi wachache na ndo maana taifa limelala,
Uyu apewe TAMISEMI Mtashangaa,
Wewe wenda ndo kiongozi wa mazwazwa, na wenda ni mfano wa wale wasitumia akili, kwamba katika post unaokota kipande ka kutotumia akili, Jibu post yote kulingana na nini kimegusiwaAcha uzwazwa, kwahiyo wewe hutumii akili? Mbona unalazimisha visivyolazimishika??
Ulichoeleza ktk post yako kwa kifupi ni Kumsifia Mtaka kuwa ni Kiongozi mzuri, sasa mimi nakwambia Mtaka ni Kiongozi wa kawaida mnoooo kuliko ulivyoleweshwa na Media,Jibu post yote kulingana na nini kimegusiwa
Na je unalizungumziaje baraza la mawaziri wote wako vizuri,? Mtaka apewe nafasi kwenye baraza then ndo tumuhukum ,Ulichoeleza ktk post yako kwa kifupi ni Kumsifia Mtaka kuwa ni Kiongozi mzuri, sasa mimi nakwambia Mtaka ni Kiongozi wa kawaida mnoooo kuliko ulivyoleweshwa na Media,
sasa naona hautaki mimi nitoe maoni yangu huru? Mbona unatokwa na mapovu sanaa? Umesahau nimekwambia naongea mimi kama Cannibal OX kutoka Suguti.....
Tuseme nini na video tumekuwekea?.Semeni aliyotenda mpaka mkanwaga misifa
wakubwa waliomteua ni hao watatu- rais, PM na Makamu wa rais, ndiyo vyeo vya juu ya mkuu wa mkoa. Au unadhani waziri ni mkubwa kuliko mkuu wa mkoa? waziri ni rank sawa na rc ni vile waziri ni political position tu anaruhusiwa kuzurura nchi nzima.Naongelea Wakubwa Waliomteua, wanaoweza kumhamisha au hata kumtengua. Haukunielewa sbb sikuongelea eti cheo cha RC kinalingana na cheo cha viongozi gani serikalini
Acha uongo. RC ana eneo dogo sana la kuamua, waziri ni Nchi nzima.wakubwa waliomteua ni hao watatu- rais, PM na Makamu wa rais, ndiyo vyeo vya juu ya mkuu wa mkoa. Au unadhani waziri ni mkubwa kuliko mkuu wa mkoa? waziri ni rank sawa na rc ni vile waziri ni political position tu anaruhusiwa kuzurura nchi nzima.
Ndiyo sababu chini ya RC kuna RAS ambaye kwa rank ni sawa na Katibu Mkuu wa wizara.
Soma katiba na miongozi ya uongozi serikalini ujiongezee ufahamu