Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Safi sanaIran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran.
Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
View attachment 2445005
Si kweli,, kawaida binadamu kutetea miungu yao, ama sivyo israel isingekuwa taifa,, crusade na jihadi visingekuwepo,,Binadamu sote twamtegemea Mungu kututetea kwa kila jambo ila kwa wenzetu Iran wao ndio humtetea Mungu.
Actually headline ni propaganda,, ukweli ni kuwa kuna kampeni za kuangusha utawala wa iran, zikisaidiwa na nchi za magharibi,, huyo alienyongwa ni wanaharakati wa kuandamana na walioshiriki kuua askari karibu 100 katika maandamano hayoDuuh, wakati mwingine hizi imani ni hatari kwa usitawi wa watu, nadhani huko kama hautaki kumfuata Muddy kifo kiko usoni.
Kama Mungu hawezi kujilinda basi tumekwisha, maana hataweza kutulinda sisi kwa chochoteSi kweli,, kawaida binadamu kutetea miungu yao, ama sivyo israel isingekuwa taifa,, crusade na jihadi visingekuwepo,,
Binadamu lazima amlinde mungu kwa nguvu zote😂
Mungu yupi?, Maana wako wengi,, na wote wanalindwa na wanadamu,, kasoro Budha,, sijawahi sikia mchina anamtetea mungu wake😁Kama Mungu hawezi kujilinda basi tumekwisha, maana hataweza kutulinda sisi kwa chochote
Mkuu hao waliomnyonga wameahidiwa mabikra 72. Aise kuna dini za kijinga sana na misukule inaamini dini ya kijinga namna hii.Hao waliomnyonga ndio kwamba wao Mungu atawaona ni wema kwa kuwa wamejua kumpigania kwa kuuwa kiumbe mwenzao ambae wote aliwaumba yeye mwenyewe
Unamlindaje Mungu? Yoyote yule...Mungu yupi?, Maana wako wengi,, na wote wanalindwa na wanadamu,, kasoro Budha,, sijawahi sikia mchina anamtetea mungu wake😁
Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,Unamlindaje Mungu? Yoyote yule...
Hebu nifundishe jinsi ya kumlinda.
Basi Mungu wao hana nguvu yoyote.Mfano marekani wanapoikingia kifua Israel kwa imani kuwa mungu wao aliacha maagizo, kuwa atakaeisaidia israel nae atasaidiwa mbinguni,,
Au yule pope urban alieanzishA vita ya crusade kuukomboa mji wa mungu wake, jerusalem, etc🤷♂️
Kama Mungu hawezi kujilinda basi tumekwisha, maana hataweza kutulinda sisi kwa chochote