Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 17, 2022 #61 KeyserSoze said: Kama kweli wao ni TISS basi wamekusikia na watakutafuta... Click to expand... Mleta uzi ndiye mwenye shida, muelekeze jinsi ya kuwapata badala ya kusuburia wamtafute.
KeyserSoze said: Kama kweli wao ni TISS basi wamekusikia na watakutafuta... Click to expand... Mleta uzi ndiye mwenye shida, muelekeze jinsi ya kuwapata badala ya kusuburia wamtafute.
lugonopanja98 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2020 Posts 270 Reaction score 158 Feb 17, 2022 #62 kifinga said: uko mkoa gani kama uko dar nenda makumbusho pale getini uwape itafika Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]pale makazi ya VIP security unit sio ofisi zao aende oysterbay huko
kifinga said: uko mkoa gani kama uko dar nenda makumbusho pale getini uwape itafika Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]pale makazi ya VIP security unit sio ofisi zao aende oysterbay huko
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,756 Reaction score 5,250 Feb 17, 2022 #63 binti kiziwi said: Kwani huko ndio ajira za kumwaga au? Click to expand... Nahisi kwa mujibu wa mtoa mada
binti kiziwi said: Kwani huko ndio ajira za kumwaga au? Click to expand... Nahisi kwa mujibu wa mtoa mada
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 17, 2022 #64 πππ πππVishoka Wapo Humu Humu
B Babu Ochu JF-Expert Member Joined May 30, 2021 Posts 844 Reaction score 1,469 Feb 17, 2022 #65 Muulize Cyprian Musiba wapi alikua snachukua masurufu ya kuchafua watu
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 17, 2022 #66 The MaskmaN said: Wewe utakuwa Mwalimu wa shule ya Msingi. Mnapenda kuchomeana kweli! Click to expand... Kwani mojwapo ya majukumu ya Idara ni kusikiliza watu wanaochomeana?
The MaskmaN said: Wewe utakuwa Mwalimu wa shule ya Msingi. Mnapenda kuchomeana kweli! Click to expand... Kwani mojwapo ya majukumu ya Idara ni kusikiliza watu wanaochomeana?
J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,512 Reaction score 7,912 Feb 17, 2022 #67 Stroke said: Afadhali umeuliza maana hata mimi nilitaka kuwatumia barua. Click to expand... Vipi unataka kuwasilisha dukuduku lako kuhusu kufungwa Jambazi sugu Sabaya?
Stroke said: Afadhali umeuliza maana hata mimi nilitaka kuwatumia barua. Click to expand... Vipi unataka kuwasilisha dukuduku lako kuhusu kufungwa Jambazi sugu Sabaya?
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,920 Reaction score 8,675 Feb 17, 2022 #68 Ajira za hawa jamaa nina wasiwasi wanawekana wenyewe sana... Kama huna connection sahau
Papaaa mukuubwaaa JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 1,534 Reaction score 1,511 Mar 11, 2023 #69 Tiss wengi ni weupe kichwani