Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.

Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Wanawanyonga ili kuwatisha waandamanaji.
 
Pro russia kwenye coment zao wanabariki unyongwaji, iran anavofanya hivi ndo atazidisha hasira kwa wananchi
 
Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.

Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Imani hizi za kulazimishana hizi !! Ni za kutimiza haja za wanaadamu hizi.
 
Wangemuachia Mungu mwenyewe atoe hukumu ya haki, mwanadamu ni kiherehere gani kinakupa nguvu ya kujifanya unamsaidia Mungu mwenye nguvu kupita viumbe vyote?
 
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷‍♂️
Marekani hamsaidii israel kwa sababu za kidini.
Anamsaidia kwa sababu za kiitikadi za kibepari.
Its all about the benjis
 
Hao waliomnyonga ndio kwamba wao Mungu atawaona ni wema kwa kuwa wamejua kumpigania kwa kuuwa kiumbe mwenzao ambae wote aliwaumba yeye mwenyewe
Nina mashaka na huyo mungu wao, hajiwezi kwa lolote hadi wasimame wao wenyewe kumlinda badala ya yeye kuwalinda!?
 
Hao conservatives 'evangelicals' hawakushikilia senate kwa miaka mingapi?
Mbona hawa Democrats hawajaitema Israel?
Mbona Joe biden Haitemi Israel?

Sawa sababu initial ya kusupport israel inaweza kuwa ni kidini, lakini hii iliapply enzi zile za 1940's

Marekani saivi haina siasa za kidini mzee

Saivi its about weapons, Benjis and Oil
 
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷‍♂️

Marekani ni taifa ambalo raia wake wengi wanaabudu dini ya kikristo huku israel ni taifa linaloabudu dini ya kiyahudi.

Ukristo na uyahudi ni dini mbili tofauti
 
Nina mashaka na huyo mungu wao, hajiwezi kwa lolote hadi wasimame wao wenyewe kumlinda badala ya yeye kuwalinda!?

Mkuu hao waliomnyonga wameahidiwa mabikra 72. Aise kuna dini za kijinga sana na misukule inaamini dini ya kijinga namna hii.
Utashi wetu umefungwa katika dini,tunazaliwa tunazikuta na kuishi katika humo, uwezo wa kujudge kila kitu kinachokuja mbele yetu itasaidia kuepukana na mambo za kijinga kama hizi, watu wamepandikizwa imani za kijinga
 
Back
Top Bottom