ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Huna authority bwana mdogo akili finyu ya kuniambia kitu ambacho umekisoma,ebo be serious.
Hiyo anunnak and sumeria ancient civilisation watu wameshasoma sana hizo habari.
Hivi kwa akili zako ndogo wachungaji,maaskofu,mapadre,masheikh na watu dini mbalimbali kwa level zao za elimu hawana hizo habari za Anunnak na hawazielewi kabisa,ila umekuja wewe sijui umetokea wapi baada ya kusoma tu umeona umeelewa vyema,yaani uko deep basi unakuja na conclusion zako kuwa oooh tumepigwa oooo hakuna Mungu oòoh hakuna hiki wala kile.

Nishaku challenge maswali kadhaa hapo juu na umeshindwa kujibu unakimbilia kuita watu hawana akili. Dogo hizo akili zako ziko wapi hizi za kusoma anunnak and ancient civilisation.
Nishakuuliza hao Anunnak kwa mujibu ulivýosoma,walipokuja duniani kutafuta dhahabu walikuta kuna viumbe wengine?

Ukiondoa binaadamu walikuta kuna viumbe gani?
Ukajikanyaga tu oooh walikuta kuna primitive homo sapiens sijui wakaanza kuwafanyia modification,sijui wakafanya human cloning and human manipulation.
Nikakuuliza kuwa vipi kuhusu viumbe wengine kama wadudu wanyama na mimea?
Baadae ukadai ooh walitengeneza vyote hivyo.
Kuna mdau akakuuliza je hao Anunnak waliikuta dunia tupu,ni nani aliumba dunia ukakosa jibu.

Walikuja duniani kutoka sayari ya nibiru meaning that na wao ni viumbe,ila binaadamu walioumbwa nao wakawapa umungu tu ila wao sio miungu,isipokuwa baba yao ndio Mungu wa huko nibiru sikatai sawa kwa mujibu wa hizo ancient tablets.
Je huyo baba yao Ak alikuwa Mungu wa ngapi kwa kipindi hicho wanawe wanakuja hapa duniani.

(MUNGU ni cheo kwa mujibu wa sumerian tablet)
Kwa maana hiyo kuna wakati katika utawala wa huko nibiru kulikuwa na mtawala YHYW ambaye Israelites ina quote kama Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo.
Sasa tuambie wakati hawa anunnaki wanashuka hapa planet earth katika mission yao ya kutafuta dhahabu je,wakati huo ulikuwa utawala wa An na ulikuwa utawala wa ngapi na YHYW yeye utawala wake ulikuwa wa ngani kutoka huu wa An.
Ukaja na jazba oooh wewe huna elimu ya historical time chatline.
Nikakujibu elimu iyo ninayo na watu humu si wajinga hiyo elimu wanayopia.
Sasa ebu anza kuelezea kwa mantinki kwa kuendana na wakati hao anunnak walikujaje na lengo lao nini na watakuja tena lini?

Usikimbilie kusema oooh mkafanye research wenyewe,hapana wewe dadavua tu hapa si umeleta hii mada mwenyewe watu tunataka tuelewe mwisho wake una conclude na nini?
Hapo mwanzo umesema hii mada haihusiani na dini lakini wewe mwenyewe unajikuta unataja watu wa dini,so tukubaliane kuwa hii mada haiwezi kutengana na wafia dini hata ufanyeje,kwa sababu ukishaongelea uumbaji umeongelea imani za dini pia.
Na ndio maana kuna sehemu nilikuambia hili swala zima la anunnaki majibu yake yako kwenye bible(mwanzo6)kama sikosei kuhusu wanefili.

Kwa taarifa yako na najua unajua hawa nefili jamaa zako Anunnak ni fallen angels tu,ni kazi ya shetani tu hiyo hakuna kingine bado hujui mengi kwenye ulimwengu wa roho dogo.
Nakusisitiza kajifunze tena usimeze mambo uwe unaelewa.


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hawa madogo wamepagawa na hizo opium za Anunnak,majibu yako kwenye bible Anunnak ni fallen Angels.



Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Acha kujitia ukubwa Kwa kuniita dogo hapa jamvini Arif,hapa kipimo Cha ukubwa ni ukomavu wa Akili Huko umri ikiwa Namba tu,

Respect ni kitu Cha mhimu Sana Katika Maisha,jifunze kuheshimu Watu
Kingine kama unaona Mimi nimekariri Hii Elimu hapa ushauri wangu na wewe itafute Tena usiishie kukariri kama Mimi Bali uielewe pia ndio uje hapa ubishane na Mimi,
Tatizo lako unajitia ukubwa Huko ukiwa mjinga kama ungekua mwerevu madai ya yangu yangepingwa Kwa fact sio mipasho kama ufanyavyo na ungeenda mbali Kwa kukanusha source na vyanzo nilivyoweka hapa kuhusu Accient civilization ungefanya la maana ila
Sababu unaonesha utoto nakupuuzia!
 
Bado mtoto Kwenye maswala Haya ushauri wangu acha kubweka hapa nenda site kapate hii Elimu nayoimwaga hapa,narudia Tena wewe Bado kindergarten yaani Kwenye maswala ya Imani na nadharia za Mungu/Miungu Bado upo chekechea believe me,
Yaani kama Mpaka Leo unachukulia swala la Mungu ni Imani pole Sana,trust me hujui kitu kumhusu huyo Mungu unayedai maswala yake ni Imani wakati wenye Akili timamu wanajua hilo jina ni cheo tu hata Mfalme Zumaridi anacho!
 
Hawa madogo wamepagawa na hizo opium za Anunnak,majibu yako kwenye bible Anunnak ni fallen Angels.



Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
hahahahahah Vituko kama hivi utavikuta Facebook Sasa ulichokua unabisha Nini kama Biblia imesema Annunak ni fallen angel kumbe ulikua unajua kuwahusu ila unaleta ujuaji na ubishi wa kijuha tu hapa Haya
Haya Tupe na Elimu broo hao fallen angel ndio kina nani?
na Walishuka wapi?
Kwa malengo yapi?
Na Leo wapo wapi?

Mwaga maelimu hapa kuwahusu hao Fallen angel ambao umedai Biblia imewataja
Tunasubiri!
 
Wewe dogo tu kiumri ni dogo ni kiakili ni mdogo tu sana kama nukta,wewe umekariri nimekupa maswali na umeshindwa kujibu nishakuambia na uelewe huns authority ya kunielewesha unayo chance ya kutupa habari tu.

Kuelewa watu tunaelewa ndio maana tunakuuliza maswali unaleta majibu ya bangi mbichi.
Nakushauri nenda kasome tena this time uelewe na uje na majibu ya maswali yetu,usijitie ujinga wa kupuuzia maswali haya yote umeyasoma na wala hukuyavumbua usijitie unazo akili za kubandika habari kwenye ubongo wako na ukashindwa kuzidadavua.
Nenda kasome tena ujibu hayo maswali au laa unaleta porojo tu hapa

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mdogo kwenye kila nyanja nina uhakika unachojua ni kusoma tu na ukipigwa maswali unapaniki.

Wehu huwa una kawaida ya kuanza hivi hivi ya kuona wanaokuzunguka ni wehu,kumbe wewe ndio mwehu mwenyewe,unataka heshima jibu maswali sio unaleta mada na conclusion zako za ajabu.

Jibu maswali hapo juu,planet earth hao Anunnak walipokuja ni nani aliyeitengeneza,walivyovikuta ni nani aliyevitengeneza jibu hatua kwa hatu with historical time chat with evidence. Hizo sumeria plates walizoandika pia ni binaadamu tu kama wewe,unathibitisha vipi hizo ni habari za kweli.

Haya ndio ni habari za kweli unathibitisha vipi kuwa wao ndio walikuja kutengeneza binaadamu. Acha utoto acha ujinga jibu maswali maswali ni mengi sana usikwepe hata moja na yatakuja mengi sana.

By the way ukitaka heshimu toa kwanza heshima utaipata heshima,ukiita watu wajinga na wao watakuona mjinga tu.
Aya endelea kutudanganya

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kabla hujapinga kitu jaribu kutafuta maana yake kabla hujapinga.
Nini maana ya Imani?
Nini maana ya Mungu?
Kuna mawasiliano gani kati ya Mungu na kiumbe wake,njia ni ipi?
Perception ya kiumbe kujua mambo yasiyobayana ni nini?
Ebu tupe jibu wewe kijana mwenye kuijua teolojia ya dini ya Abraham.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
mkuu Annunaki waliumbwa na nani?
 
mkuu Annunaki waliumbwa na nani?
Hilo swala ni gumu kukujibu Kwa sababu wao walitaja tu Sayari waliyotokea ambayo ni Intelligent Planet Nibiru na ndio mwandiko ya sumerian yanadai,
Ila kuhusu modern human yaani Homo sapiens alitengenezwa na wao hivyo kutokana na nadharia za uumbaji binadamu ndie aliumbwa na Annunak ila wao haijulikani!
 
IMANI- swala la kuamini nadharia Fulani ambayo inashindwa thibitishwa Katika mazingira halisia,Imani pia ni kama hisia juu ya swala Fulani ambalo huna uhakika nalo,

MUNGU - ni cheo Cha mtawala mkuu wa 12th Planet Nibiru (Heaven)
Ambapo Katika accient SUMERIAN tablets Ina maana ya
(Master of high chamber)

Katika Sumeria neno MUNGU Ndipo lilipoanzia wakimtaja
ANU mtawala mkuu wa ANUNNAKI Huko
(Nephilim 12th Planet Nibiru)

Vipi Bado hujaelewa?
 
Hebu leta Yako yenye uhalisia na Mifumo iliyopo itapendeza tujifunze hapa hapa!
Relax. Gospel yangu ni kuhoji kila kitu. Siwezi kusambaza uongo ili mradi nijionyeshe najua mambo. Cha kujifunza elimu na maarifa vina tabia ya kukua sambamba na mstari wa muda. Sio regressive. Hizo hadithi ni za kale unategemeaje kuwe na jambo jipya na la maana kwa nyakati hizi? Eti nilete yangu. Nkt.
 
Hii sidhani kuwa ni sahihi, unachokiita dhana ya Mungu kilikuwepo kwenye jamii nyingi tu za binadamu. Hakikuanzia mahali fulani...
Mwanadamu wengi kwa maeneo tofauti walihisi na kuamini kuwa kuna Mungu/miungu sio hapo tu ulipopataja
 
Hao hayawani aliwaumba/create nani ama nini asili yake?
 
kama Huna Kaa Kwa kutulia Kuna Wengine hata hayo ya kale hawayajui ndio wanapata darasa hapa,wewe kama ulikua unayajua umefuata Nini hapa?
Onesha okomavu wa Akili mtu smart hafanyi ujuaji unaoleta hapa tupo kupeana elimu na sio lazima ukuguse wewe tu,

Wenye kiu ya mambo kama Haya wapo na wanaomba tushare hapa jamvini wewe ni nani unipangie. Acha wivu pia kama na wewe unacho Cha kupotosha kama nifanyavyo Mimi kama unavyodai kilete hapa tukichambue!
 
Hii sidhani kuwa ni sahihi, unachokiita dhana ya Mungu kilikuwepo kwenye jamii nyingi tu za binadamu. Hakikuanzia mahali fulani...
Mwanadamu wengi kwa maeneo tofauti walihisi na kuamini kuwa kuna Mungu/miungu sio hapo tu ulipopataja
unachotakiwa ulete ushahidi ni wapi pengine Katika historia ya mwanadamu nadharia ya Mungu/Miungu ilianzia tofauti na Mesopotamia?

Mathalani maandiko yote ya Abrahamic Religion na Dini nyingine nadharia zao zimeanzia Huko yaani Mesopotamia na Indus Valley Katika historia ya mwanzo wa Uwepo wa mwanadamu Huko ndiko Kwenye rekodi za kale zaidi kuhusu nadharia hizo haya naomba na wewe niambie Huko Kwenye Jamii nyingine ni wapi?
 
Nakuja na naelewa vizuri sana

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kua na heshima bas, kama elimu ya bibilia ime kutosha hii tuachie tujifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…