Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

DGO, anzia hapo hapo Halmashauri uliyopo kuna ofisi ya Usalama wa Taifa, ama waweza mcheck mmoja wa kamati ya ulinzi na usalama hapo wilayani atakupatia ufumbuzi wa unachokihitaji.
aah ok nimekupata vizuri Pyaar
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
uko mkoa gani kama uko dar nenda makumbusho pale getini uwape itafika
 
Kila wilaya kuna hizo ofisi za usalama wa taifa cha kufanya nenda ofisi za halmashauri ya wilaya au mkoa utaelekezwa uonane na afisa usalama au utaona ofisi zipo zipo tu ila hazina mabango yoyote ya ofisi hizo jua umefika

Hahahahahahhahhha
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Ukienda hakikisha unetoa taarifa kwa ndugu zako wajue umeenda kwa watu wasio julikana.
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Mbona watu wanahujumiwa na wao wapo nilikuwa sijui kama hizo ss zinasimama badala ya security services

Tanzania Intelligence and Security Service (TISS)​

Ajira zishakuwa ngumu haina budi hata mimi yakinishinda nawatumia tu hamna namna maisha ndio haya haya bhana tena nikiona sielewi kabisa na waandikia na bungeni kuomba ajira huko
 
Kama kweli wao ni TISS basi wamekusikia na watakutafuta...
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Halafu cha ajabu unaweza kukuta wengine wapo hapo-hapo ulipo, wanakuchora tuu !!!
 
Ajira zishakuwa ngumu haina budi hata mimi yakinishinda nawatumia tu hamna namna maisha ndio haya haya bhana tena nikiona sielewi kabisa na waandikia na bungeni kuomba ajira huko
Kwani huko ndio ajira za kumwaga au?
 
Back
Top Bottom