Annunaki baada ya kuwaumba binaadamu walianza kuwasimulia yale waliyoyafanya kabla ya wao kuwaumba hao watu zile process walizopitia ?
Au walipowaumba watu hawa annunaki waliendelea kuwatumia kwemye harakati zao bila hawa watu kuelewa ilikuwaje mpaka wakatokea duniani ?
Mwanzo binadamu hakupewa maarifa Juu ya lengo lake,alikua akitumika kuchimba Dhahabu akidhani ni kazi ya kawaida tu huku akiendelea na Maisha ya kawaida, walifanya biashara,ufugaji,kilimo,burudani mbali mbali na kuzaliana pia, Walijenga vijiji na miji mikubwa iliyokua na facilities zote.
Mathalani umewahi sikia ngano za uzuri wa miji ya Babylon,Eridu,Nippur, Nineveh nk ilikua ni Miji mikubwa Sana Katika accient world iliyokua na Kila kitu kama mabustani ya kumwagilia na mapumziko,majumba ya michezo mbalimbali,club za Pombe na majumba ya ngono na kamari hayo yote yametajwa kama vitu vya kawaida katika Dunia ya kale na Annunaki waliishi miongoni mwa binadamu kawaida tu huko wakijulikana kama gods/Lord's
Mfano wa viongozi hao ni Enki na Enlil pia walikua na ndugu Zao Moja kati ya bint wa annaki aliitwa Inana/Ishtar huyu Ndie aliyewafundisha wanawake style za kungonoka alikua ni Moja ya bint za ANU aliyependa starehe Sana Mpaka akajengewa Moja ya bustani nzuri ya Babylon zinazotiririsha
Maji Kwa Hali ya kustaajabisha kama sehemu ya ufahari na kuvinjari tu Kwa Malkia Huyo wa Mbinguni. Mpka Leo Hilo jengo limekua ni Moja ya maajabu ya Dunia ya kale,
Kwanini Annunaki ENKI na ENLIL waliokua viongozi wa mission duniani waliwaficha wanadamu waliowaumba juu ya ukweli huo huko wakiwaambia Mungu mkuu wa Mbinguni Ndie aliyewaumba?
Mosi ni kutaka binadamu asijue Asili yake maana Mwanzoni wakati ANNUNAK wanashuka duniani Kwa mara ya kwanza na kuanzisha migodi Yao ya Dhahabu,waliwatumia Igigi Aliens Moja ya jamii za Annunaki Kwenye machimbo Yao,kutokana na brutality za kina ENLIL ambao walikua viongozi wao walikuja goma kufanyishwa kazi na ikazaliwa vita kubwa sana ambayo katika maandiko ya kale ya Sumerian ndio vita ya kwanza Duniani iliyopata piganwa na ilileta madhara Sana na kuathili mission Yao,maana inahusishwa na nuclear weapons ENLIL akiwa kama master of mission aliendesha mission Kali ya kuwapoteza Igigi katika uso wa Dunia,
Inatajwa Enlil alitumia Nyundo kubwa yenye nguvu maradufu kuwasambalatisha adui zake
ANUNNAK ambao ni advanced katika science and technology walitumia siraha Bora Sana kupoteza maadui Ili waje na mpango mpya ambao utawawezesha kuendeleza mission Yao Ndipo Enki akaja na Wazo la kumfanya binadamu akitumia sample ya kiumbe aitwaye Enkidu ambaye alikua ni moja ya primitive ENKI alifanikiwa kumfundisha kiumbe yule ujuzi na maarifa huko alikifanyiwa majaribio na kuongezwa vinasaba Kwa kutumia Cloning technology
Pia kupitia kiumbe yule Enki akamtengeneza kiumbe Mwingine kama yule akitumia maabara za Kisasa na sayansi ya Hali juu Kwa kufanya majaribio mengi Sana mpaka akakamilika lengo ni kumpata kiumbe mwenye ujuzi na Kasi kubwa katika ufanyaji kazi migodini na mwishowe lengo linatimia Adamu wa kwanza anaumbwa na katika majaribio anawekwa katika bustani ya Eden iliyokua pembezoni mwa mji wa Eridu ambao ENKI anaishi,bustani hiyo iliyokua katikati ya mto Euphrates na Tigris ilitumika na Annunaki kama maabara na sehemu ya majaribio ya mbegu za Kisasa za mimea na wanyama Ili kukidhi haja ya chakula pindi binadamu atakapoishi na kufanya kazi katika machimbo ya dhahabu
(Bustani Eden/Aden ilikua sehemu ya kwanza binadamu kupata chakula,ambapo Miungu ilimtengenezea Mwanadamu pindi atakapoanza survive)
Sasa basi Annunaki baada ya kumaliza mission Yao na kuamua kuondoka duniani waliamua kuteua kizazi Cha Adamu na kuwapa siri ya mission Yao,kumbuka Annunaki walifanya genre ya Homo sapiens wa kwanza mosi ni Ile ya kumgeuza Enkidu/Primitive na nyingine ni Ile ya Adamu/ copy ya genre ya Primitive iliyofanywa maabara
Annunaki waliona yule waliyemfanya maabara Ni bora hivyo walimpa access ya kutunza Siri na ndio Loyal bloodline of Adam ambao kizazi Chao kimetembea Kwa Enoch, Noah, Abraham, Isack, jackobo na hatimaye Israelites hao ndio maana Toka kale walijitanabaisha ni Wana wa Mungu na ni choosen one,wao hujiona Bora kuliko watu Wengine Toka kale na mara nyingi wamejikuta wakikngia matatani Kwa baadhi ya jamii zile nyingine ambazo hawakupewa Siri na Miungu hao waliowapa Amri na sheria za kuiendesha Dunia Mpaka majira na nyakati zitakazowafaa na wakaahidi watakuja Rudi na kuifanya Dunia iwe paradise au Heaven N' Earth
Hizo ndio Siri zilifanya wahuni wachache wanaojua secret behind kuanzishia dini Kwa maslahi Yao. Binafsi ila tukiusema ukweli mchungu Kuna vibaraka wao ambao hafahamu ukweli wanakuja na mapovu kupinga hapa na nishajionea, Msidhani hii Dunia ipo kama mnavyoiona everything is secreto for the befit of few people kama huamini kawabane wale viongozi wenu wa Dini wanaoendaga semina huko Vatikano na Madina hakika hutajuta kusoma bandiko langu!