Andika kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndo boss wa ofisi hiyo, anayesaini ni vema awe Katibu Mkuu pia au rank inayofanana na hiyo kiutawala
Katibu Mkuu Kiongozi,
S.L.P. 1102,
1 Barabara ya Julius Nyerere,
Chamwino,
DODOMA
Boss wa ofisi hiyo sio Diwani ?
Ofisi zipo ila hilo la kujitolea sidhani kama wana utaratibu huo.
Ajira zenyewe wao ndio wakikutaka unaingia sio wewe kutaka[emoji23][emoji23]
Hujaeleweka, Katibu mkuu kiongozi ni msimamizi mkuu wa utumishi wa umma lakini unaweza kuwasiliana na ofisi za ma DED, makatibu wakuu, TRA, NSSF n.k bila kupitia kwa Katibu Mkuu.Channel barua kwa Katibu Mkuu Kiongozi sijui kama nimeeleweka?
Huyo ni nani? Kishoka?
Ofisi muhimu kama TISS haipaswi raia kuweza kuwasiliana nayo iwe hadi kwa connection, tena ya Mmarekani.Huyo ni mzee tu wa connection! Yaani hata ukitaka kuonana na Obama, dk sifuri tu anakuunganisha.
Jamaa ni Mtanzania mwenye asili ya Marekani.
Huyo jamaa namwelewa sana hashindwi kitu.Huyo ni mzee tu wa connection! Yaani hata ukitaka kuonana na Obama, dk sifuri tu anakuunganisha.
Jamaa ni Mtanzania mwenye asili ya Marekani.
Vijana wa chuo hawawezi kupeleka barua za Field huko?Ofisi zipo ila hilo la kujitolea sidhani kama wana utaratibu huo.
Ajira zenyewe wao ndio wakikutaka unaingia sio wewe kutaka[emoji23][emoji23]
Hujaeleweka, Katibu mkuu kiongozi ni msimamizi mkuu wa utumishi wa umma lakini unaweza kuwasiliana na ofisi za ma DED, makatibu wakuu, TRA, NSSF n.k bila kupitia kwa Katibu Mkuu.
Halafu TISS ni sehemu ya civil service au security services?
Upo Mkoa gani nikuelekezeNdugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
asante kwa taarifa hii Good FatherAndika kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndo boss wa ofisi hiyo, anayesaini ni vema awe Katibu Mkuu pia au rank inayofanana na hiyo kiutawala
Katibu Mkuu Kiongozi,
S.L.P. 1102,
1 Barabara ya Julius Nyerere,
Chamwino,
DODOMA
Kishoka wa TISS??😆😁Huyo ni nani? Kishoka?