ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Dumas inaonesha upo karibu sana na Mungu kuliko hata unavyodhani nikutoe wasiwasi kufanya mambo mazuri kwa ajili ya wewe, wenzako na future generations ni sehemu ya msingi sana katika kumuabudu Mungu. Service to ones brother, ones neighbour.

Msikie Yesu mwenyewe alivyofundisha

Marko 12:30-31 BHN​

Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.’ Na ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ Hakuna amri nyingine iliyo kubwa zaidi kuliko hizi.”
Kumwabudu Mungu maana yake nini?
 
Jamaa wamesoma hizo ngano na hekaya za sumeria wamekuwa brainwashed ile mbaya hakuna kitu wameelewa kwenye hizo story bado wadogo sana wanao muda wa kutafiti na kutafakari ipo hatua watajua ukweli na nuru ya Mungu muumbaji wataiona.
Hawajaelewa vizuri hizo kazi za sumeria na wala hawajaelewa vizuri historia nzima ya biblia na hata dini zingine.

Hawajui chanzo cha maisha ni nini? Ni wamejipata tu kuwa wana akili saana kuliko binaadamu wote wanaoamini uwepo wa Mungu walikuwepo kina mtume Paul walikuwa wabishi tena wasomi na wenye kufikiria kwa kina kuliko,lakini mwisho wake walikiri tu uwepo wa Mungu.

Muda ni mwalimu mzuri.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kumwabudu Mungu maana yake nini?
Ipo hivii; Kumpenda Mungu, kumuabudu Mungu kunapatikanaje? ''Mkinipenda mtazishika amri zangu''; kumuabudu Mungu kwa kweli ni kuyatenda mapenzi yake, mapenzi yake ni sisi tupendane na kutumikiana tukitambuana kama ndugu na tukimtambua kama Baba Yetu.

Ndiyo maana hata hiyo juu ikaitwa ni amri/kanuni kuu, na kimsingi ni hiyo ni moja hata kama unaona wamesema ya kwanza ni hii na ya pili ni hii usibabaike.
 
Jamaa wamesoma hizo ngano na hekaya za sumeria wamekuwa brainwashed ile mbaya hakuna kitu wameelewa kwenye hizo story bado wadogo sana wanao muda wa kutafiti na kutafakari ipo hatua watajua ukweli na nuru ya Mungu muumbaji wataiona.
Hawajaelewa vizuri hizo kazi za sumeria na wala hawajaelewa vizuri historia nzima ya biblia na hata dini zingine.
Hawajui chanzo cha maisha ni nini?
Ni wamejipata tu kuwa wana akili saana kuliko binaadamu wote wanaoamini uwepo wa Mungu walikuwepo kina mtume Paul walikuwa wabishi tena wasomi na wenye kufikiria kwa kina kuliko,lakini mwisho wake walikiri tu uwepo wa Mungu.

Muda ni mwalimu mzuri.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hahaaahhaahah pale akili ndogo inapojudge mambo magumu,nilitegemea utakuja na fact kukanusha madai ya Accient civilization kupitia maandiko ya Sumeria ila umeshindwa unaishia kubabaika tu nikikuuliza tablet Gani ya Wasumeria ambayo haijaelezea the begging of life Katika Dunia hasa kumhusu Mwanadamu na Mtu wa kwanza?
Hizo Sumerian tablets umewahi zisoma kamanda au unabisha kitu ambacho hata huna idea nacho kama ilivyo kawaida ya Waafrika wengi wa dizaini Yako?

Kingine Broo ngoja nikuchane Hiyo Elimu tu ya kuhusu hizi Dini za Abrahamic naijua nje ndani,na Tena nilikua muumini kindaki ndaki yaani kiufupi theolojia hainipigi chenga kiasi kwamba hata nikikutana na askofu wako tutashare glass ya champagne vizuri tu,
Halafu kingine watu kama nyie hua ni watetea Dini msiokua na ufahamu wowote zaidi ya kukariri bible verses mkijiona mnajua sana kuliko wengine,
Trust me Broo Kwa Elimu na ufahamu nilionao kuhusu Dini hasa ya ukristo nauwezo wa kujiita mtume na Nabii na nikakufanyia ushawishi ukaja nikupige sadaka,

Usione tunatoa hizi Elimu ukadhani tumepagawa na mapepo la hasha tunaujua ukweli mchungu ambao hampendi kuusikia ila Kwa maslahi na agenda ya kikundi Cha watu wachache endelea kuhadaiwa!

Karibu!
 
Usione tunatoa hizi Elimu ukadhani tumepagawa na mapepo la hasha tunaujua ukweli mchungu ambao hampendi kuusikia ila Kwa maslahi ya kikundi Cha
Dumas wewe ndio uliyesema kuwa lengo la kuwepo kwetu ni kuchimba dhahabu, nimekuendelezea katika mstari huohuo wa mantiki ya kuchimba dhahabu ndio kwa leo inakuwa kutafuta pesa. Kwa hiyo anayekutaka uamini hizo habari za anunaki ndio ujue mwishoni anakutaka ukiri kuwa mungu ni dhahabu na pesa na uiabudu badala ya Mungu wa kweli.

Lengo la kuwepo kwetu haliwezi kuwa katika kitu kinachoshikika au kinachotafsirika kirahisi hivyo. Ndio maana vitu kama upendo, ukweli, furaha na life ndio vinakaribiana kuwa lengo la kuwepo kwetu. Na nikutoe wasiwasi tu mimi binafsi ninamuabudu Mungu
Inaonesha una upeo mdogo wa akili na kuchanganua mambo na Tatizo nilionalo kwako ni Mtu ambaye hutumii mantiki kureson baadhi ya mambo,
Kitu ambacho nilisisitiza Toka mwanzo ni kwamba Habari za Annunaki na Accient civilization hayahusiani na Imani na hata wao ANNUNAK hawakujiona ni Miungu ila Hiyo ilichangiwa na binadamu waliowafanya kuwaona na kuwapa title ya MUNGU/Miungu na ndio nadharia za Dini zikazaliwa,
Upo too imational kuhusu hii mada sababu Toka Mwanzo nakuambia Maswala hayo waanzilishi ni wao na wao sio MUNGU Kwa nadharia za watu wa Dini Bali Kwa nadharia tofauti Sana na mnavyochukulia
Mpaka hapa Sina msaada na wewe mwenye kuelewa na aelewe!
 
unazidi nichanganya Aisee baba wa mbinguni ndie nani?
Kutoka 3:15
15 Tena Mungu akamwambia Musa:
“Hivi ndivyo unavyopaswa kuwaambia Waisraeli, ‘Yehova Mungu wa mababu zenu, Mungu wa Abrahamu,a Mungu wa Isaka,b na Mungu wa Yakobo,amenituma kwenu.’ Hilo ndilo jina langu milele,d na hivyo ndivyo ninavyopaswa kukumbukwa kizazi baada ya kizazi.
 
Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja na nadharia mbali mbali za kuanguka na kupotea kwake,

Natumaini wale magreat thinkers watashashare idea zao kutoka vyanzo mbali mbali na natamani mjadala uwe endelevu na wale wenye watakaoweza kuweka rejea kutoka source mbali mbali wawe huru Ili mjadala uwe mpana kidogo hivyo uvumilivu unahitajika,
Note wafia Dini hamuhitajiki humu kama kitu hujui kaa kwa kutulia upate Somo na rejea mbali mbali,

Karibu!

Dunia ya kale ilipata kupitia katika ustaarabu mkubwa sana ambao Mpaka Leo unaacha utata mkubwa pamoja na fumbo kuu,
Wanasayansi,watu wa Dini,wanafalsa na wachunguzi huru wamejikuta kwenye sintofahamu juu ya ustaarabu ule uliopotea Huku wakibaki kwenye nadharia nyingi toka Hapo zamani,

Ushahidi kutoka maandiko ya kale ya Sumeria yaliyokutwa katika tablets za Mawe na michoro mbali mbali katika jamii nyingi za kale zimewataja viumbe walioitwa 'miungu'

"Miungu" au 'gods' tafsiri yake ikiwa na maana ya walioshuka kutoka 'mbinguni' au angani na Kushuka duniani,

Nadharia ya Miungu Katika Sumeria imewataja "ANUNNAKI"
Au Wana wa Annak
ANU =mtawala wa mbinguni na baba wa waanak na KI mother goddes mtawala wa Dunia,

Maandiko ya kale ya Wasumeria katika Mesopotamia yamewataja viumbe Anunak walipata Kuja duniani Miaka 450,000 BCE iliyopita,
Mtafiti wa mambo kale Zachariah Sitchin miaka ya 70's aliweza kutafsiri baadhi ya maandiko ya kale ya Wasumeria yanayodai Annunaki walipata Kuja pre human development yaani akiwa na maana Dunia ikikaliwa spicies ya Homo Elactus pekee,

Pia maandiko ya kale ya Sumeria yanadai Annunaki walitokea Sayari ya Nibiru ambayo huizunguka mfumo wetu wa Nyota ikiwa kwenye mhimili wake Kila baada ya miaka 3,600
Na maandiko hayo ya kale yanapata kuandika Annunaki ni intelligence being wenye high advanced science and technology na walipata kuja Duniani na Spaceships kwa lengo la kuchimba Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Yao ambayo waliitumia kurecover atmosphere ya anga lao,
Note hiyo ni according to Accient writings alizotafsiri Zachariah Sitchin,wanasayansi na Watafiti wa mambo kale kama Jesus Cediel,

Swali Wana jamii intelligence Inakuaje tablets kongwe na ya kale kuliko maandiko yoyote Yale yaani Sumerian iandike mambo kama hayo?

Fumbo!

Nitaendelea na mada karibuni Kwa mjadala!

ALALU:Mtangulizi wa mwanzo wa Annunaki
Katika accient tablets anatajwa Alalu huyu alikua ni agent kutoka Sayari ya Nibiru aliyepewa jukumu la kuzunguka Sayari mbali mbali kuangalia uwezekano wa kuwepo Kwa dhahabu,Alalu alifanikiwa kuifikia Dunia yapata miaka 450,000 BCE na kufanya tafiti mbali mbali Katika accient tablets anatajwa kama 'mungu' wa ugunduzi,Alalu alipata kutua Kush na akagundua hazina kubwa ya dhahabu,ugunduzi wa machimbo ya kale ya kush unathibitisha kugundulika Kwa dhahabu Kwa mara ya kwanza Katika uso wa Dunia ukifuatiwa ule wa South Africa na Maputo Msumbiji ambako miaka ya Hivi karibuni kuligundulika machimbo ya kale sana yalichimbwa Kwa ustadi Kwa kutumia vifaa vya kisasa unaoshangaza Dunia ya Leo,

Baada ya tafiti za Alalu walifuatia Wana wa Annak ENKI na ENLIL ambao walishuka na Spaceships s kubwa Wakiongozana na moja ya jamii ya Waanunaki waitwao IGIGI ambao waliotumika kama workers kwenye Migodi yote iliyoanzishwa huku wakiongozwa na ENKI na ENLIL kama viongozi,

Maandiko ya Sumeria yanadai baadae IGIGI walichoka kufanyishwa Kazi za machimbo ya dhahabu sababu ya brutality kitu kilichopelekea vita kubwa na ya kwanza Katika uso wa Dunia ikihusisha advanced weapons kama Nuclear weapons,
Baada ya resistance ya IGIGI
ENKI alikuja na Wazo la kumfanya Kiumbe awe replaced ndipo wakawafanya Nephilims (Wanefili) Hawa walikua ni Viumbe wenye mfanano na Annunak ila wakubwa na wenye nguvu,wakitumia Hybrid Nephilims walishindwa zaliana hivyo kuwapa mzigo ENKI kuwazalisha Kwa wingi kulingana na mahitaji na Kasi ya Kazi Katika Migodi maana walishindwa kuendana na Kasi sababu ya ukubwa na uzito wa miili Yao,

WAZO LA KUMFANYA BINADAMU,
Annunak Chronicles inaelezea mwanzo Dunia ilikaliwa na Viumbe waitwao Enkidu Katika Epic of Girgamesh wanamtaja Kiumbe Mtu Enkidu ambaye alikua spicies ya Homo Elactus walioishi duniani wakiwa hawana humanity waliishi pamoja na wanyama wa mwituni kama hayawani wengine,.
Enki alifikiria ni jinsi Gani atawafanya wale Enkidu wawe intelligence na akaja na Wazo la kuwaongezea vinasaba milini mwao Kwa kufanya DNA testing na walifanikiwa kufanya genre ya Homo sapiens wa kwanza,
Pia Maandiko ya Sumeria yanadai Annunaki walifanya human manipulation na cloning project na kumtengeneza mtu wa kwanza
ADAPA (Adamu)
Wakitumia DNA zao,manii na kupandikiza Kwa Kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika
(Sumeria tablets zinaelezea teknolojia ya Human cloning,human manipulation na sayansi nyinginezo kukamilisha Hilo)

Kwanini wamuumbe mtu Kwa mfano wao?
Ukisoma kitabu Cha Genesis kinadai Mungu alisema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu
(Wale wa nadhari za Abrahamic Religion wajiulize ilikuaje Mungu aseme na tumfanye mtu Kwa mfano wetu)
Hiyo wetu inawakilisha uwingi ikiwa na maana ya "Gods"
(Walioshuka kutoka juu mbinguni na kuja Duniani)

NADHARIA ZA MUNGU NA MIUNGU/ KUUMBWA KWA BINADAMU WA KWANZA NA LOYAL BLOODLINE OF ADAM,

Mathalani umewahi sikia Nadharia kuhusu MUNGU au inawezekana ni mmoja unayeabudu nadharia hii ukiamini ni Supernatural power iliyoumba ulimwengu na vilivyomo,na nguvu hiyo Ipo ndani ya kiumbe aliyeketi kwenye kiti Cha enzi Cha Mbinguni na ni Mzee wa siku mwenye utukufu mkubwa akiwa kazunguka na wazee 24 wenye uhai,huko akihukumu Kwa haki jamii ya viumbe mbali mbali waliopewa majina ya Malaika,Maserafi,wanadamu nk

Nadharia hii ilitawala katika ulimwengu wa kale na wakisasa
Huko ikiwa na tofauti mbali mbali,

Mosi ni Ile Mungu hapo zamani alishuka Moja Kwa Moja mpaka duniani akiounga upepo katika bustan ya Eden Pahali anapoishi binadamu wa kwanza kuumbwa Adamu,
Ukisoma maandiko ya kitabu Cha Mwanzo kinadai Mungu alishuka wakati wa alasiri bustanini kuongea na kiumbe wake
(Code nitaelezea hapa Kwa kina)

Pia hapo kale Wana wa Mungu Walishuka mpaka duniani na kukutana na watu wa kale na kuishi nao maisha ya kawaida
(Refer Watchers/Angels)
Hiyo ilikua swala la kawaida tu bila shaka,

Pili:Nadharia za kisasa
Hapa tunaona katika zama Fulani miungu walikndoka duniani ni kama waliitelekezwa vile,sababu ya kufanya vile hatujui ila inakuja ibuka nadharia ya watu wanaojita Mitume na Manabii ya hapo kale wakijifanya ni maajent wa Mungu na wasemaji wake Kwa watu katika mambo Fulani Fulani,
Je ilikuaje yule Mungu na wale Malaika wake wasije Tena mpaka Leo hii toka zama zile na hata wakija wanafikia Kwa jamii Fulani Tena watu wa blodline Moja?
(Fumbo)

Leo ninaenda kukupa majibu ya hilo fumbo hapa hapa!

Tuendeleee

Maandiko ya Biblia kwa asilimia 99% hasa agano la kale limecopy Maandiko ya Sumeria ambayo ni makongwe Sana Kuliko maandiko yoyote yaliyowahi rekodiwa hapa Duniani,
Hili linaungwa mkono na jamii nzima ya Leo maana sumerian tablets ndio msingi wa ustaarabu wote wa Mwanadamu katika Historia ya Dunia,
Sumeria ilikua ndio sehemu ya kwanza Alphabet yenye character 600 +
Ikiiacha mbali Alphabet tuitimiayo yenye character 26 tu
Yaani ABC to Z basi
Pia Sumeria walikua na Mathematical table ya kushangaza Sana,
Wataalamu wa mambo kale Wanakiri endepo tutaweza gundua calculation na njia ya kufanya Hisabati kama wao tutapiga hatua Kubwa sana katika science and technology
Refer wanasayansi kushindwa fanya calculation za accient civilization zilizotumika katika ujenzi wa majengo kama Pyramids na site mbali mbali
(Mifano mnayo)

Sasa basi Bible ilicopy maandiko hayo sababu waliyanakiri na kucopy visa vile walikosa Information kuhusu Accient civilization hivyo kuoelekea kuunga unga visa vilivyokaa bila mpangilio maalumu yakiwa Randomly
(Wanatheolojia watanielewa)

Baada ya ugunduzi wa Sumerian tablets miaka ya 1880's na baadhi kuyatafsiri ndio tukajua zile information zote tata zimeelezewa Kwa ufasaha na kupangiliwa visa kuhusu Accient gods waliokuja kutoka Nibiru planet kutafuta dhahabu na hatimaye kumuumba Binadamu kama man power!
Asante sana Dumas the terrible, kiukweli many facts & theories kuhusu Annunaki tumejadili sana humu, lakini kwa muendelezo huu watizidi kujifunza zaidi.

Tatizo linalotukumba sisi katika suala la kuamini ni Imani katika dini, Unapotaka kuelewa dini na imani yake inakuhitaji uende extra miles kwa kufuatilia historia yake(encyclopedia of religions) hapa utaelewa dhima nzima ya dini na imani yake katika ulimwengu, hii itakufanya usione ugumu wowote kuamini habari kama hizi za Annunaki.

Akuna kitu kama hicho watu
Mnapaswa kuwa Na fikiria kwanza
Mnaposema mwanadamu aliumbwa Na anunaki kwasababu ya kuchimba zahabu
Duniani
Hizo zahabu zilitengenezwa Nanani au ziliumbwa Nanani? Au dunia kipindi icho iliumbwa Nanani ?

Acheni Zarau bwana anunaki sio kitu ni michoro tu
 
ANNUNAK hawakujiona ni Miungu ila Hiyo ilichangiwa na binadamu waliowafanya kuwaona na kuwapa title ya MUNGU/Miungu na ndio nadharia za Dini zikazaliwa,
Upo too imational kuhusu hii mada
Nikisema binadamu waliwapa tittle ya umungu Kwa sababu tangu mwanzo walikuwa na notion za mungu vichwani mwao?. Kwa maana ya kwamba idea ya mungu ilikuwepo kabla hata ya kuja kwa anunaki utakubali? Hata kama ilikuwepo ilikuwa katika sura tofauti.

Nipo too emotional😂🤣🤣, duuh!. Binafsi natamani tuliapproach jambo hili logically ndio maana nikakuomba unitajie lengo la sisi kuwepo ili tuifuatilie logic yake. Nikajua hata utaniambia 'furaha' wewe ukasema kuchimba dhahabu!! Tukaifuata hiyo logic hadi kutafuta pesa/mali ukaonesha mwenyewe how ridiculous that idea is🤦‍♂️

Sasa naomba jibu la lengo la kuwepo kwetu huku duniani, au basi niambie kuwa hujui nikuache unatafuta lengo kwanza ndio tuje tujenge logic kutokana na utakachokichagua. Tafsiri kwanza [a worthy] lengo au kusudi halafu tujadili
 
Ipo hivii; Kumpenda Mungu, kumuabudu Mungu kunapatikanaje? ''Mkinipenda mtazishika amri zangu''; kumuabudu Mungu kwa kweli ni kuyatenda mapenzi yake, mapenzi yake ni sisi tupendane na kutumikiana tukitambuana kama ndugu na tukimtambua kama Baba Yetu.

Ndiyo maana hata hiyo juu ikaitwa ni amri/kanuni kuu, na kimsingi ni hiyo ni moja hata kama unaona wamesema ya kwanza ni hii na ya pili ni hii usibabaike.
Je, siwezi nikafanya hayo huku nikiwa atheist?
 
kumbuka Sumeria waliabudu miungu inayoonekana Kwa macho Yao,
Tena wakaenda mbali zaidi na kusema sio miungu tu Bali Waliotoka mbinguni direct na hao Miungu waliwaongoza Katika maisha ya kaiwaida yaani nao wanakula,wanalala,wanashare mapenzi nao,wanazaa Mpaka na watoto,
Wasumeria sio wendawazimu kiasi hicho watunge uongo na kuandika kwenye clay tablets
Kwa akili ya kawaida hao Miungu inaonekana walikua ni Viumbe tu Tena wenye ujuzi na maarifa makubwa kuwazidi wao ndio maana wanapewa title 'gods'
Ikiwa na maana walioshuka kutoka juu mbinguni
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
Mkuu hapa safuher kasema kua hoja ya kua sumeria ni watu wa zamani ama maandishi yao ni ya muda mrefu sio hoja kua ni lazima yawe ya kweli 100%.

Ujue hata sie kuna vizazi vitakuja miaka maelfu ijayo, je kisa kuna bible & quran basi wategemee hayo tu kua ni maandishi ya kweli ya kizazi hiki kisa tu ni ya zamani??
Vipi kama hao Sumeria pia walikua na migongano kimawazo kama sasa?? Na hayo mawazo ya sumeria baadhi yakawa si sahihi.?
 
Je, siwezi nikafanya hayo huku nikiwa atheist?
Swali zuri mno, limekuja kama sapraizi asee! kimsingi naona kama unaweza. Inawezekana. Huwa sipingagi ukweli eti kisa nipinge tu. Naona uwezekano wa kufanya hivyo ukiwa atheist upo. Sema utahitaji uujue uzuri na ubaya ili kuweza, utenganishe ukweli na uongo, sense na not sense.

Sema swali labda linakuwa ni nini kitakusukuma kufanya hivyo. Nini kitakuwa kipimo cha huo wema kwa ndugu/jirani. Nisaidie kuelewa hapo
 
kumbuka Sumeria waliabudu miungu inayoonekana Kwa macho Yao
Hata leo wabo baadhi ya watu wanaabudu ng'ombe ambao wanawaona kwa macho.

Wapo watu wanaabudu masanamu ambayo wanayaona kwa macho.

So sumerian kuabudu vitu wanavyoviona kwa macho sio hoja ya msingi.
Wasumeria sio wendawazimu kiasi hicho watunge uongo na kuandika kwenye clay
Je Annunaki waliwaagiza au kuwaamrisha wasumeria wawaabudie wao annunaki ?

Ama sumeria waliamua tu wenyewe kuwafanya hao majitu kuwa ndio miungu iliyotoka juu na wala annunaki hawakuagiza wafanywe miungu ?

Dumas the terrible
 
Asante sana Dumas the terrible, kiukweli many facts & theories kuhusu Annunaki tumejadili sana humu, lakini kwa muendelezo huu watizidi kujifunza zaidi.

Tatizo linalotukumba sisi katika suala la kuamini ni Imani katika dini, Unapotaka kuelewa dini na imani yake inakuhitaji uende extra miles kwa kufuatilia historia yake(encyclopedia of religions) hapa utaelewa dhima nzima ya dini na imani yake katika ulimwengu, hii itakufanya usione ugumu wowote kuamini habari kama hizi za Annunaki.

Karibu mkuu wangu Artificial intelligence katika makala hii tuendeleze mjadala nimefurahi Sana ujio wako hapa!
 
life code alisepaga kwa mijitu mijinga kuja na maubishi ivi ivii hivi kwann mtu unakuwa mbishi kujifunza mpka ubishanee??!!!!
 
Kutoka 3:15
15 Tena Mungu akamwambia Musa:
“Hivi ndivyo unavyopaswa kuwaambia Waisraeli, ‘Yehova Mungu wa mababu zenu, Mungu wa Abrahamu,a Mungu wa Isaka,b na Mungu wa Yakobo,amenituma kwenu.’ Hilo ndilo jina langu milele,d na hivyo ndivyo ninavyopaswa kukumbukwa kizazi baada ya kizazi.
Wewe Ndie umetaja Hilo jina la Mungu wa Israelites Kuna member humu wakuitwa Uhakika Broo alidai Mungu Hana jina na wewe Hapo umemtaja Yehova Na ndio maana nikamuuliza hilo swali!
 
Hahaaahhaahah pale akili ndogo inapojudge mambo magumu,nilitegemea utakuja na fact kukanusha madai ya Accient civilization kupitia maandiko ya Sumeria ila umeshindwa unaishia kubabaika tu nikikuuliza tablet Gani ya Wasumeria ambayo haijaelezea the begging of life Katika Dunia hasa kumhusu Mwanadamu na Mtu wa kwanza?
Hizo Sumerian tablets umewahi zisoma kamanda au unabisha kitu ambacho hata huna idea nacho kama ilivyo kawaida ya Waafrika wengi wa dizaini Yako?

Kingine Broo ngoja nikuchane Hiyo Elimu tu ya kuhusu hizi Dini za Abrahamic naijua nje ndani,na Tena nilikua muumini kindaki ndaki yaani kiufupi theolojia hainipigi chenga kiasi kwamba hata nikikutana na askofu wako tutashare glass ya champagne vizuri tu,
Halafu kingine watu kama nyie hua ni watetea Dini msiokua na ufahamu wowote zaidi ya kukariri bible verses mkijiona mnajua sana kuliko wengine,
Trust me Broo Kwa Elimu na ufahamu nilionao kuhusu Dini hasa ya ukristo nauwezo wa kujiita mtume na Nabii na nikakufanyia ushawishi ukaja nikupige sadaka,

Usione tunatoa hizi Elimu ukadhani tumepagawa na mapepo la hasha tunaujua ukweli mchungu ambao hampendi kuusikia ila Kwa maslahi na agenda ya kikundi Cha watu wachache endelea kuhadaiwa!

Karibu!
Dogo tena wewe dogo sana jipe moyo kuwa unajua Sanaa hizo tablets uje juzi tu hapa duniani alafu unadai kuwa unajua teolojia kuliko askofu wangu,unaweza kuchukua sadaka yangu au pesa yangu.

Kweli utandawazi na uhuru wa kufikiria,nakupa tu pole nenda kajifunze tena dogo hujaelewa chochote cha msingi ndani ya hizo hekaya za sumeria na hujui chochote kuhusu dini yoyote.
By the way huna uwezo wa kufikiria,nilichoona kwako unaweza tu kuhifadhi data nyingi ulizosoma kutoka vitabu mbalimbali ila uwezo wa kufikiria huna na sikia dogo nina uhakika hayo umeyameza kama yalivyo na utakaa nayo kama yalivyo hayana maana kwako wala kwa jamii yako.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hahaaahhaahah pale akili ndogo inapojudge mambo magumu,nilitegemea utakuja na fact kukanusha madai ya Accient civilization kupitia maandiko ya Sumeria ila umeshindwa unaishia kubabaika tu nikikuuliza tablet Gani ya Wasumeria ambayo haijaelezea the begging of life Katika Dunia hasa kumhusu Mwanadamu na Mtu wa kwanza?
Hizo Sumerian tablets umewahi zisoma kamanda au unabisha kitu ambacho hata huna idea nacho kama ilivyo kawaida ya Waafrika wengi wa dizaini Yako?

Kingine Broo ngoja nikuchane Hiyo Elimu tu ya kuhusu hizi Dini za Abrahamic naijua nje ndani,na Tena nilikua muumini kindaki ndaki yaani kiufupi theolojia hainipigi chenga kiasi kwamba hata nikikutana na askofu wako tutashare glass ya champagne vizuri tu,
Halafu kingine watu kama nyie hua ni watetea Dini msiokua na ufahamu wowote zaidi ya kukariri bible verses mkijiona mnajua sana kuliko wengine,
Trust me Broo Kwa Elimu na ufahamu nilionao kuhusu Dini hasa ya ukristo nauwezo wa kujiita mtume na Nabii na nikakufanyia ushawishi ukaja nikupige sadaka,

Usione tunatoa hizi Elimu ukadhani tumepagawa na mapepo la hasha tunaujua ukweli mchungu ambao hampendi kuusikia ila Kwa maslahi ya kikundi Cha

Inaonesha una upeo mdogo wa akili na kuchanganua mambo na Tatizo nilionalo kwako ni Mtu ambaye hutumii mantiki kureson baadhi ya mambo,
Kitu ambacho nilisisitiza Toka mwanzo ni kwamba Habari za Annunaki na Accient civilization hayahusiani na Imani na hata wao ANNUNAK hawakujiona ni Miungu ila Hiyo ilichangiwa na binadamu waliowafanya kuwaona na kuwapa title ya MUNGU/Miungu na ndio nadharia za Dini zikazaliwa,
Upo too imational kuhusu hii mada sababu Toka Mwanzo nakuambia Maswala hayo waanzilishi ni wao na wao sio MUNGU Kwa nadharia za watu wa Dini Bali Kwa nadharia tofauti Sana na mnavyochukulia
Mpaka hapa Sina msaada na wewe mwenye kuelewa na aelewe!
Dogo wewe ndio hutumii akili nadhani unakurupuka sana ukishasema Mungu tu maana yake ni imani tayari,basi jaribu hata kuwa na akili hata za kuvukia barabara.
Ndio maana hapo mwanzo nishakuambia hii mada unaleta unajichanganya wewe mwenyewe ni kama jambo unalolijua wewe mwenyewe umejiaminisha ni kweli basi akili yako ndogo imelinasa kama sumaku unashindwa kutetea hoja zako.

Anza mwanzo nenda mpaka kwenye lengo lako unazunguka zunguka sana,mara haihusu watu wa dini kama haihusu watu wa dini Abraham na dini yake wanaingiaje hapa.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom