Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.

49701221_133934314220967_5231781526692410312_n.jpg

make up iyo, amna kitu apo
 
Kusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana .

Nasema bint maana mara nyingi namsikia akijitangaza kwa baadhi ya washiriki wanaoingia kwenye droo ya kubahatisha ushindi wa kupokea hela kuwa hajaolewa.

Lakini kwa mtizamo kwa kweli anafaa sana kuwa mke ila kinachonishangaza ni lile hipsi lake hivi ni la kweli au anajaladia maana ukimtizama kiuno kipo, kifua kipo guu lipo rangi ipo ila mbona lile hipsi lake haliendani na ile miguu?

Ukiangalia ule upaja unaona kabisa kama kuna wimbi la uvimbe kabisa ..

Nimewasilisa.
Huu uzi uambatane na kapicha meku,hebu fanya mpango jombaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes she is very beautiful, smart, intelligent, charming, friendly and a WIFE MATERIAL.

49701221_133934314220967_5231781526692410312_n.jpg
Vitu kama hivi sijui vinahitaji mtu uwe na ngekewa ili uweze kuvimiliki? Yaan kama ni ugimbi wengine tunaishia kwenye Balimi na Eagle tu lakini ladha ya Windhoek sijui Heineken hatuzijui asilani

This is the kind of woman every nigga dreams of. Mtoto anawaka na black melanin ile kiafrika sana. Kitu so RAW yani huitaji kuangalia mara mbili kuvutiwa nacho. Mtoto mkali aisee, sema kuwapata wanawake wa hivi ni ishu sana hapa mjini, kila mmoja kajitwika mikucha mirefu na ma makeup tope minywele ya rangi hadi waoaji tunakosa vyombo sasa!

Wanawake wetu wa Tz tunawapenda ila jitahidini muwe natural kama hivi. Hiki kinatupa faraja sana waoaji tulio na nia!
 
Hivi huyu dada ni mtu wa wapi ??
 
"Nje ya box"

magu bwana umeona baadae matangazo kutoluka hewa watu wanapunguza stress

aya lakini
 
Back
Top Bottom