Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mleta uzi ndiye mwenye shida, muelekeze jinsi ya kuwapata badala ya kusuburia wamtafute.Kama kweli wao ni TISS basi wamekusikia na watakutafuta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi ndiye mwenye shida, muelekeze jinsi ya kuwapata badala ya kusuburia wamtafute.Kama kweli wao ni TISS basi wamekusikia na watakutafuta...
[emoji23][emoji23][emoji23]pale makazi ya VIP security unit sio ofisi zao aende oysterbay hukouko mkoa gani kama uko dar nenda makumbusho pale getini uwape itafika
Nahisi kwa mujibu wa mtoa madaKwani huko ndio ajira za kumwaga au?
Kwani mojwapo ya majukumu ya Idara ni kusikiliza watu wanaochomeana?Wewe utakuwa Mwalimu wa shule ya Msingi.
Mnapenda kuchomeana kweli!
Vipi unataka kuwasilisha dukuduku lako kuhusu kufungwa Jambazi sugu Sabaya?Afadhali umeuliza maana hata mimi nilitaka kuwatumia barua.