ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Yaani
Ni bora ulipoanzisha uzi ungeuacha ujitegemee...lkn inaonekana unaupugania jama watu ambao wanaamini kwamba kitabu chao kilishushwa moja kwa moja toka juu sana!

Mara ya kwanza nilikuwa nakuona una hoja ya maana kumbe na wewe hiyo ni imani yako.
 
Pole mzee.
Pamoja mkuu pia huu ni mjadala tu Watu wasiwe na hisia Kali na jazba Humu Ili kuchangamsha mjadala kuna Muda nawapagawisha kidogo na majibu ya hapa na pale na vijembe kidogo,utaona mtu anapanic akijua kadharauliwa kumbe ni swala tu la kupunguza wenge na kurelax,
Huu Uzi mwenyewe nauendesha taratibu ila Kuna Watu wanataka majibu ya shortcut Ili kukidhi haja Zao wakati niliandika mwanzo wa thread utakua nawendelezo Mpaka kieleweke!
 
Unaota wewe Mimi niwe Myahudi na Mgalatia mweusi au Mvaa kobazi na kanzu Toka Arabuni?
Acha masikhara basi hapa natoa SoMo tu ila Siamini Katika nadharia za Mungu Wala Dini yoyote kama ulikua hunijui Mimi ndie
Dumas the terrible wanaonijua Humu jamvini wanajua wapi nasimamia hivyo wapo makini Sana kuchambua thread taratibu bila kelele Huko wakipata popcorn wakiangalia mpambano!.
😁😁😁🔥🔥
 
Annunaki baada ya kuwaumba binaadamu walianza kuwasimulia yale waliyoyafanya kabla ya wao kuwaumba hao watu zile process walizopitia ?

Au walipowaumba watu hawa annunaki waliendelea kuwatumia kwemye harakati zao bila hawa watu kuelewa ilikuwaje mpaka wakatokea duniani ?
 
Kuna maswali hapa machache tunapaswa kuyajibu kabla hatujarushiana maneno ndugu zangu

1: Ni nani aliwaumba hao Annunak?
2: Ni nani aliiumba hii Dunia, Sayari tunazozijua, pamoja na jua
3: Ni nani aliewaumba hao wanyama mwitu ambao kwa maelezo ya mtoa maada walikuja kufanyiwa modification na hao Annunak?
4: Kama hao Annunak kwenye sayari yao ya Nibiru hakuna dhahabu ni nani alieziumba hizo dhahabu akaweka ktk sayari ya Dunia Dhahabu halafu hakuweka dhahabu ktk Sayari ya Nibiru!

Naamini tukipata majibu ya haya maswali, ndipo tutapata mwanga ni nani chanzo cha uhai hapa Duniani (Kabla ya kuwepo binadam) na huko Nibiru. Na pia tutaelewa kama iwapo kuna kitu kingine chenye nguvu zaid ya hao viumbe Annunak (iwapo tu na wao waliumbwa) ambacho kiliumba sayari zote, wanyama wa mwitu, dhahabu na vingine vyote ambavyo Annunak walivikuta hapa ktk sayari yetu

Majibu Tafadhali..........
 
Kama unawaza mpambano na umaarufu hilo ni tatizo lako.
Ndio maana nikasema kusimamia unachokiamini ukikiingiza kwenye mapambano ya ubishi kama wako kinapoteza ladha kabisa! Unakuwa huna tofauti na wanaojilipua kupigania wanacho kiamini.
 
Huko unakokuita Mesopotamia kwenuewe unakukua lkn?
Unajua wanaabudu dini gani?
 
Mwanzo binadamu hakupewa maarifa Juu ya lengo lake,alikua akitumika kuchimba Dhahabu akidhani ni kazi ya kawaida tu huku akiendelea na Maisha ya kawaida, walifanya biashara,ufugaji,kilimo,burudani mbali mbali na kuzaliana pia, Walijenga vijiji na miji mikubwa iliyokua na facilities zote.

Mathalani umewahi sikia ngano za uzuri wa miji ya Babylon,Eridu,Nippur, Nineveh nk ilikua ni Miji mikubwa Sana Katika accient world iliyokua na Kila kitu kama mabustani ya kumwagilia na mapumziko,majumba ya michezo mbalimbali,club za Pombe na majumba ya ngono na kamari hayo yote yametajwa kama vitu vya kawaida katika Dunia ya kale na Annunaki waliishi miongoni mwa binadamu kawaida tu huko wakijulikana kama gods/Lord's
Mfano wa viongozi hao ni Enki na Enlil pia walikua na ndugu Zao Moja kati ya bint wa annaki aliitwa Inana/Ishtar huyu Ndie aliyewafundisha wanawake style za kungonoka alikua ni Moja ya bint za ANU aliyependa starehe Sana Mpaka akajengewa Moja ya bustani nzuri ya Babylon zinazotiririsha

Maji Kwa Hali ya kustaajabisha kama sehemu ya ufahari na kuvinjari tu Kwa Malkia Huyo wa Mbinguni. Mpka Leo Hilo jengo limekua ni Moja ya maajabu ya Dunia ya kale,

Kwanini Annunaki ENKI na ENLIL waliokua viongozi wa mission duniani waliwaficha wanadamu waliowaumba juu ya ukweli huo huko wakiwaambia Mungu mkuu wa Mbinguni Ndie aliyewaumba?

Mosi ni kutaka binadamu asijue Asili yake maana Mwanzoni wakati ANNUNAK wanashuka duniani Kwa mara ya kwanza na kuanzisha migodi Yao ya Dhahabu,waliwatumia Igigi Aliens Moja ya jamii za Annunaki Kwenye machimbo Yao,kutokana na brutality za kina ENLIL ambao walikua viongozi wao walikuja goma kufanyishwa kazi na ikazaliwa vita kubwa sana ambayo katika maandiko ya kale ya Sumerian ndio vita ya kwanza Duniani iliyopata piganwa na ilileta madhara Sana na kuathili mission Yao,maana inahusishwa na nuclear weapons ENLIL akiwa kama master of mission aliendesha mission Kali ya kuwapoteza Igigi katika uso wa Dunia,
Inatajwa Enlil alitumia Nyundo kubwa yenye nguvu maradufu kuwasambalatisha adui zake
ANUNNAK ambao ni advanced katika science and technology walitumia siraha Bora Sana kupoteza maadui Ili waje na mpango mpya ambao utawawezesha kuendeleza mission Yao Ndipo Enki akaja na Wazo la kumfanya binadamu akitumia sample ya kiumbe aitwaye Enkidu ambaye alikua ni moja ya primitive ENKI alifanikiwa kumfundisha kiumbe yule ujuzi na maarifa huko alikifanyiwa majaribio na kuongezwa vinasaba Kwa kutumia Cloning technology

Pia kupitia kiumbe yule Enki akamtengeneza kiumbe Mwingine kama yule akitumia maabara za Kisasa na sayansi ya Hali juu Kwa kufanya majaribio mengi Sana mpaka akakamilika lengo ni kumpata kiumbe mwenye ujuzi na Kasi kubwa katika ufanyaji kazi migodini na mwishowe lengo linatimia Adamu wa kwanza anaumbwa na katika majaribio anawekwa katika bustani ya Eden iliyokua pembezoni mwa mji wa Eridu ambao ENKI anaishi,bustani hiyo iliyokua katikati ya mto Euphrates na Tigris ilitumika na Annunaki kama maabara na sehemu ya majaribio ya mbegu za Kisasa za mimea na wanyama Ili kukidhi haja ya chakula pindi binadamu atakapoishi na kufanya kazi katika machimbo ya dhahabu
(Bustani Eden/Aden ilikua sehemu ya kwanza binadamu kupata chakula,ambapo Miungu ilimtengenezea Mwanadamu pindi atakapoanza survive)

Sasa basi Annunaki baada ya kumaliza mission Yao na kuamua kuondoka duniani waliamua kuteua kizazi Cha Adamu na kuwapa siri ya mission Yao,kumbuka Annunaki walifanya genre ya Homo sapiens wa kwanza mosi ni Ile ya kumgeuza Enkidu/Primitive na nyingine ni Ile ya Adamu/ copy ya genre ya Primitive iliyofanywa maabara

Annunaki waliona yule waliyemfanya maabara Ni bora hivyo walimpa access ya kutunza Siri na ndio Loyal bloodline of Adam ambao kizazi Chao kimetembea Kwa Enoch, Noah, Abraham, Isack, jackobo na hatimaye Israelites hao ndio maana Toka kale walijitanabaisha ni Wana wa Mungu na ni choosen one,wao hujiona Bora kuliko watu Wengine Toka kale na mara nyingi wamejikuta wakikngia matatani Kwa baadhi ya jamii zile nyingine ambazo hawakupewa Siri na Miungu hao waliowapa Amri na sheria za kuiendesha Dunia Mpaka majira na nyakati zitakazowafaa na wakaahidi watakuja Rudi na kuifanya Dunia iwe paradise au Heaven N' Earth

Hizo ndio Siri zilifanya wahuni wachache wanaojua secret behind kuanzishia dini Kwa maslahi Yao. Binafsi ila tukiusema ukweli mchungu Kuna vibaraka wao ambao hafahamu ukweli wanakuja na mapovu kupinga hapa na nishajionea, Msidhani hii Dunia ipo kama mnavyoiona everything is secreto for the befit of few people kama huamini kawabane wale viongozi wenu wa Dini wanaoendaga semina huko Vatikano na Madina hakika hutajuta kusoma bandiko langu!
 
Huko unakokuita Mesopotamia kwenuewe unakukua lkn?
Unajua wanaabudu dini gani?
kwahiyo wewe mpaka Leo hujui location ya MESOPOTAMIA?
Unauliza kama nakujua ukiwa na lengo Gani?
Kukujua au kutokukujua itapunguza Nini katika Historia yake?
Think twice Broo!
 
kwahiyo wewe mpaka Leo hujui location ya MESOPOTAMIA?
Unauliza kama nakujua ukiwa na lengo Gani?
Kukujua au kutokukujua itapunguza Nini katika Historia yake?
Think twice Broo!
Nimekuuliza wewe unakufamu huko Mesopotamia?
Unafahamu wengi huko wanaabudu dini gani?
 
Usiwe kama chuya, hizi habari za anunnaki, kama unazifahamu huna cha kushea na sisi?
 
Nimekuuliza wewe unakufamu huko Mesopotamia?
Unafahamu wengi huko wanaabudu dini gani?
Jamii zishabadilika huko zinaabudu modern Religion kama Islam na Christianity pia zipo dini nyingine nyingi tu Kwa majority wachache
Pia Mesopotamia Leo ndio maeneo ya modern Iraq na kuchukua eneo kubwa kufuata mito Euphrates na Tigris mpaka Indus valley pia milki zao zilitelemka mpaka pwani za Lebanon, Israel,misri mpaka kush
Kiufupi ndio middle east ya Leo!
 
Ulitakiwa uwe unaongea hivi sasa!
Mie nimeishamaliza![emoji122][emoji122]
 
Pamoja Sana, Kuna watu wanateseka wakiona kondoo Wana tolewa pingu
 

Jamaa naona umeuliza maswali ya msingi sana ambayo yangeweza kufunga haya majadiliano lkn naona wamekukaushia hawataki kuyajibu[emoji23][emoji23]
 
Jamaa naona umeuliza maswali ya msingi sana ambayo yangeweza kufunga haya majadiliano lkn naona wamekukaushia hawataki kuyajibu[emoji23][emoji23]
Watu wengi wamejifunga kwenye "nani", wakati kuna mpaka "nini".

Ukianza kuuliza swali la "nani", wakati hujaangalia "nini", ushajifungia kutojua upande mkubwa zaidi wa "nini", ambao unaunganisha "nani" na vingine vyote.
 
Pamoja Sana, Kuna watu wanateseka wakiona kondoo Wana tolewa pingu
hahahahahaha nimecheka Sana eti kondoo zinatolewa pingu,unajua Siku Watu wakiamka kiakili hasa huku Afrika na kuzipuuzia hizi Dini zilizoanzishwa kama taasisi za utawala,unyonyaji na Ubeberu ndipo utakua mwanzo wa binadamu aliyestaarabika asiyefuata mfumo wa matabaka na binadamu tukachukuliana kiusawa Kwa kuzingatia Sheria za pamoja ndipo Watu wataishi Kwa umoja na utulivu pasipo unafki Wala chuki angalia nchi kama japan ni nchi ambayo raia wake Hawana dini wanaishi Kwa kuzingatia ustaarabu Kuliko Watu wale wanaojisabu nchi Zao za kidini
Mifano mnayo!
 
Hakuna Kiumbe anayejua mwanzo wa galaxies,Sayari na maisha Katika ulimwengu zaidi ya nadharia tu mara hivi mara vile na hata watakaokupa majibu ya kwamba Kuna Kiumbe au nguvu iliyofanywa hivyo lazima wahoji chanzo Cha hiyo nguvu ni Nini,hivyo Watu wa Dini mnavyokuja na nadharia za Mungu lazima watueleze chanzo Cha huyo Mungu vile vile Watu wa Sayansi wakija na nadharia za
Big Bang lazima tujue vile vile chanzo chake,

Hivyo Hilo swala Lina contradiction nyingi Sana huwezi jibu maswali magumu Kwa majibu mepesi na ndio maana mtu timamu akiuluzwa chanzo Cha huu ulimwengu hawezi kukupa majibu sababu ukweli unajulikana hakuna Kiumbe yeyote anayejua hata hao ANNUNAKI hawakusema chanzo Chao zaidi tu ya kutaja mahali wanapotokea hivyo nadhani umepata jibu ya Swali lako!
 
Kuna vitu vingi katika dini, mi ntakubali wewe uidisi dini kama institution lakini kama uasili wake acha tuendelee nazo. Mashahidi wa Yehova wanaitafsiri dini kama --Jitihada za ainabinadamu kumtafuta Mungu. Hakuna ubaya katika mtu kumtafuta mungu [DINI]

Lakini hizi institution za kumfunga na kumtawala binadamu kwa kumfunga akili au kumjaza uongo ndio hazitakiwi. Again elimu/dini ni kitu mzuri ila matumizi mabaya ya hicho ndio kitu kibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…