Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.

Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
IMG_20221213_130300.jpg
 
Binadamu sote twamtegemea Mungu kututetea kwa kila jambo ila kwa wenzetu Iran wao ndio humtetea Mungu.
Si kweli,, kawaida binadamu kutetea miungu yao, ama sivyo israel isingekuwa taifa,, crusade na jihadi visingekuwepo,,
Binadamu lazima amlinde mungu kwa nguvu zote😂
 
Duuh, wakati mwingine hizi imani ni hatari kwa usitawi wa watu, nadhani huko kama hautaki kumfuata Muddy kifo kiko usoni.
Actually headline ni propaganda,, ukweli ni kuwa kuna kampeni za kuangusha utawala wa iran, zikisaidiwa na nchi za magharibi,, huyo alienyongwa ni wanaharakati wa kuandamana na walioshiriki kuua askari karibu 100 katika maandamano hayo
 
Adui wa usalama wa taifa lolote dunia atavuna alichopanda.
 
mungu dhaifu mungu katiri..asiyeweza jitetea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unamlindaje Mungu? Yoyote yule...
Hebu nifundishe jinsi ya kumlinda.
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷‍♂️
 
Basi Mungu wao hana nguvu yoyote.
 
Back
Top Bottom