Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

Boss wa ofisi hiyo sio Diwani ?
Andika kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndo boss wa ofisi hiyo, anayesaini ni vema awe Katibu Mkuu pia au rank inayofanana na hiyo kiutawala

Katibu Mkuu Kiongozi,
S.L.P. 1102,
1 Barabara ya Julius Nyerere,
Chamwino,
DODOMA
 
Boss wa ofisi hiyo sio Diwani ?

Channel barua kwa Katibu Mkuu Kiongozi sijui kama nimeeleweka?

Iko hivi Chukulia Wizara zilivyo na Makatibu wakuu na Wakurugenzi, mwisho wa siku Mkurugenzi ana report kwa Katibu Mkuu.

Boss wa Diwani ndo huyo Katibu Mkuu Kiongozi, barua ikimfikia yeye ando atashusha huko kwa Diwani.

That’s all I know about protocol
 
Channel barua kwa Katibu Mkuu Kiongozi sijui kama nimeeleweka?
Hujaeleweka, Katibu mkuu kiongozi ni msimamizi mkuu wa utumishi wa umma lakini unaweza kuwasiliana na ofisi za ma DED, makatibu wakuu, TRA, NSSF n.k bila kupitia kwa Katibu Mkuu.

Halafu TISS ni sehemu ya civil service au security services?
 
Huyo ni nani? Kishoka?

Huyo ni mzee tu wa connection! Yaani hata ukitaka kuonana na Obama, dk sifuri tu anakuunganisha.

Jamaa ni Mtanzania mwenye asili ya Marekani.
 
Huyo ni mzee tu wa connection! Yaani hata ukitaka kuonana na Obama, dk sifuri tu anakuunganisha.

Jamaa ni Mtanzania mwenye asili ya Marekani.
Ofisi muhimu kama TISS haipaswi raia kuweza kuwasiliana nayo iwe hadi kwa connection, tena ya Mmarekani.
 
Hujaeleweka, Katibu mkuu kiongozi ni msimamizi mkuu wa utumishi wa umma lakini unaweza kuwasiliana na ofisi za ma DED, makatibu wakuu, TRA, NSSF n.k bila kupitia kwa Katibu Mkuu.

Halafu TISS ni sehemu ya civil service au security services?

Baki kujua unachojua mkuu.
Thank you
 
Kuna emails za ikulu. Tumia. Ukiingia website ya ikulu utaziona.
 
Kila nchi ina itikadi na imani yake juu ya taasisi zake za siri. Sio lazima tufanane na Marekani.
Uwezo wa Marekani wa kuzuia hujuma ni juu sana. Sio sayari hii.
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Upo Mkoa gani nikuelekeze
 
DGO, anzia hapo hapo Halmashauri uliyopo kuna ofisi ya Usalama wa Taifa, ama waweza mcheck mmoja wa kamati ya ulinzi na usalama hapo wilayani atakupatia ufumbuzi wa unachokihitaji.
 
Kuna emails za ikulu. Tumia. Ukiingia website ya ikulu utaziona.
adress ya ofisi ya raisi.png

kama hii
 
Back
Top Bottom