Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.

Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Tawala ya Irani haina haja na watawaliwa
 
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷‍♂️
Lete ushahidi wa marekani kumkingia kifua israel kwa imani ya mungu wao aliacha maagizo..........yaani wewe unajifanya mjuaji kwa kugoogle tu wasukuma muna tabu sana
 
Aloo naskia kuna ajira zipo irani kazi ya kumlinda mungu mshahara unaanzia m2 kuendelea naskia mungu huyo ni laini laini kama madem wa kiarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala wa kishetani eti unajiita utawala wa Mungu!
Naamini hapa wanamtaja mungu wao shetani
 
Back
Top Bottom