Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Si kweli,, kawaida binadamu kutetea miungu yao, ama sivyo israel isingekuwa taifa,, crusade na jihadi visingekuwepo,,
Binadamu lazima amlinde mungu kwa nguvu zote😂
Kuna tukio lolote Israel wamefanya na kudai wanamtetea Mungu?
 
Kuna tukio lolote Israel wamefanya na kudai wanamtetea Mungu?
Mengi sana,, kuanzia uanzishwaji tu wa nchi hiyo mwaka 1948,, iko more spiritually oriented, kuendelea kuwepo kwake is more spiritual based, kuliko historical facts🤷🏼‍♂️
 
Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.

Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Nilijua lazima anyongwe tu ,,mtu mwenyewe anaitwa majeneza [emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot_20221213-164323.png
 
Mungu hawezi kulindwa na chochote, na hao wanaidai (kama wapo) kumlinda Mungu ni majuha na Mazwazwa wa kidini nao wanapatikana katika dini zote.
Kuna mambo yanashangaza
 
utafika wakati watafunga kula kwa masaa yasiyopungua kumi na mbili wakijitaabisha kwa njaa kisa 'mungu' huyo awape thawabu, hii aliyeaianzisha anajua yeye
 
Na ni utapeli kweli aisee. Mungu Muumba wa Ulimwengu na kila kilichomo, vinavyoonekana na visivyoonekana, kweli "ameshindwa kumpiga na radi" huyu kiumbe aliyemkufuru mpaka anasaidiwa na WaIrani!? Hii kweli kali.
[emoji1732][emoji847][emoji2][emoji3][emoji3526][emoji16][emoji38][emoji1787][emoji28][emoji56]
 
Huyo mungu anayepambana na mtu ni dhaifu sana.

Mungu wetu aliye hai huwezi kupambana naye
 
Si kweli,, kawaida binadamu kutetea miungu yao, ama sivyo israel isingekuwa taifa,, crusade na jihadi visingekuwepo,,
Binadamu lazima amlinde mungu kwa nguvu zote[emoji23]
Huyo mungu wenu anayelindwa na binadamu, amechoka mpaka basi.
 
Kwa nini Mungu hajitokezi kutetea mtu awe anaacha watu wengine wamtetee hadi kuua
 
Si kweli,, kawaida binadamu kutetea miungu yao, ama sivyo israel isingekuwa taifa,, crusade na jihadi visingekuwepo,,
Binadamu lazima amlinde mungu kwa nguvu zote😂
Duh!..
 
Back
Top Bottom