dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
what do you mean by WIFE MATERIALYes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
Huu uzi uambatane na kapicha meku,hebu fanya mpango jombaaKusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana .
Nasema bint maana mara nyingi namsikia akijitangaza kwa baadhi ya washiriki wanaoingia kwenye droo ya kubahatisha ushindi wa kupokea hela kuwa hajaolewa.
Lakini kwa mtizamo kwa kweli anafaa sana kuwa mke ila kinachonishangaza ni lile hipsi lake hivi ni la kweli au anajaladia maana ukimtizama kiuno kipo, kifua kipo guu lipo rangi ipo ila mbona lile hipsi lake haliendani na ile miguu?
Ukiangalia ule upaja unaona kabisa kama kuna wimbi la uvimbe kabisa ..
Nimewasilisa.
Vitu kama hivi sijui vinahitaji mtu uwe na ngekewa ili uweze kuvimiliki? Yaan kama ni ugimbi wengine tunaishia kwenye Balimi na Eagle tu lakini ladha ya Windhoek sijui Heineken hatuzijui asilaniYes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
Vitu kama hivi sijui vinahitaji mtu uwe na ngekewa ili uweze kuvimiliki? Yaan kama ni ugimbi wengine tunaishia kwenye Balimi na Eagle tu lakini ladha ya Windhoek sijui Heineken hatuzijui asilaniYes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
Tatizo moja tu, kabila moja na Mange Kimambi...
This is the kind of woman every nigga dreams of. Mtoto anawaka na black melanin ile kiafrika sana. Kitu so RAW yani huitaji kuangalia mara mbili kuvutiwa nacho. Mtoto mkali aisee, sema kuwapata wanawake wa hivi ni ishu sana hapa mjini, kila mmoja kajitwika mikucha mirefu na ma makeup tope minywele ya rangi hadi waoaji tunakosa vyombo sasa!Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.
Hivi huyu dada ni mtu wa wapi ??This is the kind of woman every nigga dreams of. Mtoto anawaka na black melanin ile kiafrika sana. Kitu so RAW yani huitaji kuangalia mara mbili kuvutiwa nacho. Mtoto mkali aisee, sema kuwapata wanawake wa hivi ni ishu sana hapa mjini, kila mmoja kajitwika mikucha mirefu na ma makeup tope minywele ya rangi hadi waoaji tunakosa vyombo sasa!
Wanawake wetu wa Tz tunawapenda ila jitahidini muwe natural kama hivi. Hiki kinatupa faraja sana waoaji tulio na nia!
Anajikubali huyo..lazima ziwe zimo tena zile za maisha!
Sijacomment kutokana na picha tu hiyo moja by the way, hata kwenye hiyo picha ni natural kuliko wadada wengi wa mjini